Niulizeni mimi yaliyonikuta Afrika Kusini

Wacha uongo wa kijiweni tangu lini TANZANIAN PASPORT HOLDER tukahitaji VIZA YA ZAMBIA au ZAMBABWE?.....wacha porojo
 
Af unajua adi sahivi nasubiria iyo part 3 af huleti tu
 
Wacha uongo wa kijiweni tangu lini TANZANIAN PASPORT HOLDER tukahitaji VIZA YA ZAMBIA au ZAMBABWE?.....wacha porojo
Hakuna nchi yoyote duniani utakayoingia bila viza mkuu!yani viza ni lazima,so ata ukitaka kwenda Zambia ukifika pale boda kuna office ya uhamiaji Zambia pale Nakonde unagonga kisha unaenda upande wa pili kuendelea na safari...tofauti ya viza hii na hiyo uidhaniayo wewe ni kwamba hii ya Zambia,Zimbabwe,Souz aiombwi,tofauti na ya Uk au USA!so next time changia kitu unachokijua na usichangie kishabiki!
 
Hivi wewe unajuwa VIZA maana yake?
 
Unashindwa kutofautisha kati ya ENTRY..na VIZA..inchi zote za SADEC Tanzania tunaingia ENTRY...hatuhitaji VIZA...wacha upuuzi wa kudanganya watu....na huko unaposema UMESHINDWA MAISHA south africa....MIMI NDY NYUMBANI....unatupa marejesho south africa Wakati hata kufika hujafika,, unatuletea habari za kwenye KAHAWA.. ..elewa unapoanzisha UZI WOWOTE juwa kwamba humu kuna watu tofauti..na wanajuwa VINGI...sana..MADAGASCA ..IRAN.. INDIA..PAKISTAN..ITALY..GREECE...SPAIN..TURKY.....kwa kifupi mimi ni MSAFIRI sio ABIRIA kama wewe...JIFUNZE tofauti ya ENTRY na VIZA kwnza..ndy uje utudanganye
 
We ni mpuuzi,sasa kwani viza na hiyo entry ina tofauti gani na visa,why hiyo entry igongwe kwenye upande wa viza kama sii viza?
By the way mm siye mwenye uzi.
 
Hivi wewe unajuwa VIZA maana yake?
A visa is an official document, or a stamp put in your passport, which allows you to enter or leave a particular country...!
So let me know the defferents between visa and entry!
 
Back
Top Bottom