Niulize kuhusu biashara ya hardware, nitajibu kwa uwezo wangu

Hardware kuna raia wanapiga hela sana asee.
Ila kwanini watanzania wanapenda sana kufungua maduka?
 
kwa 20m jamaa anaweza fungua kiwanda kidogo after 5years akawa mbali kuliko kwenye hardware.
Kiwanda hicho kidogo kitakua kinazalisha nini, mahitaji yake, location, wafanyakazi + mishahara, leseni na usajili, soko la bidhaa zako.

Nafikiri ushauri uendane na biashara anayoipenda yeye 😊
 
Umemuuliza vizur sana. Alete majibu sasa
 
Kiwanda hicho kidogo kitakua kinazalisha nini, mahitaji yake, location, wafanyakazi + mishahara, leseni na usajili, soko la bidhaa zako.

Nafikiri ushauri uendane na biashara anayoipenda yeye 😊
Hilo ni swali lingine na ni nje ya uzi wa jamaa.
Ukisoma comment yangu ya mwanzo utaona niliandika kuwa hardware ni biashara nzuri.
Swala la kiwanda kidogo ni swali niliuliza.
 
Back
Top Bottom