Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Inawezekana ila kama itakuwepo ni very deep sana af in very low concentration. Kwahiyo hata kuichimba itakuwa ni hasara.

Af gold deposits inapatikana kwa wingi katika ukanda wa Mozambique belt. Na dodoma ipo nje ya ukanda huu.
Nadhani gold hupatikana kwa kwenye Archean greenstone belt maeneo ya Geita, Shinyanga, Mara na maeneo ya karibu yanayojulikana kama Lake Victoria Goldfield.

Maeneo mengine ni ukanda wa Ubendian, maeneo ya Chunya na Mpanda.

Kidogo sana maeneo ya Mozambique belt kama Handeni na Morogoro.
 
Kuna mgodi gani ambao upo kwenye mozambique belt?
Kuna kampuni inafanya exploration maeneo ya Handeni inaitwa Canaco, sio mgodi thou still wapo kwenye exploration.

Migodi mingi ya gold ipo kunako Archean greenstone belt, ndipo kuna deposit kubwa ya gold so far kwa Tz.
 
Swali langu ni je unaweza ukaniambia kuhusu kama ninataka kuianza hii biashara ya mawe, niwe na nunua na kuuza je ni taratibu zipi nianze za kihalali au kisheria,
Kuna watu wazoefu wapo humu.
Wataweza kutusaidia
Hilo swali
 
Kuna swali meuliza lakini sijibiwi, au unalikwepa? Formation ya Gneiss ni ipi?
Gneiss huwa formed wakati rocks zinapokuwa subjected to high pressure na temperature huku ikiambatana na directed stress field perpendicular to the rock inayo under go metamorphism.

Gneiss huwa na mineral bands zinazoji align ( kutokana na directed stress) ambayo kijiolojia huitwa 'foliation'.

Poa gneiss huwa na mineral grains kubwa enough kuwa visible with naked eyes, hii husababishwa na intensity ya metamophism kuwa kubwa ( relatively high temperature and pressure)
 
Ieleweke kwamba minerals (madini ) yote yametokana na pale molten magma (mantle) inapobadirika kuwa solid (inapoganda) ndo madini yote huwa yanatokea.

Sasa hizo rangi ni kutokana na sababu mbali mbali, mojawapo ikiwa ni inclusion of other minerals (madini ya rangi tofauti yanakuwa ndani ya madini mengine )ndo maana rangi zinakuwa tofauti.

Sababu nyingine ni kutokana na weathering proces nayo inaweza kusababisha kubadirika kwa rangi.
(Madini ya hivo yanaitwa gemstone)
Not all minerals are formed by magmatic process
 
Miamba inakuwa formed kutokana na hali mbali mbali zinazotokea Kwenye chanzo cha Miamba yote ambayo ni magma.. Na hapo ndipo tunapata aina kuu Tatu za Miamba...
1.Miamba moto-Hii hutokea pale magma kutoka katikati mwa dunia(earth) inapopoa nje ya uso wa dunia au ndani..
2.Miamba tabaka - Hii hutokea pale Miamba moto au Miamba geu(nitaeleza chini) inapomong'onyolewa kwa nguvu mbali mbali na kusafirishwa na kukusanywa Kwenye mabonde, na Muda unavyokwenda joto na mgandamizo huongezeka na kufanya Miamba tabaka.. Na sifa yake kuu ni kuwa inatengenezeka kwa matabaka, la Kwanza kukusanywa linakuwa la zamani kiumri kuliko la mwisho kujikusanya(deposit).
Miamba geu-Kama jina linavyojieleza ni Miamba ambayo mwanzo ilikuwa katika Hali hizo mbili za juu, yaaani "Miamba moto na Miamba tabaka" ila Hali ikatokea ya mabadiliko ya mgandamizo na joto ndipo Hali yake hugeuka na kutengeneza Miamba geu..
Natumai umepata picha kidogo.
Safi sana mkuu.

Ila kiswahili kigumu sana

Kama hiyo magma ni uji unaochemka
 
Mawe yako katika aina kuu tatu, sedimentary, igneous na metamorphic

Katika aina izo tatu igneous ni aina mama ambayo inasababisha rocks nyngine, igneous inatokea kukiwa na volcanic yaani ule uji uji wa moto uki toka na kuganda eidha nje ya uso wa dunia au ndani (intrusives&extrusives)
Sedimentary inatokea endapo ivneous inapo kua weathered na maji au wanyama n. K
Metamorphic inatokea kama katika ukanda wenye sedimentary utaunguzwa na uwepo wa magma au pressure kubwa (burrial pressure abt 2kbar na kuendelea)

Basics ni hivyo.. Asante
Hapo nataka nikurekebishe kidogo basement ya Crust na upper mantle ni Metamorphic ambayo ndo mama Wa miamba. Magmatism ambayo huzaa intrusive au extrusive rocks inakuwa mainly originated from uppermantle ambayo ni iko metamorphosed
 
Mkuu nipo Bado kwenye hii field ila kimachalemachale, ziko site mpwapwa, kilosa na Lindi.

Isitoshe bado nina code nets za surface area kadhaa ambazo unaweza kuomba Primary licences za utafiti.

Lakini nakwenda kwa hesabu familia inanitegemea ni hatari sana kuinvest nguvu zako zote kwenye mawe, bora biashara nyingine.
Haha, kweli gemstones sio kabisa ... ike biashara kukizana kwingi sana
 
Back
Top Bottom