Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

unapofikiria kuhusu ulimwengu fikiria kuhusu single atom

unapofikiria kuhusu ulimwengu huu usiende mbali fikria kuhusu single atom.
Kila kitu kimerise huko hai sio, hai. kinaonekana, hakionekan.
Hata ivo vinavyocary memory, intelligence pia hujui kama ni atom.
Tukidissolve mwili wako hakuna sehem tutakuta kitu tofauti na atoms.
Hiyo intelligence na memory inaexist wap tofauti na kwenye atom.
hiyo atom imetokea wapi?
 
Amini Mungu yupo
Hakuna mwenye tatizo kabisa na kipi unapaswa kuamini

Unaweza amini almost anything
Tatizo ni pale unapotaka na wengine wafate imani yako, na wasipofata uwaone waovu na kuwalaani kuwa watafia kwenye tanuru la moto

Unapofikia hatua hii, ndipo tunapotaka uthibitishe unachoamini

Hakuna aliyeweza, mpaka kwanzia page ya kwanza mpaka hii

Pia wakati una mshukuru Mungu kwa kukuweka hai wewe na Familia yako

Kuna mtoto hivi sasa somewhere,ana mpoteza mama yake kwa Cancer japo alimuomba sana Mungu amsaidie

Mungu ambaye alishindwa kuzuia Hitler asiue watu zaidi ya Million 16 ndani ya miaka 5

Point ni kwamba, maombi ni 50 na 50
Yaani kila unachoomba kina nafasi ya kutimia kwa 50%
Wewe shahidi, nusu ya yote unayoomba hayatimii

Kujipa moyo unasema Mungu atakujibu siku yoyote au wenda sio mapenzi yake

Unasahau kuwa ni just matter of coincidence
Umeomba usiku huu upate kazi, na kesho ukaitwa kwenye interview

Mungu amejibu maombi sio?
Kwenye interview kuna non believer ambae pia ali apply na akaitwa bila kufanya maombi kama wewe,

Ni just circumstance tuu

Kuomba ni sawa na kuongea peke yako

Na kama unaamini kwenye Mungu aliyepanga kila step katika maisha yako tangu ukiwa tumboni basi utakubaliana na mimi ninaposema maombi ni kujiongelesha peke yako

Fikiria hivi, kama Mungu tayari alishaanda Mpango kamili kuhusu maisha yako,

Na alijua kipi kinakufaa na kipi hakikufai,

Huoni kuomba ni kutaka kubadili mipango yake?

Kama alipanga usioe au kuolewa, huoni kuomba ndoa ni kuongea peke yako?

Pia hii hewa unayovuta haina sababu yoyote ya kuuzwa

Kuuza na kununua ni human constructions, zina maana tu kwenye akili yetu

Hujui carbon dioxide unayoitoa, inavutwa na mimea inayotoa oxygen in return

Ni fair exchange, kama unaamini katika kuuza na kununua basi kila sekunde unayopumua unanunua oxygen kwa kulipia carbon dioxide
Anyway nimekusoma😊😊😊
 
possibly kama unaamini katika Mungu ndio hiyo
anhaa! sasa huyu universal consciousness haongelei kuhusu walimbwende 72 utakaopewa huko mbinguni
pia kama wewe ni mlimbwende huko utapewe vidume au vipi?, au wote tutaimba tu na kuabudu?
au huyu yeye hana habari na mtu
 
Mpaka sasa umeweza kuhamisha milima mingapi?
Kuna sababu yoyote ya msingi ya kuhamisha huo mlima?

Au ndio ile "Ukiwa nacho tamba/ringa"...

Tunaitumia IMANI yetu kwenye mambo ya msingi, mfano ukishikwa na udhaifu ukaja Mimi nitasema na Mungu Atakuponya.
 
Mathayo 17:20
[20]Yesu akawaambia, Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu. Kwa maana, amin, nawaambia, Mkiwa na imani kiasi cha punje ya haradali mtauambia mlima huu, Ondoka hapa uende kule; nao utaondoka; wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu.
Ukifikiria kwa makini, bila kuweka hisia zozote, utagundua kuwa uwezekano wa kuwepo mungu ni mdogo.
Ukizaliwa kwenye family ya kiislamu utakuwa muislamu. Ukizaliwana mkristo vilevile.
Binadamu anaamini anachoambiwa.
Kwani wanao slimu wote walizaliwa waislamu? Na wanaobatizwa wote walizaliwa kwenye dini za kikristo?

Mungu Yupo..
 
