Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

hiyo atom imetokea wapi?
 
Anyway nimekusoma😊😊😊
 
possibly kama unaamini katika Mungu ndio hiyo
anhaa! sasa huyu universal consciousness haongelei kuhusu walimbwende 72 utakaopewa huko mbinguni
pia kama wewe ni mlimbwende huko utapewe vidume au vipi?, au wote tutaimba tu na kuabudu?
au huyu yeye hana habari na mtu
 
Mpaka sasa umeweza kuhamisha milima mingapi?
Kuna sababu yoyote ya msingi ya kuhamisha huo mlima?

Au ndio ile "Ukiwa nacho tamba/ringa"...

Tunaitumia IMANI yetu kwenye mambo ya msingi, mfano ukishikwa na udhaifu ukaja Mimi nitasema na Mungu Atakuponya.
 
Mathayo 17:20
[20]Yesu akawaambia, Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu. Kwa maana, amin, nawaambia, Mkiwa na imani kiasi cha punje ya haradali mtauambia mlima huu, Ondoka hapa uende kule; nao utaondoka; wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu.
Ukifikiria kwa makini, bila kuweka hisia zozote, utagundua kuwa uwezekano wa kuwepo mungu ni mdogo.
Ukizaliwa kwenye family ya kiislamu utakuwa muislamu. Ukizaliwana mkristo vilevile.
Binadamu anaamini anachoambiwa.
Kwani wanao slimu wote walizaliwa waislamu? Na wanaobatizwa wote walizaliwa kwenye dini za kikristo?

Mungu Yupo..
 
Waebrania 11:6
"Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao."
 
anhaa! sasa huyu universal consciousness haongelei kuhusu walimbwende 72 utakaopewa huko mbinguni
pia kama wewe ni mlimbwende huko utapewe vidume au vipi?, au wote tutaimba tu na kuabudu?
au huyu yeye hana habari na mtu
Huyu hana ahadi yeyote kwako yeye anajitosheleza haitaji akumiliki wakati tiali ni wake ndio maana hana ahadi za atakupatia hiki au kile
ukimfuata. Haitaji apewe jina lolote ili limpe utambulisho wake yeye hana jina ila yupo haitaji kujishusha kwetu kwake ili kumplease
Wala haitaji sifa zozote toka kwetu tiali anazo zote mpaka tusizozijua.
Haitaji kumnadi ili ajulikane na wengi wakati yeye ndio aliyewaumba angetaka ajulikane angefanya mechanism wakat wa kutuumba
turetain memory yake ambayo kwa hakika alivyo bila shaka yeyote. Hakutak ivo katupa free will yeye hana dress code wala baya na jema kwake yote sawa.
Kwasababu ubaya una exist kucompesate wema na wema unaexist kucompasate ubaya.
Ispo kuwa ubaya wako au uzuri wake unatunzwa kwenye memory kama vitu vingine na hiyo memory imecarry energy kumbuka kila kitu ni energy and have memory.
Ubaya wako au wema wako utakufuata kupitia memory ulizocarry kama energy mpaka energy hiyo iwe consumped.
Yeye ameshagenerate law ambazo zinajiongoza na zinaguide kila kitu.
Yupo mahali pote na wakati wote hana makazi mbinguni huyu wala hana kiti cha kukalia kam kiti cha enzi ni universal
na kila kitu ni reflection yake.
 
mmh! sema huyu nae, kwamba yeye hataki chochote hata kutukuzwa kidogo tuu
sisi tufanye mabaya, yeye freshi tuu na waswas nae kwakweli
 
hana mashiko huyu mimi nataka anaye nionyesha njia nikimtumikia
huyu yeye amekaa kaa tuu
 
mmh! sema huyu nae, kwamba yeye hataki chochote hata kutukuzwa kidogo tuu
sisi tufanye mabaya, yeye freshi tuu na waswas nae kwakweli
hana wivu chuki wala hasira, wala hana tamaa even kuwish course hivo vina exist kweny mind ya kibinadamu tu.
umtumikie apate nin kwa mfano?
Huwez kumtumikia kwasababu ni self sufficient..
Hafanyi robbing kwa ahadi kedekede.
Just amekuumba uweze kurise to the maximum kwa kila potential aliyokujalia.
Na ukiachive unarudi kuw part of the universal conscious
 
Alizani anatoka kumbe amejifungia mwenyewe
 
hana wivu chuki wala hasira course hivo vina exist kweny mind ya kibinadamu tu.
Huwez kumtumikia kwasababu ni self sufficient.
Just amekuumba uweze kurise to the maximum kwa kila potential aliyokujalia
mbona huyu wa maandiko yetu hana wivu huyu wala hana hasira
sisi waislamu na wakristo wote tunamtumikia vizuri tuu
 
na wewe nawe vipi Mungu anaweza kua kikundi cha watu? duh aisee
 

Unahisi hivyo kwa sababu umeaminishwa na kukuzwa hivyo tangu ungali mdogo, kuomba kwa pamoja basi mtapata miujiza(you're programmed).
Yote hayo unayoyaona na kuyahisi hayana uthibitisho kuwa huyo mungu ndo ametenda but unahisi hivyo kwasababu ya makuzi uliyokulia tu.

Unaweza kuthibitisha kuwa mungu ndo amekupa hiyo pumzi....
Uongo ukisemwa sana kwa kurudia rudia bila kukanushwa huaminika kuwa ndo ukweli, hata dhana ya uwepo wa mungu ni uongo uliosemwa sana bila kukanushwa hadi miaka ya mbele sana watu walipo anza kuji hoji uwepo wa huyo mungu.
Mind you mungu ni mawazo tu ya binadamu katika kutafuta tumaini la matatizo aliyokuwa nayo
 
Hakuna jipya hapo ila kama we we hadi sasa hauamini uwepo wa Mungu hiyo ni juu yako

Hayo uliyoyasema tulishafundishwa ndani ya Quran

Kwamba Binaadam baada ya kuumbwa waliishi miaka mingi wakiwa hawajui chochote

Quran 76:1
Hakika kilimpitia binaadamu kipindi katika zama ambacho kwamba hakuwa kitu kinacho tajwa.


Lakini baadae Mungu akajifunua kwao kupitia manabii

Quran 76:3
Hakika Sisi tumembainishia Njia. Ama ni mwenye kushukuru, au mwenye kukufuru.

Tena bado umepewa option ukubali uwepo wa Mungu au ukatae na ndio maana wewe unakataa uwepo wa Mungu ila ukikataa uwepo wa Mungu ujue kabisa kuwa moto wa jahanam unakusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…