Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha kwanini mkuunisinge kuona hapa ningeshangaaa
😛😛😛Story ya kweli joberg iyo ndani yake kuna ubungo in bitoke's voice
tuko pamoja kiongoziHahaha sawa bhana!
Hakuna nchi yoyote duniani utakayoingia bila viza mkuu!yani viza ni lazima,so ata ukitaka kwenda Zambia ukifika pale boda kuna office ya uhamiaji Zambia pale Nakonde unagonga kisha unaenda upande wa pili kuendelea na safari...tofauti ya viza hii na hiyo uidhaniayo wewe ni kwamba hii ya Zambia,Zimbabwe,Souz aiombwi,tofauti na ya Uk au USA!so next time changia kitu unachokijua na usichangie kishabiki!Wacha uongo wa kijiweni tangu lini TANZANIAN PASPORT HOLDER tukahitaji VIZA YA ZAMBIA au ZAMBABWE?.....wacha porojo
Kwl asee watu tunawahi seat kabisaOya bado tu hiyo part tatu?
Hivi wewe unajuwa VIZA maana yake?Hakuna nchi yoyote duniani utakayoingia bila viza mkuu!yani viza ni lazima,so ata ukitaka kwenda Zambia ukifika pale boda kuna office ya uhamiaji Zambia pale Nakonde unagonga kisha unaenda upande wa pili kuendelea na safari...tofauti ya viza hii na hiyo uidhaniayo wewe ni kwamba hii ya Zambia,Zimbabwe,Souz aiombwi,tofauti na ya Uk au USA!so next time changia kitu unachokijua na usichangie kishabiki!
Unashindwa kutofautisha kati ya ENTRY..na VIZA..inchi zote za SADEC Tanzania tunaingia ENTRY...hatuhitaji VIZA...wacha upuuzi wa kudanganya watu....na huko unaposema UMESHINDWA MAISHA south africa....MIMI NDY NYUMBANI....unatupa marejesho south africa Wakati hata kufika hujafika,, unatuletea habari za kwenye KAHAWA.. ..elewa unapoanzisha UZI WOWOTE juwa kwamba humu kuna watu tofauti..na wanajuwa VINGI...sana..MADAGASCA ..IRAN.. INDIA..PAKISTAN..ITALY..GREECE...SPAIN..TURKY.....kwa kifupi mimi ni MSAFIRI sio ABIRIA kama wewe...JIFUNZE tofauti ya ENTRY na VIZA kwnza..ndy uje utudanganyeHakuna nchi yoyote duniani utakayoingia bila viza mkuu!yani viza ni lazima,so ata ukitaka kwenda Zambia ukifika pale boda kuna office ya uhamiaji Zambia pale Nakonde unagonga kisha unaenda upande wa pili kuendelea na safari...tofauti ya viza hii na hiyo uidhaniayo wewe ni kwamba hii ya Zambia,Zimbabwe,Souz aiombwi,tofauti na ya Uk au USA!so next time changia kitu unachokijua na usichangie kishabiki!
We ni mpuuzi,sasa kwani viza na hiyo entry ina tofauti gani na visa,why hiyo entry igongwe kwenye upande wa viza kama sii viza?Unashindwa kutofautisha kati ya ENTRY..na VIZA..inchi zote za SADEC Tanzania tunaingia ENTRY...hatuhitaji VIZA...wacha upuuzi wa kudanganya watu....na huko unaposema UMESHINDWA MAISHA south africa....MIMI NDY NYUMBANI....unatupa marejesho south africa Wakati hata kufika hujafika,, unatuletea habari za kwenye KAHAWA.. ..elewa unapoanzisha UZI WOWOTE juwa kwamba humu kuna watu tofauti..na wanajuwa VINGI...sana..MADAGASCA ..IRAN.. INDIA..PAKISTAN..ITALY..GREECE...SPAIN..TURKY.....kwa kifupi mimi ni MSAFIRI sio ABIRIA kama wewe...JIFUNZE tofauti ya ENTRY na VIZA kwnza..ndy uje utudanganye
A visa is an official document, or a stamp put in your passport, which allows you to enter or leave a particular country...!Hivi wewe unajuwa VIZA maana yake?