Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Mkuu sio kila chaukucha kinaunguza, kuna watu wanavuta mixer, na chini wanaweka filter ya nyota hawafiki cha ukucha, labda dry na yenyewe kwa kiasi kidogo sana.. ishu za kuungua midomo kuna watu wana midomo black kwa kuzaliwa usije kutana na mtu ana mdomo mweusi ukaanza jamaa anavuta kweli kweli..Dah.....mzee uko sahihi....Ila baadhi hawavuti Hadi iko Cha ukucha kinachounguza mdomo na vidole pia....!!aina noma tuendelee kublaze
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app