Felsic
Senior Member
- Jul 14, 2014
- 180
- 354
Nadhani gold hupatikana kwa kwenye Archean greenstone belt maeneo ya Geita, Shinyanga, Mara na maeneo ya karibu yanayojulikana kama Lake Victoria Goldfield.Inawezekana ila kama itakuwepo ni very deep sana af in very low concentration. Kwahiyo hata kuichimba itakuwa ni hasara.
Af gold deposits inapatikana kwa wingi katika ukanda wa Mozambique belt. Na dodoma ipo nje ya ukanda huu.
Maeneo mengine ni ukanda wa Ubendian, maeneo ya Chunya na Mpanda.
Kidogo sana maeneo ya Mozambique belt kama Handeni na Morogoro.