Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Tanzanite ni jamii ya zoisite minerals..Bado hujajibu ipasavyo,Zoethite ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzanite ni jamii ya zoisite minerals..Bado hujajibu ipasavyo,Zoethite ni nini?
Daaah mie paleontology nilisoma kama somo kabisa kwa semister nzima ilinitesa sana cz tc all about biology tu nlikonda sana kipindi kileSwali zuri sana. Nakumbuka topic iliitwa paleontology
Anyway hiyo ni kwamba zinaitwa trace fossils. Zilitokana na kipindi kile almost 40 million years ago.
Kabla udongo haujawa changed kuwa rocks hizo nyayo zilikuwepo kama kwenye matope tu. But kutokana na hali ilipobadirika ule udongo ukawa changed to stone na zile nyayo hazikuharibika ndo maana tunaziona mpaka saiv.
Kuna evidence nyingi kama nyayo za dinasors na wanyama wengine.
Mkuu mbona unanikatalia.. Kama unalojibu liseme tu..Duuuuuh....daaaaah...kwa maelezo hayo but hujaja katka reality...unajua ukweli utajulikana tu hata kwa maelezo...
But asante kwa mchango wako..lakini pia unataka kunambia shape ya earth as spherical ilibuniwa tu...??
Kwani unataka kunambia miaka yako hiyo cjui 4 hukufundishw how planets came to exist under laws and processes governed..??
Tuache siasa....nijibu
Nilitumia jiwe kulingana na jinsi mhusika alivyo ulizaJo
Mkuu Kuna tofauti ganj kati ya Mawe na Miamba?
Ntalifanyia kazi mkuuKwa mara ya kwanza nimefarijika sana kuona geo wenzangu wakijadili
Vizur basi tutambuane alf tubadiliashe hata namba za simu na tupeane machimbo nadhan mnafahamu hali ya ajira ilivyo kwa sasa.. Muanzisha uzi kama utaweza kutengeneza whatsapp group to taarifa tukupe namba zetu utu-add
Wako mtiifu
MULTIPHILL90
BSc GEOLOGY
UDOM-2013
Bilashaka yawezekana alikariri tu aiseeee [emoji23]sasa jaman kma ulifundshwa kingereza ndo hata kumix na kiswahili ushindwe??,.. TOO MUCH
🙂 🙂 🙂 🙂Yah hii ni kozi na wengi huwa wanaiogopa sana kwa sababu ya biology
Asante mkuu kwa kuwaona hao watu, ila sio mbaya [emoji57]Kweli kabisa...kuna watu wawil watatu humu wanauliza maswali ya mitego...wanauliza maswali ambayo wanajua Majibu yao...mwalim hawezi kumfundisha mwalim kuna sehem tu hawataelewana.. Mwalim anaweza kumfundisha mwanafunz tu
Acheni viherehere kudandia nyuzi za watu nyie mngeanzisha nyie basi huu uzi....subiri muhusika ajibu maswali kama mkiona kuna sehem ya kuongeza ongezeeni sio na nyie muulize maswali
Uko interested na chimbo? Well kama kun mgodi sehemu unweza kutumia taaluma yako na kuweza kujuwa hazina iliyopo au mpaka uchukuwe mchanga kutoka chimbo ukapimwe?Nimeanzisha uzi huu kuwapata watu kama nyie. Ikiwezekana tupeane channel.
Za machimbo mzee
Tulikuwa tunaondoa doubt mzee, dats y tukawa tunauliza maswali ya mtego ili tupate uhakika kama mwanzilishi wa uzi ana uhakika ameiva katika geology, anyway mjiolojia hauogopi changamoto hata maswali pia ni muhimuAsante mkuu kwa kuwaona hao watu, ila sio mbaya [emoji57]
Asante mkuu, maana huku mitaan tunakaa na watu wa arts na uchumi tu, wallah geology yote inayeyuka kwenye bichwa
Sina uzoefu sana na chimbo mkuuUko interested na chimbo? Well kama kun mgodi sehemu unweza kutumia taaluma yako na kuweza kujuwa hazina iliyopo au mpaka uchukuwe mchanga kutoka chimbo ukapimwe?
Je unayo taaluma ya kugunduqa miamba hasa kwa wachimbaji wadogo bila kutumia vifaa vya kisasa?
Je taaluma yako ni ya darasani zaidi au ukipelekwa field kwenye uhalisia unaweza kuitumia taaluma yako?
Mkuu moyo unanituma nikutafute [emoji6]Mzee machimbo yapo sana tu