Niulize chochote kuhusu Taifa la Burundi

Inafahamika kuwa waha wanatoka mkoa wa Kigoma.
1. Ni nini kinawatofautisha waha na warundi au wanyarwanda?
2. Kwa nini mkoa wa Kigoma haukuunda nchi yao kama Rwanda na Burundi licha ya kuwa na eneo lake, lugha na utamaduni?.
3. Kwa nini Burundi wanaendeshea magari yao kulia kwa barabara wakati dereva akiketi na usukani kushoto?
 
Umedanganya. Safari lager ya chupa ni Mls 330 ukizidisha mara 4 ni 1320 na lita moja ni mls 1000. Umeandika uongo kumbe kilaza hujui lolote.
 
1 waliogawa mipaka ni wazungu
Tanganyika koloni la German na Kigoma ikiwa Tanganyika
Rwanda koloni la France
Burundi koloni la German
Kwaiyo hakuna nchi iliyojitengeneza ni wakoloni huko mkutanoni Berlin 1884

Utaratibu wa barabarani kwao ni keep right huku Tanzania ni keep left, kusema la ukweli sijui sababu nini
 
Nilikuwa na mango WA kwenda huko kununua viwanja kadhaa ila ndo basi tena umenivunja moyo
Katiba ya Burundi haituhusu mtu asiyekuwa raia wa Burundi kumiliki ardhi nchini Burundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…