Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hapa ndio nimekudharau. Unaleta uongo wa wazi wazi mimi nimekunywa Primsi tangu 1992.Hapo starehe zipo, bia kubwa inabeba Lita 1 inaitwa primus, hizo safari lager zenu zinaingia mara 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndio nimekudharau. Unaleta uongo wa wazi wazi mimi nimekunywa Primsi tangu 1992.Hapo starehe zipo, bia kubwa inabeba Lita 1 inaitwa primus, hizo safari lager zenu zinaingia mara 4
Niulize historia, fursa, diplomasia, n. K nitakujibu
Inasemakana Taifa la Burundi ndo nchi masikini zaidi duniani.
Ukitaka uone shida za watu fika Burundi, kule ndo Kuna masikini na shida hasa, watu hawana nguo, viatu, watoto hawasoni, pesa ngumu n. K
Burundi Kuna makabila makuu 3 amba ni Wahutu ambao ndo wengi, Watusi na Watwa
Lugha kubwa Burundi ni Kirundi na Kiswahili huko mjini Bujumbura
Majengo na miundo mbinu Burundi ni duni mno, rami ipo maeneo macheche, magari sio mengi
Sokoni au gulioni watu wanaokula tu, wanalewa pombe za kienyeji, n.k ni umasikini sana
Mji mkuu wa Burundi ni Gitega yaani Kwa Hapa kwetu ni kama Dodoma. Huko ndo kuna ofsi za serikali ila ukiambiwa kuwa hii ndo Dodoma ya Burundi utashangaa yaani ni kama kijijini huko
Bunjumbura ndo mji wenye harakati nyingi, ndo mji wa Biashara Kwa Hapa Tanzania ndo kama Dar es salaam lakini inalingana na Bagamoyo mjini au pale Kibaha.
Hapo starehe zipo, bia kubwa inabeba Lita 1 inaitwa primus, hizo safari lager zenu zinaingia mara 4
Fursa za biashara kule ni mazao, kununua mazao Burundi ni bei nafuu na kuja kuuza huku
Au kupeleka mavazi
Warundi ni watu wema na waoga Kwa Watanzania, ukienda Mtanzania wanakuheshimu mno,
Ila uasi mtaani upo sana, kutekwa mchana sokoni na kuibiwa au kuuwawa ni jambo la kawaida.
Utajibiwa na ujuwaji wakoMaswali
1. Rais wa Kwanza wa Burundi anaitwa nani?
2. Marehemu Ndadaye aliuwawa kwa kosa gani?
3. Kuna vyama vikuu viwili vya kisiasa, vitaje
4. Taja sifu kuu Mbili za Mkoa Chibjitoke?
5. Nitajie Redio tatu marufu Nchini Burundi.
6. Nini tukio gani maarufu lilitokea mwaka 1994 nchini Humo?
7.Ardhi ya Burundi ina rutuba sana, True or False?
yaan elf 30 yetu sawa na laki yao , huon ipi yenye nguvu ?Sasa ikawaje jamaa akapewa elfu 30 na katoa laki 1 ya Burundi?
Mbona hesabu rahis yani ka 30 keti ni jilaki la huko sasa unasemaje hela yetu ipo chiniJuzi kuna jamaa anasema laki 1 ya Burundi ni amepewa elfu 30 ya Tanzania yaan hela ya Burundi ina nguvu kuliko ya kwetu?
Watu wa Burundi Wana heshima na adabu sana ni wanyenyekevu sana wako very humble.....warundi wote naokutana nao Wana hizo sifa....je huwa wanafundishwa hivo tangu shulen au inakuwaje ...tofaut na wakenya na warwanda Hawa watu ni wababe sana wakorofi ngumi mkononiNiulize historia, fursa, diplomasia, n. K nitakujibu
Inasemakana Taifa la Burundi ndo nchi masikini zaidi duniani.
Ukitaka uone shida za watu fika Burundi, kule ndo Kuna masikini na shida hasa, watu hawana nguo, viatu, watoto hawasoni, pesa ngumu n. K
Burundi Kuna makabila makuu 3 amba ni Wahutu ambao ndo wengi, Watusi na Watwa
Lugha kubwa Burundi ni Kirundi na Kiswahili huko mjini Bujumbura
Majengo na miundo mbinu Burundi ni duni mno, rami ipo maeneo macheche, magari sio mengi
Sokoni au gulioni watu wanaokula tu, wanalewa pombe za kienyeji, n.k ni umasikini sana
Mji mkuu wa Burundi ni Gitega yaani Kwa Hapa kwetu ni kama Dodoma. Huko ndo kuna ofsi za serikali ila ukiambiwa kuwa hii ndo Dodoma ya Burundi utashangaa yaani ni kama kijijini huko
Bunjumbura ndo mji wenye harakati nyingi, ndo mji wa Biashara Kwa Hapa Tanzania ndo kama Dar es salaam lakini inalingana na Bagamoyo mjini au pale Kibaha.
