zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Ugumu upi Mzee mabinti wanang'olewa haijarishi ni wapi kwani kule chini huko Burundi wanazo za dhahabu?Kule kung'oa mrembo ni vigumu
Kupata pisi kule Kuna ugumu sio kama huku TANZANIA mademu wamejiachia sana