Waebrania 11:6
"Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao."
 
anhaa! sasa huyu universal consciousness haongelei kuhusu walimbwende 72 utakaopewa huko mbinguni
pia kama wewe ni mlimbwende huko utapewe vidume au vipi?, au wote tutaimba tu na kuabudu?
au huyu yeye hana habari na mtu
Huyu hana ahadi yeyote kwako yeye anajitosheleza haitaji akumiliki wakati tiali ni wake ndio maana hana ahadi za atakupatia hiki au kile
ukimfuata. Haitaji apewe jina lolote ili limpe utambulisho wake yeye hana jina ila yupo haitaji kujishusha kwetu kwake ili kumplease
Wala haitaji sifa zozote toka kwetu tiali anazo zote mpaka tusizozijua.
Haitaji kumnadi ili ajulikane na wengi wakati yeye ndio aliyewaumba angetaka ajulikane angefanya mechanism wakat wa kutuumba
turetain memory yake ambayo kwa hakika alivyo bila shaka yeyote. Hakutak ivo katupa free will yeye hana dress code wala baya na jema kwake yote sawa.
Kwasababu ubaya una exist kucompesate wema na wema unaexist kucompasate ubaya.
Ispo kuwa ubaya wako au uzuri wake unatunzwa kwenye memory kama vitu vingine na hiyo memory imecarry energy kumbuka kila kitu ni energy and have memory.
Ubaya wako au wema wako utakufuata kupitia memory ulizocarry kama energy mpaka energy hiyo iwe consumped.
Yeye ameshagenerate law ambazo zinajiongoza na zinaguide kila kitu.
Yupo mahali pote na wakati wote hana makazi mbinguni huyu wala hana kiti cha kukalia kam kiti cha enzi ni universal
na kila kitu ni reflection yake.
 
mmh! sema huyu nae, kwamba yeye hataki chochote hata kutukuzwa kidogo tuu
sisi tufanye mabaya, yeye freshi tuu na waswas nae kwakweli
 
hana mashiko huyu mimi nataka anaye nionyesha njia nikimtumikia
huyu yeye amekaa kaa tuu
 
mmh! sema huyu nae, kwamba yeye hataki chochote hata kutukuzwa kidogo tuu
sisi tufanye mabaya, yeye freshi tuu na waswas nae kwakweli
hana wivu chuki wala hasira, wala hana tamaa even kuwish course hivo vina exist kweny mind ya kibinadamu tu.
umtumikie apate nin kwa mfano?
Huwez kumtumikia kwasababu ni self sufficient..
Hafanyi robbing kwa ahadi kedekede.
Just amekuumba uweze kurise to the maximum kwa kila potential aliyokujalia.
Na ukiachive unarudi kuw part of the universal conscious
 
Unachotumia wewe ni Teleological Argument au Argument from design

Kuwa kitu complex kama Jicho, moyo au ubongo haviwezi tokea tu bila kuundwa, hivyo aliyehusika kuviunda ndiye tunamuita Mungu

Hii hoja ishakuwa debunked mara kibao, ina refutations zaidi ya 100

Hapa hapa JamiiIntelligence ishakuwa refuted kama unafatilia hii mijadala

Una assume njia pekee ya kupata kitu complex kama Jicho la binadamu ni by intelligent design

unatengeneza False dilemma,njia nyingine ya kupata kitu complex kama hicho ni biological evolution na natural selection

Ubaya mnaingia kwenye hizi discussion mkiwa empty headed, siwezi kukufundisha evolution hapa tenga mda wako ujifunze ili uipinge kwa fact

Kila organ katika mwili wako ina historia yake ndefu kwenye evolution

So kwakua hujui chochote kuhusu evolution, tu stick kwenye hoja yako

Hii ndio hoja yako

1.Kitu chochote complex lazima kiwe na designer,hakiwezi tokea tu
By neno complex, tuna maana ya kitu ambacho well organized, kinafanya kazi katika namna inayofata mtiririko kiasi kwamba hakiwezi tokea tu kwa bahati

Ukilinganisha na vitu simple tu, ambayo vinaweza tokea tu kwa bahati, kama jiwe unalokutana nalo njiani

Mark hio premise ya kwanza, hii ni sheria iliyoamua kuitumia kujenga hoja yako

Hili hoja yako iwe sahihi, ni lazima hii sheria uishikirie mpaka mwisho

2.Jicho la binadamu ni complex lazima liwe na designer

3.Huyo designer ndiye Mungu

Sasa swali la msingi hapa Mungu ni complex au simple?

Ni bayana, sio simple
Hawezi kuwa sawa na jiwe, Mungu mwenye uwezo wa kuumba ubongo wenye uwezo wa kujitambua, au jicho linaloweza tofautisha mamillion ya rangi

Ni far much complex kuliko chochote alichokiumba

Utakua mjinga ukisema Mungu unayemuamini wewe ni simple kuliko wewe

Kwa hio Mungu ni complex, tukirejea premise ya kwanza ambayo ndio msingi wa hoja yako Mungu naye ni lazima awe na designer ambae ni far much complex na huyo designer lazima pia awe na designer

List haiishi, kwenye logic tunaiita infinite regression

Sasa ukisema Mungu pamoja na kuwa complex zaidi ya Jicho anaweza kutokea tu bila kuundwa wala kuwa na chazo, kwanini kitu less complex kama jicho kiundwe?

