Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Geological answer
EkzaktleeeGeological answer
Engineer Avatar mok nisaidie kwa hiloNakuuliza katika Geology(for that matter nazungumzia Engineering Geology).
Katika elimu miamba pia kuna elimu udongo(Soil Mechanics)!
Sasa dwali jepesi, je aina za udongo gani zinaingia katika makundi matatu ya Miamba? Yaani Metarmophic Rock et al na aina tatu za udongo yaani Argilleciuos, Calcerous na Siliceous(spelling zingatia)
Kwa sababu miamba aina tatu muhimu huzalisha aina tatu za udongo. Humo ndani utakatana na Silica, Kaolinite, Irone Oxide, Calcium Ferroxide et al. Naomba uhusiano.
Hapo nimeuliza yale yanayohusiana Udongo na Geology. Sijataka kujikita na yale ya Soil Mechanics and Foundation Engineering
Ubarikiwe
Nakuuliza katika Geology(for that matter nazungumzia Engineering Geology).
Katika elimu miamba pia kuna elimu udongo(Soil Mechanics)!
Sasa dwali jepesi, je aina za udongo gani zinaingia katika makundi matatu ya Miamba? Yaani Metarmophic Rock et al na aina tatu za udongo yaani Argilleciuos, Calcerous na Siliceous(spelling zingatia)
Kwa sababu miamba aina tatu muhimu huzalisha aina tatu za udongo. Humo ndani utakatana na Silica, Kaolinite, Irone Oxide, Calcium Ferroxide et al. Naomba uhusiano.
Hapo nimeuliza yale yanayohusiana Udongo na Geology. Sijataka kujikita na yale ya Soil Mechanics and Foundation Engineering
Ubarikiwe
Si unatambua kuwa kuna varieties za mineral quartz sijui smocky quartz na zinginezo zilizo kuwa na impurities..Qtz huwa haingaii so haiwezi kua appear kama kioo
Well said then[emoji4]Si unatambua kuwa kuna varieties za mineral quartz sijui smocky quartz na zinginezo zilizo kuwa na impurities..
Nime speculate ivyo kwakua nilishawahi onyeshwa quartz zilizo clean kuna mtu alizipata izo sample uko kigoma na zipo nyingi zana
Haha sure, piga sana routes kule. Basic geologic mapping..Umepanda chaufukwe???
Karibu.Asante kwa masahihisho, mimi ni mtu wa field sijakaa darasani kwenye fani hii.
Mkuu natumia knowledge yangu niliyoipata miaka minne.
Kuna mgodi unaitwa panda hill, nimpya upo katika kijiji cha songwe karibu na MBEYA CEMENT PLANT, wilaya ya mbeya vijijini.Nimeanzisha uzi huu kuwapata watu kama nyie. Ikiwezekana tupeane channel.
Za machimbo mzee
Sasa unasemaje?Well said then[emoji4]
Ndugu yangu Avatar mok, kwa utofauti huo ni sawa na kusema kuna tofauti kati ya ugali mkubwa na ugali mdogo.(Kitu ambacho hakuna)..Kama mwamba (rock) ni mjumuiko wa madini tofauti, na stone ni vipande vya mwamba (vikiwa navyo na mjumuisho wa madini tofauti) utofauti wa mwamba (rock) na stone (jiwe) ni upi?Nilitumia jiwe kulingana na jinsi mhusika alivyo uliza
Anyways, mwamba(rock) ni ile mjumuiko wa madini tofauti tofauti kwa ujumla ni mwamba na inakua ktk large scale
Jiwe(stone) ni vipande vya mwamba, huwa na size ndogo
Naomba contacts zako mkuuKuna mgodi unaitwa panda hill, nimpya upo katika kijiji cha songwe karibu na MBEYA CEMENT PLANT, wilaya ya mbeya vijijini.
Upo katika hatua ya Exploration Drilling.
Possible minerals., NEOBIUM.
Changamkia fursa mkuu.
Ungelikua karibu ningelikupa offer moja matata sana... Naona umenivutia kasi umejilipua sasa, nimekupata mkuu 100%Ndugu yangu Avatar mok, kwa utofauti huo ni sawa na kusema kuna tofauti kati ya ugali mkubwa na ugali mdogo.(Kitu ambacho hakuna)..Kama mwamba (rock) ni mjumuiko wa madini tofauti, na stone ni vipande vya mwamba (vikiwa navyo na mjumuisho wa madini tofauti) utofauti wa mwamba (rock) na stone (jiwe) ni upi?
FYI.. Jiwe ni mwamba unaotumika katika ujenzi.... Chemical composition of a rock is 100% similar to that of a stone, utofauti unakuja katika matumizi..Na ndio maana unapokuwa field (Kama Geo) unachukua "rock samples" na sio "stone samples"
Hasante sana.Kuna mgodi unaitwa panda hill, nimpya upo katika kijiji cha songwe karibu na MBEYA CEMENT PLANT, wilaya ya mbeya vijijini.
Upo katika hatua ya Exploration Drilling.
Possible minerals., NEOBIUM.
Changamkia fursa mkuu.
Mbona properties za minerals zinaeleweka sana.Sasa unasemaje?
Micas pekee ndizo zing'aazo?? Japo kuna mineral kama talc gypsum hazing'ai
Tukumbushie kidogo properties of minerals.....
[emoji86] [emoji86] [emoji86]