zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Ugumu upi Mzee mabinti wanang'olewa haijarishi ni wapi kwani kule chini huko Burundi wanazo za dhahabu?Kule kung'oa mrembo ni vigumu
Kupata pisi kule Kuna ugumu sio kama huku TANZANIA mademu wamejiachia sana
Sasa ikawaje jamaa akapewa elfu 30 na katoa laki 1 ya Burundi?Ya kwetu ndo ina nguvu
Mboni km unatusifia halafu hapo hapo unatutishia?Warundi ni watu wema na waoga Kwa Watanzania, ukienda Mtanzania wanakuheshimu mno,
Ila uasi mtaani upo sana, kutekwa mchana sokoni na kuibiwa au kuuwawa ni jambo la kawaida.
Soma vizuri pale juu umesema ukisema umetoka Tanzania tu gate pass ya peponi utaletewa ngendebwe kibao ili tu uruke nae aje mjini dasulamu akimbie umasikini wa BunjumburaMademu wa Burundi hawajiachii kwenye ngono kama wa kwetu
Utasota kidogo kufuatilia
SeriouslyNauli Tsh ngapi nikitokea mtwara?
Waha kutoka Kigoma😂😀😅
Warundi hawatabiriki mzee
Mashangazi jeKule kung'oa mrembo ni vigumu
Kupata pisi kule Kuna ugumu sio kama huku TANZANIA mademu wamejiachia sana
KWHYO UNALALA KANISANI KISA UMEOKOKAHujaokoka tu ndugu yangu
Hao wenye njaa ndo wazuri sasa..Huko ngono sio sana
Watu wana njaa na umasikini atawazaje kushenyenta
Lugha ni KirundiHao wenye njaa ndo wazuri sasa..
Mkuu vipi kuhusu lugha unataka kusema naweza ongea nao fuleshi kabisa kiswahili cha ndani ndani.
Naomba picha mbili tatu za huko
Chawa katika Moja na mbiliAll and all ,Afrika ni moja....warundi ni ndugu zetu...
Wanyarwanda nao pia....
Jana nimemsikia mh.Rais Ndayishimiye akimsifu kutoka moyoni na kumshukuru sana kipenzi chetu mh.Rais Samia Suluhu Hassan....
Yeyote mwenye kumpenda kipenzi chetu Rais Samia nasi pia TUNAMPENDA.....
#Tanzania kwanza!
#Afrika ni moja!
Rwanda na Burundi, tofauti kubwa ni rafudhi tu. Hayo makabila, ni ya wakoloni. Mwamba asipokupa historia kamili nambie nikueleweshe.Hawa si wa Rwanda hawa mboni unatuchanganya we jamaa? Kwa hio VP ni nani Mhutu, Mtutsi au Mtwa?