Niwe mmoja wa WanaJF mwenye nyumba kali

Mp
Aka leo hauna nyumba? Shame on you kinuka mkojo
 
Hujasoma ukanielewa.
My concern sio hiyo 250m uliyoitaja kuwa haitafika...but umetumia kigezo gani kuzipata?
Sijui jins yakuelezea zaid ili uelewe mkuu..
Hiyo sio Villa ya kawaida,ni mansion.
Kwa mtu yeyote anayejenga mara kwa mara akiona hiyo picha ni rahisi tu kukadiria gharama
Yote kwa yote mtoa mada ataamua mwenyewe kuamin kuwa atajenga kwa 40M, 70M , 150 M, 250M au 400 M.
Mi namtakia tu kila la.heri na ndoto yake ikatimie🙏
 
Ukijenga jumba lenye roof iliyoenda juu sana kama 90% ya nyumba zilizojemgwa Dodoma wewe ni MASIKINI FUKARA kabisa
 
Nimefurahi kuona ramani umeitoa kwa mtu wa 254 hawa watu wanashangaa sana kwanini tunajenga majumba yenye roof za kwenda juu na tukiulizwa tunasema kwa sababu ya joto.

Joto njombe?
Joto Mbeya?
Joto Mwanza?
Yani reason ya kimasikini
 
Haya mambo ya kubadilika desgn kila kukicha ndo yalinifanya nishindwe kabisa kujenga dream house kwa mda mrefu.

Kisingizio: sijapata pesa.

Maana Unajibana kujenga, Siku unahamia unajikuta umehamia nyumba ya kizamani unatamani kubomoa uanze upya[emoji4]
 
Kwa Hiyo picha,
Aandae kuanzia 100+ mil mpk finishing
Tena hapo kasimamia mpk penati
 
Siri ni moja, jenga plain design house.
Usikimbilie mafasheni yenu.

Ukienda nchi za scanfnavia kuna nyumba za 1905 yaani haichuji muonekano...siri..plain design
 
Nakubali atakua na nyumba kali,lakini hawezi kuwa na nyumba kali kuliko Wana jf wote...
Mkuu kuna watu Wana nyumba humu,hata miaka 100 mbele hatuwezi kuwa na nyumba kama wao na hawajioneshi.
Mkuu hao wa miaka 100 ni kina nani
 
Suala ni pesa.

Wengi wanataka kukaa kwao ila hela hakuna.

Nani anaweza nunua hiko kiwanja hapa Dar?

Unaenda Goba unaambiwa 50,000 kwa sqm.

Hizo heka 5 si utanunua kwa 300M?

Bei za viwanja zinatakiwa kushuka kwa kiwango kikubwa ili waweze nunua hizo ekari kubwa.
 
Siri ni moja, jenga plain design house.
Usikimbilie mafasheni yenu.

Ukienda nchi za scanfnavia kuna nyumba za 1905 yaani haichuji muonekano...siri..plain design
Plain design ndio umemanisha nn mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…