Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

Ana stress huyu wa kumpuuza Bure TU
Kwanza anedanganya kasoma Degree mbili na ana 26yrs Kwa nature ya elimu ya bongo na maishaa ya kwao wagogo mtoto anaanza shule na miaka 8 Hadi 10,nilikua naenda minadani huko kote alikokutaja unakutana na vitoto Ile school age wao wanauza chakula ,mbuzi n.k
Mtoto wa miaka Tisa std one
Mpk mpk amalize advance miaka 20 hukooo hapo haya hizo degree mbili kamaliza lini jamani
May be kama Ndo anamaliza this year
Shida ya mpwayungu village ni uongo,na kibaya zaidi Kuna watu Kwa kuwa wanafanana misimamo na mleta mada wanamtetea

Badala ya kumkanya wanamsifia hivyo wanampa kichwa kwenye hamna

Na hii inanipa picha kuwa mleta mada amedekezwa kwao,amelelewa kike kike kwa kupetipetiwa

Ndiyo hata humu anapenda maisha ya show off kama mtoto wa kike,kudeka deka na kupenda Maisha rahisi yasiyo na hustle
 
Ukifika upatrace mpaka kwao Ili tukate mzizi wa fitina
Si rahisi maana network shida I know maeneo yote aliyotaja vzr tu
Walau ng'ambakhu kidogo tigo IPO active ila mpwayungu network inasumbua mnooo
Ningeweza ningetrace ila mbaaaali kutokea mpunguzi jamani
Inshort vijiji vya Dodoma ni hovyoooooo mnoooo
 
1997 nipo la pili miye pale Makurumla mwembechai kabla haijabadilishwa kuwa Mwalimu Nyerere Primary School mwaka 1999 baada ya kifo Cha Baba wa Taifa
Ko shule ya msingi umesoma karume au dk omari, halafu hili ongo kweli makurumla inaanzishwa 2007 nipo naona nanimeshiriki kuweka tofali wewe unakuja kubwata apa eti 1997 [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Shida ya mpwayungu village ni uongo,na kibaya zaidi Kuna watu Kwa kuwa wanafanana misimamo na mleta mada wanamtetea

Badala ya kumkanya wanamsifia hivyo wanampa kichwa kwenye hamna

Na hii inanipa picha kuwa mleta mada amedekezwa kwao,amelelewa kike kike kwa kupetipetiwa

Ndiyo hata humu anapenda maisha ya show off kama mtoto wa kike,kudeka deka na kupenda Misha rahisi yasiyo na hustle
Na sisi tunakadekeza shenzi kabisa😠😠😠
 
Ana stress huyu wa kumpuuza Bure TU
Kwanza anedanganya kasoma Degree mbili na ana 26yrs Kwa nature ya elimu ya bongo na maishaa ya kwao wagogo mtoto anaanza shule na miaka 8 Hadi 10,nilikua naenda minadani huko kote alikokutaja unakutana na vitoto Ile school age wao wanauza chakula ,mbuzi n.k
Mtoto wa miaka Tisa std one
Mpk mpk amalize advance miaka 20 hukooo hapo haya hizo degree mbili kamaliza lini jamani
May be kama Ndo anamaliza this year
Na weww sijui nikuchane?
Hicho kichwa unakiona kimebeba hata diploma kichwani?
Hata uitaje digrii?
 
Si rahisi maana network shida I know maeneo yote aliyotaja vzr tu
Walau ng'ambakhu kidogo tigo IPO active ila mpwayungu network inasumbua mnooo
Ningeweza ningetrace ila mbaaaali kutokea mpunguzi jamani
Inshort vijiji vya Dodoma ni hovyoooooo mnoooo
Basi Kwa kuwa tupo likizo,nikiwa naenda dar nitapita huko nipaone
 
Na sisi tunakadekeza shenzi kabisa😠😠😠
We pitia nyuzi zake utaoana

Anapenda kudeka deka na kususa Susa

Ndiyo maana hata ule uzi wake wa safari yake ya Lindi aliishia njiani baada ya wadau kuuona uongo kwenye hadithi Ile na badala ya kukubali ukweli na kuomba radhi Kisha akajirekebisha ndio kwanza akasusa na kutukosesha uondo wa hadithi ile
 
Back
Top Bottom