Kama kitu kikubwa kama Airbus kinaweza tokea tu chenyewe (Mungu) kwanini kijiko kisitokee tu chenyewe (jiko)

So hoja yako hapo juu inajifunga yenyewe, ni self defeating

Pia huyo designer hata kama yupo haina maana kuwa ni Mungu huyo unayemuamini wewe

Haina maana ndiye Mungu wa dini yako, au Mungu wa biblia au Quran

Kwenye hoja yako wapi ume prove hivyo?

Na sio lazima awe single designer wanaweza wakawa team, kipi kinafanya uamini ni mmoja

Kama kweli unafahamu unachokitetea hebu jibu hii hoja?
Alizani anatoka kumbe amejifungia mwenyewe
 
hana wivu chuki wala hasira course hivo vina exist kweny mind ya kibinadamu tu.
Huwez kumtumikia kwasababu ni self sufficient.
Just amekuumba uweze kurise to the maximum kwa kila potential aliyokujalia
mbona huyu wa maandiko yetu hana wivu huyu wala hana hasira
sisi waislamu na wakristo wote tunamtumikia vizuri tuu
 
Unachotumia wewe ni Teleological Argument au Argument from design

Kuwa kitu complex kama Jicho, moyo au ubongo haviwezi tokea tu bila kuundwa, hivyo aliyehusika kuviunda ndiye tunamuita Mungu

Hii hoja ishakuwa debunked mara kibao, ina refutations zaidi ya 100

Hapa hapa JamiiIntelligence ishakuwa refuted kama unafatilia hii mijadala

Una assume njia pekee ya kupata kitu complex kama Jicho la binadamu ni by intelligent design

unatengeneza False dilemma,njia nyingine ya kupata kitu complex kama hicho ni biological evolution na natural selection

Ubaya mnaingia kwenye hizi discussion mkiwa empty headed, siwezi kukufundisha evolution hapa tenga mda wako ujifunze ili uipinge kwa fact

Kila organ katika mwili wako ina historia yake ndefu kwenye evolution

So kwakua hujui chochote kuhusu evolution, tu stick kwenye hoja yako

Hii ndio hoja yako

1.Kitu chochote complex lazima kiwe na designer,hakiwezi tokea tu
By neno complex, tuna maana ya kitu ambacho well organized, kinafanya kazi katika namna inayofata mtiririko kiasi kwamba hakiwezi tokea tu kwa bahati

Ukilinganisha na vitu simple tu, ambayo vinaweza tokea tu kwa bahati, kama jiwe unalokutana nalo njiani

Mark hio premise ya kwanza, hii ni sheria iliyoamua kuitumia kujenga hoja yako

Hili hoja yako iwe sahihi, ni lazima hii sheria uishikirie mpaka mwisho

2.Jicho la binadamu ni complex lazima liwe na designer

3.Huyo designer ndiye Mungu

Sasa swali la msingi hapa Mungu ni complex au simple?

Ni bayana, sio simple
Hawezi kuwa sawa na jiwe, Mungu mwenye uwezo wa kuumba ubongo wenye uwezo wa kujitambua, au jicho linaloweza tofautisha mamillion ya rangi

Ni far much complex kuliko chochote alichokiumba

Utakua mjinga ukisema Mungu unayemuamini wewe ni simple kuliko wewe

Kwa hio Mungu ni complex, tukirejea premise ya kwanza ambayo ndio msingi wa hoja yako Mungu naye ni lazima awe na designer ambae ni far much complex na huyo designer lazima pia awe na designer

List haiishi, kwenye logic tunaiita infinite regression

Sasa ukisema Mungu pamoja na kuwa complex zaidi ya Jicho anaweza kutokea tu bila kuundwa wala kuwa na chazo, kwanini kitu less complex kama jicho kiundwe?

Kama kitu kikubwa kama Airbus kinaweza tokea tu chenyewe (Mungu) kwanini kijiko kisitokee tu chenyewe (jiko)

So hoja yako hapo juu inajifunga yenyewe, ni self defeating

Pia huyo designer hata kama yupo haina maana kuwa ni Mungu huyo unayemuamini wewe

Haina maana ndiye Mungu wa dini yako, au Mungu wa biblia au Quran

Kwenye hoja yako wapi ume prove hivyo?

