Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
All and all ,Afrika ni moja....warundi ni ndugu zetu...
Wanyarwanda nao pia....
Jana nimemsikia mh.Rais Ndayishimiye akimsifu kutoka moyoni na kumshukuru sana kipenzi chetu mh.Rais Samia Suluhu Hassan....
Yeyote mwenye kumpenda kipenzi chetu Rais Samia nasi pia TUNAMPENDA.....
#Tanzania kwanza!
#Afrika ni moja!kipenzi chako wewe na nani
Hii ni mwaka 1886(jiulize miaka mingapi imepita)!!! Wazungu walivyojua kugawa mipaka, Rwanda ilibaki na jina lake. Burundi ikaitwa “Urundi”. Maana yake ni another. Walikuwa wakisema “Urundi Rwanda”. Nchi mbili zinaunganishwa na kuwa moja!!! Katika utawala wa wakoloni hao, ukanda wa Rwanda na Burundi ulikuwa na mahikamano. Wakaona kuwatawala ni ngumu. Ndipo likaja wazo la kuwagawa makundi sasa. Walianza kupima watu ulefu na upana wa pua. Na uchumi wako. Pua ndefu, uembamba, na ng’ombe nadhani kuanzia 10(hii idadi labda niihakiki), waliitwa watutsi. Na wakapewa mamlaka ya kutawala makabila mengine. Mfupi, mnene, mwenye kujaza kifua, mkulima. Hawa waliitwa wahutu. Wao walikuwa wa kufanya kazi za nguvu, kulima na kadhalika. Likawepo kundi lingine la waiokuwa nacho, walikuwa tu wa kuwinda na kutengeneza yombo vya majumbani(kupikia, kusombea maji)kwa kutumia udongo mfinyanzi, ndo wakaitwa watwa. Watutsi walipendelewa na wazungu, hata kusoma ndo walipewa kipaumbele. Kadri siku zilivyozidi kwenda, wahutu wakaona kwa nini tunyanyaswe, na sisi haya tunaweza! Hapo, ilikuwa ukifuga kufika idadi ya ng’ombe wa kuitwa mtutsi, una upendeleo usio wa kihutu wala wa kitutsi. Ila ulikuwa unaweza kuzaa na mwanamke wa kitutsi. Ndo watu wakaanza sasa kuwa na mchanganyiko wa maumbile. Zile sifa za watutsi, kwa wahutu zikaanza kupatikana. Za wahutu, kwa watutsi pia zikaanza.Haya twende kazi nieleweshe maana jamaa kala bhndq hajataka hata kunijibu
Upo dunia ya wapi na wewe!?Hilo Sina uhakika nalo Mkuu
Nimesikia lilikuwa limeenda kuwadhibiti M23.Hilo Sina uhakika nalo Mkuu
Ni wife material?Mademu wa Burundi hawajiachii kwenye ngono kama wa kwetu
Utasota kidogo kufuatilia
Wanawake wa Burundi ni wife material?Rwanda na Burundi, tofauti kubwa ni rafudhi tu. Hayo makabila, ni ya wakoloni. Mwamba asipokupa historia kamili nambie nikueleweshe.
Kwenu ni wapi huko Burundi japo unajiita Ngara? Je Burundi bado ni taifa au mkusanyiko wa maskini wa kawaida?Niulize historia, fursa, diplomasia, n. K nitakujibu
Inasemakana Taifa la Burundi ndo nchi masikini zaidi duniani.
Ukitaka uone shida za watu fika Burundi, kule ndo Kuna masikini na shida hasa, watu hawana nguo, viatu, watoto hawasoni, pesa ngumu n. K
Burundi Kuna makabila makuu 3 amba ni Wahutu ambao ndo wengi, Watusi na Watwa
Lugha kubwa Burundi ni Kirundi na Kiswahili huko mjini Bujumbura
Majengo na miundo mbinu Burundi ni duni mno, rami ipo maeneo macheche, magari sio mengi
Sokoni au gulioni watu wanaokula tu, wanalewa pombe za kienyeji, n.k ni umasikini sana
Mji mkuu wa Burundi ni Gitega yaani Kwa Hapa kwetu ni kama Dodoma. Huko ndo kuna ofsi za serikali ila ukiambiwa kuwa hii ndo Dodoma ya Burundi utashangaa yaani ni kama kijijini huko
Bunjumbura ndo mji wenye harakati nyingi, ndo mji wa Biashara Kwa Hapa Tanzania ndo kama Dar es salaam lakini inalingana na Bagamoyo mjini au pale Kibaha.
Hapo starehe zipo, bia kubwa inabeba Lita 1 inaitwa primus, hizo safari lager zenu zinaingia mara 4
Fursa za biashara kule ni mazao, kununua mazao Burundi ni bei nafuu na kuja kuuza huku
Au kupeleka mavazi
Warundi ni watu wema na waoga Kwa Watanzania, ukienda Mtanzania wanakuheshimu mno,
Ila uasi mtaani upo sana, kutekwa mchana sokoni na kuibiwa au kuuwawa ni jambo la kawaida.
Inategemea na umempataje katika mazingira gani. Ukimpata kwenye familia, ni tofauti na wabongo sana. Wanavumilia manyanyaso. Ila yakizidi, utaisoma nambaWanawake wa Burundi ni wife material?