Hapo starehe zipo, bia kubwa inabeba Lita 1 inaitwa primus, hizo safari lager zenu zinaingia mara 4
Fursa za biashara kule ni mazao, kununua mazao Burundi ni bei nafuu na kuja kuuza huku
Au kupeleka mavazi
Warundi ni watu wema na waoga Kwa Watanzania, ukienda Mtanzaniaw wanakuheshimu mno,
Ila uasi mtaani upo sana, kutekwa mchana sokoni na kuibiwa au kuuwawa ni jambo la kawaida.
Kwa hiyo hamna jipya 😅😅😅😅😅😅 nilienda Malawi sikuona jipya 😅😅wanavaa masantulaJina Burundi tu limekaa kishamba halafu masikini hao
Ngara Kuna makabila ya washubi na wahangaza tu
Warundi wapo Burundi
Chai maandaziNiulize historia, fursa, diplomasia, n. K nitakujibu
Inasemakana Taifa la Burundi ndo nchi masikini zaidi duniani.
Ukitaka uone shida za watu fika Burundi, kule ndo Kuna masikini na shida hasa, watu hawana nguo, viatu, watoto hawasoni, pesa ngumu n. K
Burundi Kuna makabila makuu 3 amba ni Wahutu ambao ndo wengi, Watusi na Watwa
Lugha kubwa Burundi ni Kirundi na Kiswahili huko mjini Bujumbura
Majengo na miundo mbinu Burundi ni duni mno, rami ipo maeneo macheche, magari sio mengi
Sokoni au gulioni watu wanaokula tu, wanalewa pombe za kienyeji, n.k ni umasikini sana
Mji mkuu wa Burundi ni Gitega yaani Kwa Hapa kwetu ni kama Dodoma. Huko ndo kuna ofsi za serikali ila ukiambiwa kuwa hii ndo Dodoma ya Burundi utashangaa yaani ni kama kijijini huko
Bunjumbura ndo mji wenye harakati nyingi, ndo mji wa Biashara Kwa Hapa Tanzania ndo kama Dar es salaam lakini inalingana na Bagamoyo mjini au pale Kibaha.
Hapo starehe zipo, bia kubwa inabeba Lita 1 inaitwa primus, hizo safari lager zenu zinaingia mara 4
Fursa za biashara kule ni mazao, kununua mazao Burundi ni bei nafuu na kuja kuuza huku
Au kupeleka mavazi
Warundi ni watu wema na waoga Kwa Watanzania, ukienda Mtanzania wanakuheshimu mno,
Ila uasi mtaani upo sana, kutekwa mchana sokoni na kuibiwa au kuuwawa ni jambo la kawaida.
Sio swali wewe ni Mrundi...Hilo ndo swali lako?
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Kwa hiyo hamna jipya 😅😅😅😅😅😅 nilienda Malawi sikuona jipya 😅😅wanavaa masantula
Ina marais wangapi mpak SasaNiulize historia, fursa, diplomasia, n. K nitakujibu
Inasemakana Taifa la Burundi ndo nchi masikini zaidi duniani.
Ukitaka uone shida za watu fika Burundi, kule ndo Kuna masikini na shida hasa, watu hawana nguo, viatu, watoto hawasoni, pesa ngumu n. K
Burundi Kuna makabila makuu 3 amba ni Wahutu ambao ndo wengi, Watusi na Watwa
Lugha kubwa Burundi ni Kirundi na Kiswahili huko mjini Bujumbura
Majengo na miundo mbinu Burundi ni duni mno, rami ipo maeneo macheche, magari sio mengi
Sokoni au gulioni watu wanaokula tu, wanalewa pombe za kienyeji, n.k ni umasikini sana
Mji mkuu wa Burundi ni Gitega yaani Kwa Hapa kwetu ni kama Dodoma. Huko ndo kuna ofsi za serikali ila ukiambiwa kuwa hii ndo Dodoma ya Burundi utashangaa yaani ni kama kijijini huko
Bunjumbura ndo mji wenye harakati nyingi, ndo mji wa Biashara Kwa Hapa Tanzania ndo kama Dar es salaam lakini inalingana na Bagamoyo mjini au pale Kibaha.
Hapo starehe zipo, bia kubwa inabeba Lita 1 inaitwa primus, hizo safari lager zenu zinaingia mara 4
Fursa za biashara kule ni mazao, kununua mazao Burundi ni bei nafuu na kuja kuuza huku
Au kupeleka mavazi
Warundi ni watu wema na waoga Kwa Watanzania, ukienda Mtanzania wanakuheshimu mno,
Ila uasi mtaani upo sana, kutekwa mchana sokoni na kuibiwa au kuuwawa ni jambo la kawaida.
Sasa si ana google tu, au unamuona kama agoogle 😄Maswali
1. Rais wa Kwanza wa Burundi anaitwa nani?
2. Marehemu Ndadaye aliuwawa kwa kosa gani?
3. Kuna vyama vikuu viwili vya kisiasa, vitaje
4. Taja sifu kuu Mbili za Mkoa Chibjitoke?
5. Nitajie Redio tatu marufu Nchini Burundi.
6. Nini tukio gani maarufu lilitokea mwaka 1994 nchini Humo?
7.Ardhi ya Burundi ina rutuba sana, True or False?
Namimi nimeshanga huku Google Maps Bujumbura mji mkubwa Sana na wamejitahid umepangikaBujumbura kuzuri sana, kwa bagamoyo amedanganya