"Jamaa akanisikilizaaaaa,
Kisha akaniambia...basi tuzunguke zunguke ili tuwapate jamii yako!!
Nikamjibu saws.....
Moyoni mwangu nikasema...
Mimi na wewe leo......pumbavvv". Hiki kipande kimenifurahisha sana... .ila hisia zangu zinanifanya niamini kuwa kama kuna kitu unakificha khs wewe, mana nikiangalia mtiririko wa simulizi yako, namna unavyohadithia kwa kuchanganya na sense of humour na ufasaha wa kupangilia matukio then nikija angalia makosa ya sarufi unayoyafanya, naona kama unayafanya makusudi ili kuficha uhusika wako halisi.......yani kwa kifupi namuona genious au writer ambae ni pro anaefanya makosa ya kiuandishi makusudi.