Nina mpango nitafute mwanamke wa kumuoa hasa kutoka wilaya ya ngara na nchi ya Burundi kiujumlaInategemea na umempataje katika mazingira gani. Ukimpata kwenye familia, ni tofauti na wabongo sana. Wanavumilia manyanyaso. Ila yakizidi, utaisoma namba
😄😄😄😄😄😄 Mwanangu seriously mi comments Zako huwa nainjoi tuu (nacheka sana)Unatuzuia kuwaza ngono huoni kama unavunja haki za binadamu? Tumeshindwa kutoa inventor hata mmoja sahivi taifa zima tunamtegemea masudi kipanya katengeneza gari kaifungia matairi ya bajaji sasa hata kwenye ngono tufeli?
Muwe mnasoma wabongoUSALAMA UKOJE KWA MGENI
Kama hiyo ndio exchange rate basi, Umeongea vice versa kuhusu hiyo nguvu.Juzi kuna jamaa anasema laki 1 ya Burundi ni amepewa elfu 30 ya Tanzania yaan hela ya Burundi ina nguvu kuliko ya kwetu?
Sasa hapo ipi dorminant currency braza??Sasa ikawaje jamaa akapewa elfu 30 na katoa laki 1 ya Burundi?
AsanteRate za burundi faranga (fbu) na tanzania shilingi (tzs)
1tzs=3bfu
10000tzs=30000fbu
10000fbu=3300tzs
Hizi rate ni tarehe 26/1/2025
Boda ya kabanga -kobelo
si shida. Tatizo we muoaji kweli au mpitaji tu!! Kwa kuoa na kuweka ndani, lazima ufate taratibu zote kama umedhamilia kuanzisha familia.Nina mpango nitafute mwanamke wa kumuoa hasa kutoka wilaya ya ngara na nchi ya Burundi kiujumla
Vipi kuhusu intermarriage? Wahutu na watusi wanaoana au bado wanabaguana?Hii ni mwaka 1886(jiulize miaka mingapi imepita)!!! Wazungu walivyojua kugawa mipaka, Rwanda ilibaki na jina lake. Burundi ikaitwa “Urundi”. Maana yake ni another. Walikuwa wakisema “Urundi Rwanda”. Nchi mbili zinaunganishwa na kuwa moja!!! Katika utawala wa wakoloni hao, ukanda wa Rwanda na Burundi ulikuwa na mahikamano. Wakaona kuwatawala ni ngumu. Ndipo likaja wazo la kuwagawa makundi sasa. Walianza kupima watu ulefu na upana wa pua. Na uchumi wako. Pua ndefu, uembamba, na ng’ombe nadhani kuanzia 10(hii idadi labda niihakiki), waliitwa watutsi. Na wakapewa mamlaka ya kutawala makabila mengine. Mfupi, mnene, mwenye kujaza kifua, mkulima. Hawa waliitwa wahutu. Wao walikuwa wa kufanya kazi za nguvu, kulima na kadhalika. Likawepo kundi lingine la waiokuwa nacho, walikuwa tu wa kuwinda na kutengeneza yombo vya majumbani(kupikia, kusombea maji)kwa kutumia udongo mfinyanzi, ndo wakaitwa watwa. Watutsi walipendelewa na wazungu, hata kusoma ndo walipewa kipaumbele. Kadri siku zilivyozidi kwenda, wahutu wakaona kwa nini tunyanyaswe, na sisi haya tunaweza! Hapo, ilikuwa ukifuga kufika idadi ya ng’ombe wa kuitwa mtutsi, una upendeleo usio wa kihutu wala wa kitutsi. Ila ulikuwa unaweza kuzaa na mwanamke wa kitutsi. Ndo watu wakaanza sasa kuwa na mchanganyiko wa maumbile. Zile sifa za watutsi, kwa wahutu zikaanza kupatikana. Za wahutu, kwa watutsi pia zikaanza.
Nivuke kidogo. Ukiangalia wanawake wa 1994 kurudi nyuma, sijui Mungu alifanya nini(kama kweli yupo).
Huu ujinga uliendelea sasa, ndo wahutu wakaamua wachukue madaraka. Rwanda mfalme alikimbizwa(alikuwa Mtutsi). Burundi ikawa hivo hivo. Watutsi nao wakaona haiwezekani. Ndo unasikia Burundi maraisi waliopinduliwa na kuuwawa. Juzi tu, mwenyekiti wa chama cha CNDD-FDD alisema haitawahi kutokea nchi ikarudi mikononi mwa kabila hilo. Rwanda na ko 1994, madaraka ya kihutu yakaisha. Waliokimbizwa, ndo hao unaowasikia FDLR. Mpaka leo, wanahitaji utawala wa kihutu. Je, linawezekana? Haya. Serikali ya Burundi inaongozwa na mhutu. Ya Rwanda inaongozwa na mtutsi. 1994, kuna warundi walikuwa wakimbizi nchini Rwanda, ambao ni wahutu. Waliuwa watu Rwanda. Vita vilipoanza, walirudi kwao. Mpaka leo, serikali ya Rwanda inalalamika Burundi haijawahikuwafikisha mahakamani. Na Burundi haijali kwa sababu waliuwa watutsi. Hapa ndo ujue kisa cha uhasama wa Burundi na Rwanda, mpaka huko Congo jeshi la Burundi linasagwa kama siafu.
Kwa sasa nichie hapa, ni stori ndefu sana tena sana. Ila kama una maswali uliza, ntakujibu.
OkUgumu upi Mzee mabinti wanang'olewa haijarishi ni wapi kwani kule chini huko Burundi wanazo za dhahabu?