Niulize chochote kuhusu Taifa la Burundi


Maswali
1. Rais wa Kwanza wa Burundi anaitwa nani?
2. Marehemu Ndadaye aliuwawa kwa kosa gani?
3. Kuna vyama vikuu viwili vya kisiasa, vitaje
4. Taja sifu kuu Mbili za Mkoa Chibjitoke?
5. Nitajie Redio tatu marufu Nchini Burundi.
6. Nini tukio gani maarufu lilitokea mwaka 1994 nchini Humo?
7.Ardhi ya Burundi ina rutuba sana, True or False?
 
Utajibiwa na ujuwaji wako
 
Juzi kuna jamaa anasema laki 1 ya Burundi ni amepewa elfu 30 ya Tanzania yaan hela ya Burundi ina nguvu kuliko ya kwetu?
Mbona hesabu rahis yani ka 30 keti ni jilaki la huko sasa unasemaje hela yetu ipo chini
 
Watu wa Burundi Wana heshima na adabu sana ni wanyenyekevu sana wako very humble.....warundi wote naokutana nao Wana hizo sifa....je huwa wanafundishwa hivo tangu shulen au inakuwaje ...tofaut na wakenya na warwanda Hawa watu ni wababe sana wakorofi ngumi mkononi
 
Jina Burundi tu limekaa kishamba halafu masikini hao
Kwa hiyo hamna jipya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nilienda Malawi sikuona jipya πŸ˜…πŸ˜…wanavaa masantula
 
Watu wa Burundi baadhi ni wema Sana nikijaaliwa uhai nitaenda kuona ndg zangu japo waasi waliniulia ndg yangu
 
Chai maandazi
Cc : Tumbili wa mjini
 
Ina marais wangapi mpak Sasa
 
Binadamu wa kwanza kuishi burundi aliitwa nani, aliishi miaka gani na ni nani aliita nchi hiyo Burundi, akiwa na maana gan?
 
Sasa si ana google tu, au unamuona kama agoogle πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…