Niulize chochote kuhusu Somalia na wasomali

Niulize chochote kuhusu Somalia na wasomali

Moja Kwa Moja kwenye mada vipi nawezaje opoa demu wakutumia na kuacha ukimuacha hawalogi? Vipi vizinga ndo kama akina amids na shelida hapa demu?
Sijawai kuwa na mwanamke wa kisomali!!
Lakini wanawake wa kisomali ni kama wanawake wa kimasai vile hawana haki kwa waume zao wanaume ndo kila kitu,,,, kama umemuoa
 
Swali la pili umeliacha tena.
Sababu kubwa ya mapigano nchini mwao ilikua ni kuanguka kwa serikali ya Saidi Barre dictetor aliyetawala somalia.
Baada ya serikali yake kuanguka ndipo koo mbali mbali zikanza kupigana kutaka kushika madaraka,kujilinda na kugombania rasilimali.
Lakini pia kwasababu ya kukosekana kwa serikali na ugaidi wa Alshabab ukakua kwa kasi mpaka tulipofika leo.
Kifupi wasomali ni wamoja wakiwa nchi nyingine wakiwa kwao ni “wakoo”
Na ni wakabila wakila na makabila mengine wakirudi kwao wakoo”
Ugaidi, uharamia, na ujangiri ndio sehemu kubwa ya somalia ukiacha maeno ya puntland na somaliland ambayo imejitenga tangu kipindi hicho
 
Back
Top Bottom