Niwaaminishe vipi watu kuwa mimi sijawahi na sivuti Bangi?

Niwaaminishe vipi watu kuwa mimi sijawahi na sivuti Bangi?

Dah.....mzee uko sahihi....Ila baadhi hawavuti Hadi iko Cha ukucha kinachounguza mdomo na vidole pia....!!aina noma tuendelee kublaze
Mkuu sio kila chaukucha kinaunguza, kuna watu wanavuta mixer, na chini wanaweka filter ya nyota hawafiki cha ukucha, labda dry na yenyewe kwa kiasi kidogo sana.. ishu za kuungua midomo kuna watu wana midomo black kwa kuzaliwa usije kutana na mtu ana mdomo mweusi ukaanza jamaa anavuta kweli kweli..

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
All in all.. ganja sio kitu kizuri, tushapoteza wengi sana na wengine kufariki.. afya ya akili haiwezi kuwa sawa ukishaingiza bangi kichwani..

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sio kila chaukucha kinaunguza, kuna watu wanavuta mixer, na chini wanaweka filter ya nyota hawafiki cha ukucha, labda dry na yenyewe kwa kiasi kidogo sana.. ishu za kuungua midomo kuna watu wana midomo black kwa kuzaliwa usije kutana na mtu ana mdomo mweusi ukaanza jamaa anavuta kweli kweli..

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Umenipata lkn nilichokuwa namuelekeza uyo jamaa
 
Vitu kdg tu hiv unawaza???
JPEG_20210518_152034_8549998445497008029.jpg
 
Unajisikiaje unarudi home alaf uko nje unasikia watu huko wanasemaa achana nae mvuta bange huyo!

Hizi ni baadhi ya Kauli za maudhi toka kwa ndugu na ma snitch nilizowahi kuzisikia kunihusu mimi kipindi navuta mmea..


Kuliko kumpa kazi huyu mvuta bange bora muwapeleke kasuku huko Dubai. Huyu atawaharibia na atachafua jina la Ukoo huko. Na kweli kasuku wakaenda badala yangu

Anavuta bangi mpaka anafukiza

Siku si nyingi ataanza kuokota makopo

Inakuwaje huyu Jokha akatoka Brussels akaja mpenda mvuta bange Africa? Tena fanyeni bidii mumwambie huyo mvuta bange ni mwizi ili waachane vinginevyo hao wataoana na atamfundisha kuvuta bangi Jokha ( banamu yangu ambae sasa ni rubani huko belg)

Walifanikiwa maana siku ya ndoa lilizuka bonge la balaa..

Nikapata kazi katika shirika moja kubwa tu. Wakaanza tena yaani lazma aharibu pale sababu hawezi kaa bila kuvuta na kweli kule nikakutana na maboss wote wanapuliza mjani na nikadumu mpaka nilipoamua kufanya mambo zingine ( niliondoka ile nchi kwa mambo mengine kabisa na si bangi.

Nilikuwa natamani sana kuacha lakini kusema ukwel, kipindi navuta nilikuwa na ujasiri ambao sijui nilikuwa nautoa wapi, imenikutanisha na watu wakubwa ktk maisha yangu pasipokujua kama kuna siku ktk maisha haya naweza ongea na watu wenye heshima zao kama marais wastaafu( sio bongo bali humu humu Africa ) wake zao na familia zao, wafanyabiashara wakubwa ( nikimaanisha wakubwa wenye majina na utajiri wa maana haswa, na nikachangia nao vinywaji na wakapenda uwepo wangu na ma phantom yakanyongwa na zikavutwa pia.

Ganja imenikutanisha na mabalozi wastaafu ( si bongo narudia, na nikapata connection za maana tu mpaka kukanyaga Ulaya sababu tu ya ujasiri uliotokana na mmea.

Amini mleta mada Ganja si mbaya kama wangese waisemavyo vibaya ila ni mbaya kama utaitumia kama kilevi. Ganja si kilevi, Ganja ni Kinga na muongozo na unaweza kuwa mvutaji na watu wasijue kama unavuta..binafsi naamini wanaovuta bangi ni wengi kiliko wavuta Sigara. Hiwezi jua hili ka haujatoka kidogo. Nchi zenye asili ya Ubaridi wavutajibwa bangi ni wengi mno na ni kitu cha kawaida sana...



Kwa sasa nina muda mrefu sijatumia na pia ndio hivyo hivyo na mambo mengi haya3ndi kama nikiwa natumia, kwa sasa tuna familia na vile tunaishi na jamii za ma snitch unaamua tu kuishi analogy. Ila amininwakati uko na dred masnitch wengi walikuogoppa tofauti na sasa.
 
Back
Top Bottom