Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Nakuuliza katika Geology(for that matter nazungumzia Engineering Geology).
Katika elimu miamba pia kuna elimu udongo(Soil Mechanics)!
Sasa dwali jepesi, je aina za udongo gani zinaingia katika makundi matatu ya Miamba? Yaani Metarmophic Rock et al na aina tatu za udongo yaani Argilleciuos, Calcerous na Siliceous(spelling zingatia)
Kwa sababu miamba aina tatu muhimu huzalisha aina tatu za udongo. Humo ndani utakatana na Silica, Kaolinite, Irone Oxide, Calcium Ferroxide et al. Naomba uhusiano.

Hapo nimeuliza yale yanayohusiana Udongo na Geology. Sijataka kujikita na yale ya Soil Mechanics and Foundation Engineering

Ubarikiwe
Engineer Avatar mok nisaidie kwa hilo
 
Ukisema kaolinite nadhani unazungumzia clay!!
Clay, silt & sands izi zipo classified based on their sizes..

Agrillaceous, calcerous na siliceous msaada unahitajika.. Ninachojua ni precipitate tu ambazo zinahusika katika formation ya chemical rocks e.g limestone
 
Qtz huwa haingaii so haiwezi kua appear kama kioo
Si unatambua kuwa kuna varieties za mineral quartz sijui smocky quartz na zinginezo zilizo kuwa na impurities..
Nime speculate ivyo kwakua nilishawahi onyeshwa quartz zilizo clean kuna mtu alizipata izo sample uko kigoma na zipo nyingi zana
 
Well said then[emoji4]
 
Mkuu natumia knowledge yangu niliyoipata miaka minne.
Nimeanzisha uzi huu kuwapata watu kama nyie. Ikiwezekana tupeane channel.

Za machimbo mzee
Kuna mgodi unaitwa panda hill, nimpya upo katika kijiji cha songwe karibu na MBEYA CEMENT PLANT, wilaya ya mbeya vijijini.
Upo katika hatua ya Exploration Drilling.
Possible minerals., NEOBIUM.

Changamkia fursa mkuu.
 
Nilitumia jiwe kulingana na jinsi mhusika alivyo uliza

Anyways, mwamba(rock) ni ile mjumuiko wa madini tofauti tofauti kwa ujumla ni mwamba na inakua ktk large scale

Jiwe(stone) ni vipande vya mwamba, huwa na size ndogo
Ndugu yangu Avatar mok, kwa utofauti huo ni sawa na kusema kuna tofauti kati ya ugali mkubwa na ugali mdogo.(Kitu ambacho hakuna)..Kama mwamba (rock) ni mjumuiko wa madini tofauti, na stone ni vipande vya mwamba (vikiwa navyo na mjumuisho wa madini tofauti) utofauti wa mwamba (rock) na stone (jiwe) ni upi?

FYI.. Jiwe ni mwamba unaotumika katika ujenzi.... Chemical composition of a rock is 100% similar to that of a stone, utofauti unakuja katika matumizi..Na ndio maana unapokuwa field (Kama Geo) unachukua "rock samples" na sio "stone samples"
 
Kuna mgodi unaitwa panda hill, nimpya upo katika kijiji cha songwe karibu na MBEYA CEMENT PLANT, wilaya ya mbeya vijijini.
Upo katika hatua ya Exploration Drilling.
Possible minerals., NEOBIUM.

Changamkia fursa mkuu.
Naomba contacts zako mkuu
 
Ungelikua karibu ningelikupa offer moja matata sana... Naona umenivutia kasi umejilipua sasa, nimekupata mkuu 100%
 
UKO VIZURI MKUU INGAWA MIMI SIO GEOLOGIST
ILA NATUMIA CONSEPT YA GEOGRAPHY INGAWA VINGINE SIJUI KABISA MUNG AKUBARIKI KWA KUTOA ELIMU
 
Tarehe 3 August tunakutana Na wizara watu wote wenye maeneo ya makaa ya tumetumiwa email so humu kama mpo na hujapata taarifa nenda haraka wizarani
 
Kuna mgodi unaitwa panda hill, nimpya upo katika kijiji cha songwe karibu na MBEYA CEMENT PLANT, wilaya ya mbeya vijijini.
Upo katika hatua ya Exploration Drilling.
Possible minerals., NEOBIUM.

Changamkia fursa mkuu.
Hasante sana.

Nimesikia taarifa kama hizo ndo bado nlikuwa natafuta connection.

Hizi kazi hutakiwi kutulia sehemu moja.
 
Sasa unasemaje?
Micas pekee ndizo zing'aazo?? Japo kuna mineral kama talc gypsum hazing'ai

Tukumbushie kidogo properties of minerals.....
[emoji86] [emoji86] [emoji86]
Mbona properties za minerals zinaeleweka sana.

Kwa waliopitia chimala wanaelewa sana haya mambo.
 
Back
Top Bottom