Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Kwani huyo mkewe alijifungua watoto wawili na wakafariki hakupata changamoto wakati anajifungua?Mbona umepaniki mkuu kitendo cha huyo mwamba unayemsifia kutelekeza damu yake isiyokuwa na hatia unaona ni sawa unafahamu changamoto alizopitia huyo Mwanamke mpaka akajifungua salama bila saport ya baba kuna wengine adui huwa wanamuombea njaa
Hawezi kuolewa huyoMkuu wewe umeolewa? Wewe ni single maza?
Inashangaza kosa alilofanya huyo Mwamba hawalioniKabisa acha watiane moyo but Mungu hulipa hapa hapa.
Afu yakiwakuta wao wanasema sisi wachawi shuwaini kabisa
Huyo alikuwa anatembea na laana Mungu kaamua amlipizie kwa staili hiyo na bado mpaka atubuKwani huyo mkewe alijifungua watoto wawili na wakafariki hakupata changamoto wakati anajifungua?
Adui wa mwanamke ni mwanamke
SafiNuzulat mambo
Sijaolewa wala sio single motherMkuu wewe umeolewa? Wewe ni single maza?
Walikua wakubwa kabisa wakwanza alikufa na Miaka Saba mwingine miaka sitaKwani huyo mkewe alijifungua watoto wawili na wakafariki hakupata changamoto wakati anajifungua?
Adui wa mwanamke ni mwanamke
Umeona ee na Mungu aendelee kumlaani adi mwisho maana nakumbuka dada angu alikua kama kichaa mzee wangu ndo usiseme aliumwa pressure adi kidogo afe acha Mungu aendelee kumchapaHuyo alikuwa anatembea na laana Mungu kaamua amlipizie kwa staili hiyo na bado mpaka atubu
Oh una umri gani tuyajenge mama..!?Sijaolewa wala sio single mother
Upo wap Nuzulat nahisi nakufahamu vile..Safi
Speaking as if you are God. MsheeewHawezi kuolewa huyo
Hakuna laana yoyote hapo acha kuamini kwenye vitu vya ajabu. Wote waliofiwa watoto wamezalisha na kuwaacha watoto wao?Huyo alikuwa anatembea na laana Mungu kaamua amlipizie kwa staili hiyo na bado mpaka atubu
Aisee poleni sana kumtetea mharifu hakumfanyi mharifu huyo awe mtakatifuUmeona ee na Mungu aendelee kumlaani adi mwisho maana nakumbuka dada angu alikua kama kichaa mzee wangu ndo usiseme aliumwa pressure adi kidogo afe acha Mungu aendelee kumchapa
Unapaniki nini sasa? "Tutaolewa" mtaolewa na nani, kumbe mpo wengi hapo nyumbani ambao hamjaolewa!Speaking as if you are God. Msheeew
Kama ipo ipo tutaolewa wala Sina haraka nayo
Simtetei mtu yeyote hapa ila kitendo cha huyu kufurahia vifo vya hao watoto kuna siku kitakuwa mwiba kwake.Aisee poleni sana kumtetea mharifu hakumfanyi mharifu huyo awe mtakatifu
Cc.Mbao za mawe
Hata wewe una amini vitu vya ajabu kwa sababu umepaniki kumjibu mtoa mada.kilichomrudisha huyo mwamba nini baada ya watoto wake kufariki nadhani nafsi inamsuta anaona kuna dhambi alitenda acha kutetea ujingaHakuna laana yoyote hapo acha kuamini kwenye vitu vya ajabu. Wote waliofiwa watoto wamezalisha na kuwaacha watoto wao?
Acheni kujiweka kwenye makundi ya wahitaji huruma, usingle mama usiwe tiketi ya kuhurumiwa na kufurahia matatizo.
Yakiwakuta wanawake wamejitakia wanamdomo ila yakiwakuta nyie ni kawaida Ile ni laana na itamtafuna adi mifupaHakuna laana yoyote hapo acha kuamini kwenye vitu vya ajabu. Wote waliofiwa watoto wamezalisha na kuwaacha watoto wao?
Acheni kujiweka kwenye makundi ya wahitaji huruma, usingle mama usiwe tiketi ya kuhurumiwa na kufurahia matatizo.
Hata mimi sifurahii hivyo vifo ila kitendo cha kumtetea huyo mwamba unaonesha ni kiasi gani umewahi kukataa mimba ndio maana unaona jambo la kawaidaSimtetei mtu yeyote hapa ila kitendo cha huyu kufurahia vifo vya hao watoto kuna siku kitakuwa mwiba kwake.
Ni sawa na laana ya kuzalishwa mkiwa nyumbani itakavyoendelea kuwatafuna. Maji yamefuata mkondo yawezekana Bibi yako alizalia nyumbani, Mama akazalia nyumbani na nyie mmerithi na mnaendelea kudumisha mila zenu za kuzalia nyumbani.Yakiwakuta wanawake wamejitakia wanamdomo ila yakiwakuta nyie ni kawaida Ile ni laana na itamtafuna adi mifupa
Kwa nini mna amini Wanawake ndio tunashidaa sana ya ndoa kuliko nyinyiUnapaniki nini sasa? "Tutaolewa" mtaolewa na nani, kumbe mpo wengi hapo nyumbani ambao hamjaolewa!