Na sio lazima awe single designer wanaweza wakawa team, kipi kinafanya uamini ni mmoja

Kama kweli unafahamu unachokitetea hebu jibu hii hoja?
na wewe nawe vipi Mungu anaweza kua kikundi cha watu? duh aisee
 
Swali langu la msingi ni hili,hiyo kale unayo iongelea wewe kale ipi ? Je ni ile kabla ya Nuhu na kama ni ile kabla ya Nuhu,tuwekee ushahidi unao onyesha ya kuwa kulikuwepo na miungu hiyo kabla ya Nuhu na kama ni baada ya Nuhu wewe ni muongo na unaongelea jambo usilo kuwa na ujuzi nalo.

Tuwekee ushahidi wa hiki ulichokiandika.

Ushabidi wa hili uko wapi ?

Tuthibitishie hili. Shukrani.

Ntaendelea kuamini kuwa mungu yupo haijalishi nikifika mbinguni nitamkuta au la!.

Ila Mungu yupo yaani kuna wakati kabisa unahisi uwepo wake karibu nawe, kuna wakati unakuwa kwenye matatizo makubwaaa sana ila ukimuita msaada unatokea pale pale.

Mimi amenifanyia mengi sana amemlinda mama yangu yupo hai, wadogo zangu etc

Kubwa zaidi hii pumzi nisiyoilipia hata sent moja napumua tu bureee Asante mungu.

Kuna wakati nakuwa namuomba Mungu nikilalamika moyo unaniambia acha kulalamika kuna nilichonacho ambacho mwingine hana naishia kusema asante Mungu.
Unahisi hivyo kwa sababu umeaminishwa na kukuzwa hivyo tangu ungali mdogo, kuomba kwa pamoja basi mtapata miujiza(you're programmed).
Yote hayo unayoyaona na kuyahisi hayana uthibitisho kuwa huyo mungu ndo ametenda but unahisi hivyo kwasababu ya makuzi uliyokulia tu.

Unaweza kuthibitisha kuwa mungu ndo amekupa hiyo pumzi....
Uongo ukisemwa sana kwa kurudia rudia bila kukanushwa huaminika kuwa ndo ukweli, hata dhana ya uwepo wa mungu ni uongo uliosemwa sana bila kukanushwa hadi miaka ya mbele sana watu walipo anza kuji hoji uwepo wa huyo mungu.
Mind you mungu ni mawazo tu ya binadamu katika kutafuta tumaini la matatizo aliyokuwa nayo
 
habari great thinkers.

Uwepo wa mungu ni matokea ya maendeleo ya binadamu katika kuupata ustaarabu.Men create the god in their own imagination.Ndo mana wale miungu ya kale kabla ya hizi dini mpya za kisasa walikuwa na maumbo ya kibinadamu(human look_like) hata sifa walikuwa kama binadmu.
Walikuwa na sifa za kulia, kukasirika,wivu, njaa n.k.

Lakini hizi dini za kileo ni maboresho ya dini za kale so that hata miungu ya dini hizi wamepewa sifa nyingi kidogo kuliko wale wa kale,ikiwemo kutoonekana,ana uwezo wote, yupo kila sehemu n.k.
Nadhani wote tunajuwa kuwa binadamu alikuwa anaishi pamoja na wanyama wengine hapo kale kabla ya kuanza kujitenga na kuanzisha ustaarabu wake,katika kipindi hiki cha maisha binadamu alikuwa hana tofauti na wanyama wengine.Ilimchukau mamilioni ya miaka biandamu kujitofautisha na wanyama wengine na kuanza kustaarabika.Katika kipindi hiki huyu binadamu alianzisha mambo mbalimbali ikiwemo Dini,mungu,sheria,taifa n.k.

There are no gods,no god in the universe,no nation,no money,no justice,no law,no human rights out side the common imagination of human beings.Mara baada ya kuapata ustaarabu binadamu aliweza kuanzisha mambo mengi ikiwe religion institutions,mungu n.k.

View attachment 1941529
Hakuna jipya hapo ila kama we we hadi sasa hauamini uwepo wa Mungu hiyo ni juu yako

Hayo uliyoyasema tulishafundishwa ndani ya Quran

Kwamba Binaadam baada ya kuumbwa waliishi miaka mingi wakiwa hawajui chochote

Quran 76:1
Hakika kilimpitia binaadamu kipindi katika zama ambacho kwamba hakuwa kitu kinacho tajwa.

Lakini baadae Mungu akajifunua kwao kupitia manabii

Quran 76:3
Hakika Sisi tumembainishia Njia. Ama ni mwenye kushukuru, au mwenye kukufuru.

Tena bado umepewa option ukubali uwepo wa Mungu au ukatae na ndio maana wewe unakataa uwepo wa Mungu ila ukikataa uwepo wa Mungu ujue kabisa kuwa moto wa jahanam unakusubiri
 
Back
Top Bottom