Nadhani gold hupatikana kwa kwenye Archean greenstone belt maeneo ya Geita, Shinyanga, Mara na maeneo ya karibu yanayojulikana kama Lake Victoria Goldfield.Inawezekana ila kama itakuwepo ni very deep sana af in very low concentration. Kwahiyo hata kuichimba itakuwa ni hasara.
Af gold deposits inapatikana kwa wingi katika ukanda wa Mozambique belt. Na dodoma ipo nje ya ukanda huu.
ww jamaa mpk insta unatumia jina hil nikasema nan huy kanifollowmkuu ina maana i ki2 kupata kaz ngum au?
Kuna kampuni inafanya exploration maeneo ya Handeni inaitwa Canaco, sio mgodi thou still wapo kwenye exploration.Kuna mgodi gani ambao upo kwenye mozambique belt?
Mkuu Zoisite ni moja kati ya silicate minerals zilizo na uhusiano wa kitabia ya kifizikia na kikemikali na tanzanite, hata chemical formula zao zinaendana.Bado hujajibu ipasavyo,Zoethite ni nini?
Gneiss huwa formed wakati rocks zinapokuwa subjected to high pressure na temperature huku ikiambatana na directed stress field perpendicular to the rock inayo under go metamorphism.Kuna swali meuliza lakini sijibiwi, au unalikwepa? Formation ya Gneiss ni ipi?
Not all minerals are formed by magmatic processIeleweke kwamba minerals (madini ) yote yametokana na pale molten magma (mantle) inapobadirika kuwa solid (inapoganda) ndo madini yote huwa yanatokea.
Sasa hizo rangi ni kutokana na sababu mbali mbali, mojawapo ikiwa ni inclusion of other minerals (madini ya rangi tofauti yanakuwa ndani ya madini mengine )ndo maana rangi zinakuwa tofauti.
Sababu nyingine ni kutokana na weathering proces nayo inaweza kusababisha kubadirika kwa rangi.
(Madini ya hivo yanaitwa gemstone)
Unajua tofauti ya lecturer na lecture?He was one of my lectures
Safi sana mkuu.Miamba inakuwa formed kutokana na hali mbali mbali zinazotokea Kwenye chanzo cha Miamba yote ambayo ni magma.. Na hapo ndipo tunapata aina kuu Tatu za Miamba...
1.Miamba moto-Hii hutokea pale magma kutoka katikati mwa dunia(earth) inapopoa nje ya uso wa dunia au ndani..
2.Miamba tabaka - Hii hutokea pale Miamba moto au Miamba geu(nitaeleza chini) inapomong'onyolewa kwa nguvu mbali mbali na kusafirishwa na kukusanywa Kwenye mabonde, na Muda unavyokwenda joto na mgandamizo huongezeka na kufanya Miamba tabaka.. Na sifa yake kuu ni kuwa inatengenezeka kwa matabaka, la Kwanza kukusanywa linakuwa la zamani kiumri kuliko la mwisho kujikusanya(deposit).
Miamba geu-Kama jina linavyojieleza ni Miamba ambayo mwanzo ilikuwa katika Hali hizo mbili za juu, yaaani "Miamba moto na Miamba tabaka" ila Hali ikatokea ya mabadiliko ya mgandamizo na joto ndipo Hali yake hugeuka na kutengeneza Miamba geu..
Natumai umepata picha kidogo.
Stamico ipo maeneo gani mkuuNenda pale stamico ukakata leseni then ndio uwaze kazi za kununua
Nilikua huko mwaka Jana na mwaka juzi.Kuna mjiolojia humu aliyewahi kwenda chimala mbeya kwa field work?
Hapo nataka nikurekebishe kidogo basement ya Crust na upper mantle ni Metamorphic ambayo ndo mama Wa miamba. Magmatism ambayo huzaa intrusive au extrusive rocks inakuwa mainly originated from uppermantle ambayo ni iko metamorphosedMawe yako katika aina kuu tatu, sedimentary, igneous na metamorphic
Katika aina izo tatu igneous ni aina mama ambayo inasababisha rocks nyngine, igneous inatokea kukiwa na volcanic yaani ule uji uji wa moto uki toka na kuganda eidha nje ya uso wa dunia au ndani (intrusives&extrusives)
Sedimentary inatokea endapo ivneous inapo kua weathered na maji au wanyama n. K
Metamorphic inatokea kama katika ukanda wenye sedimentary utaunguzwa na uwepo wa magma au pressure kubwa (burrial pressure abt 2kbar na kuendelea)
Basics ni hivyo.. Asante
Stamico ipo maeneo gani mkuu
Sometimes usiulize swali kwa lengo LA kumkomoa mtu Zoesite unaweza ukagoogle ukaisomaBado hujajibu ipasavyo,Zoethite ni nini?
Swali zuri piaMimi ninamgodi wa tanzanite ndio nimeanza kuchimba Sasa Mtu kama Wewe Unaweza nisaidia vipi kujua umbali wa mawe au njia...uwa Izo kazi mnafanya
Haha, kweli gemstones sio kabisa ... ike biashara kukizana kwingi sanaMkuu nipo Bado kwenye hii field ila kimachalemachale, ziko site mpwapwa, kilosa na Lindi.
Isitoshe bado nina code nets za surface area kadhaa ambazo unaweza kuomba Primary licences za utafiti.
Lakini nakwenda kwa hesabu familia inanitegemea ni hatari sana kuinvest nguvu zako zote kwenye mawe, bora biashara nyingine.