Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Daaah mie paleontology nilisoma kama somo kabisa kwa semister nzima ilinitesa sana cz tc all about biology tu nlikonda sana kipindi kile
 
Jo
Mkuu Kuna tofauti ganj kati ya Mawe na Miamba?
Tofauti ni size tu. Kuna scale inatwa wentworth scale inaweza kutumika kuclassfy types zote kama garavel. Pebbles, cables etc
 
Kuna watu mnauliza maswali ambayo Majibu yake mnayo sijui shida yenu tujue na nyie mnajua..!! Mngeanzisha na nyie basi huu uzi

Hao wananisaidi kunipa challange ni vizuri wakiwepo
 
Mkuu mbona unanikatalia.. Kama unalojibu liseme tu..

Dunia haipo spherical ndugu..
Angalia hapa


Kuna principle nyingi zilizo tolewa na watu tofauti, lkn juu la shape ya earth ni hivyo mkuu hakuna siasa hapa..
 
Daaah mie paleontology nilisoma kama somo kabisa kwa semister nzima ilinitesa sana cz tc all about biology tu nlikonda sana kipindi kile
Yah hii ni kozi na wengi huwa wanaiogopa sana kwa sababu ya biology
 
Kwa mara ya kwanza nimefarijika sana kuona geo wenzangu wakijadili
Vizur basi tutambuane alf tubadiliashe hata namba za simu na tupeane machimbo nadhan mnafahamu hali ya ajira ilivyo kwa sasa.. Muanzisha uzi kama utaweza kutengeneza whatsapp group to taarifa tukupe namba zetu utu-add
Wako mtiifu
MULTIPHILL90
BSc GEOLOGY
UDOM-2013
 
Jo
Mkuu Kuna tofauti ganj kati ya Mawe na Miamba?
Nilitumia jiwe kulingana na jinsi mhusika alivyo uliza

Anyways, mwamba(rock) ni ile mjumuiko wa madini tofauti tofauti kwa ujumla ni mwamba na inakua ktk large scale

Jiwe(stone) ni vipande vya mwamba, huwa na size ndogo
 
Ntalifanyia kazi mkuu

Avatar mok
 
Asante mkuu kwa kuwaona hao watu, ila sio mbaya [emoji57]
 
Nimeanzisha uzi huu kuwapata watu kama nyie. Ikiwezekana tupeane channel.

Za machimbo mzee
Uko interested na chimbo? Well kama kun mgodi sehemu unweza kutumia taaluma yako na kuweza kujuwa hazina iliyopo au mpaka uchukuwe mchanga kutoka chimbo ukapimwe?

Je unayo taaluma ya kugunduqa miamba hasa kwa wachimbaji wadogo bila kutumia vifaa vya kisasa?

Je taaluma yako ni ya darasani zaidi au ukipelekwa field kwenye uhalisia unaweza kuitumia taaluma yako?
 
Asante mkuu kwa kuwaona hao watu, ila sio mbaya [emoji57]
Tulikuwa tunaondoa doubt mzee, dats y tukawa tunauliza maswali ya mtego ili tupate uhakika kama mwanzilishi wa uzi ana uhakika ameiva katika geology, anyway mjiolojia hauogopi changamoto hata maswali pia ni muhimu
 
Sina uzoefu sana na chimbo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…