1: Bidha kama cement, nondo ndio huwa mara nyingi zinaamuliwa soko.1. price ya bei maana bidhaa za hardware hazina bei elekezi kutoka kwa bord kama yalivyo mafuta(EURA), ?
2. Unaweza vipi kutambua bidhaa feki wakati wakununua mzigo? maana kwa uzoefu wako yawezekana hauja kutana na hilo sana.
3. Mauzo kwa mwezi unaweza pata faida kiasi gani ukitoa pango na kulipa vijana?
1: Bidha kama cement, nondo ndio huwa mara nyingi zinaamuliwa soko.
2: kama we ni first timer nenda na fundi anaevijua hivyo vitu..mpatie na ya maji kidogo
3: intagemeana profit kwa hardware ndogo 80k to 100k, ya kti 100k na zaidi , kubwa 150k na zaidi ..kubwa zaidi 200k na zaidi per day..inategemeana na location ulipo..na mauzo
Kule ushindani ni mkubwa wa merchandisers... coz kule kuna viwanda vingi za kutengeneza materials na tools..so price ni za ushindani.Na plan kufanya biashara hii mkoani huko kanda ya ziwa na katika kupata mawili matatu naona bidhaa nyingi kule wanatoa kenya?
Hivyo naomba kuuliza bidhaa za ujenzi kutoka kenya kwanini ni nafuu sana kulinganisha na za hapa nchini kwetu?
Kama ni yenye tools, appliances kama kufuri, vitasa..etcYaani unaamanisha net profit kwa siku kwa hardware ndogo ni 80k hadi 100k. Kwa makadirio hiyo hardware ndogo inapaswa uwe na mtaji kiasi gani?
Kama ni yenye tools, appliances za kufuri.
Na visinki vya choo, waya za dirishani..andaa 25m to 30m
Kanda ya ziwa inajengeka sana...watu ni nyomi...wauza hardware mwz wametajirika kwa kuuza jumla kwa small retailers mikoa inayoizunguka..Na plan kufanya biashara hii mkoani huko kanda ya ziwa na katika kupata mawili matatu naona bidhaa nyingi kule wanatoa kenya?
Hivyo naomba kuuliza bidhaa za ujenzi kutoka kenya kwanini ni nafuu sana kulinganisha na za hapa nchini kwetu?
Uahindani wa wafanyabiashara na wwenye viwanda kenya ni mkubwa.....Asante sana boss.
Why Kenya bidhaa hizi zinakuwa na unafuu sana ukichukulia tofouti na huku kwetu tanzania?
Kanda ya ziwa inajengeka sana...watu ni nyomi...wauza hardware mwz wametajirika kwa kuuza jumla kwa small retailers mikoa inayoizunguka..
Kuna katoro, tarime, kahama, geita, na miji ya pembeni ya mwanza ..hio miji inakuja kwa kasi kafanye research kidogo..
Kahama , Geita na Katoro huwezi kufeli ukitengeneza hardware ya maana.Kanda ya ziwa inajengeka sana...watu ni nyomi...wauza hardware mwz wametajirika kwa kuuza jumla kwa small retailers mikoa inayoizunguka..
Kuna katoro, tarime, kahama, geita, na miji ya pembeni ya mwanza ..hio miji inakuja kwa kasi kafanye research kidogo..
Ngoja niendelee kuuza chipsiKama ni hardware kubwa hebu jaribu kuagiza nondo tu za mm 12 na 16 kwa bei ya sasa uone utabakiwa na shingapi, hapo ukakuwa hujawazia bei ya pango ambayo ni vizuri ukailipa kwa mwaka au miezi sita ili kuipa nafasi biashara ishike kasi (breaking even)
Hii business sio ya kitoto mkuu.
Mwambie kama ata deal bolts and nuts..aweke na spanners..hivyo hawez chom mahindi..awe karibu na gereji ..Dodoma vp kuna mdogo wangu anataka kufungua hardware Dodoma na je biashara ya bolt na but ikoje mikoani kwa udhoefu wako? Maana alitaka specilize kwenye bolt na nut Tu maana kuna Duka anauza kariakoo linadeal na bolt na nut za aina zote Tu.
Nimevutiwa sana na hii post kwa ambao tunania ya dhati kabisa, unaweza kutusaidia majina ya maduka wanayouza kwa ujumla vitu hivi? Hasa hasa dar? Na kwa wale wenye mtaji wa chini ya million 30 waweke sana sana bidhaa ipi na ipi? Ila la wauzaji wa jumla ukisaidia itapendeza zaidiPersonally nimefaidika na madini mengi humu JF kwa ajili ya maswala mbali mbali, sio vibaya na mimi kushare info na wana jamii wafaidike pia..
Nimekulia katika familia yenye b'ness ya hardware, then na mimi nikajikita katika b"ness hio hio.
Nitashare kutokana na uzoefu, uwezo na kiwango cha ujuaji wangu..
Karibuni na wengine mtakao kuwa na majibu kwa wengine..
Karibuni..
Jumla nenda pale kariakoo mtaa wa gerezaniNimevutiwa sana na hii post kwa ambao tunania ya dhati kabisa, unaweza kutusaidia majina ya maduka wanayouza kwa ujumla vitu hivi? Hasa hasa dar? Na kwa wale wenye mtaji wa chini ya million 30 waweke sana sana bidhaa ipi na ipi? Ila la wauzaji wa jumla ukisaidia itapendeza zaidi
Hapa lazima uwe umeshamili boss.. hapa ukiwa na 200m kwenda juu itakuwa poa.Mimi naomba kujua kufungua wholesale hardware ili kuuza kwa small & middle retailers Ina gharimu kiasi gani?