Ww ndo unajanielewa mm nimesema kwann binadslamu asitengeneze cell zitakazo mfanya aishii milele nasio kuzalisha cell mwilini mwake zitakazo mfanya aishii milele nielewe vzr kwanza...Tutafika hii level science is still perfecting hii level ya immortality mfano now tunaweza edit gene ya any DNA kutumia CRISPR na hii technology tumejifunza kutoka kwa bacteria. Shida unaleta ubishi lakink hauna information yoyote wala hutafuti unakuja sema tuu kwanini binadamu hazalishi cell akiwa mzee. Hilo swali limeshajibiwa miaka mingi iliyopita now tupo stage ya jinsi gani ya kumfanya binadamu azalishe cell milele
Imani katika MUNGU si imani katika dini....... football ni football haijalishi majina ya timu.Unaongelea Mungu yupi?
Kama ni wa kwenye bible au Quran tumemuani si zaid ya miak 150 iliyopita.
Waafrika walikuw wamepungukiwa na nin miaka 150 iliyopita?
Sijaelewa lengo la kuweka hii video ? Kwamba hoja umeishiwa au ?
Anatokea mtu mmoja weak, dhaifu asiyejua hata ni kwann mwili wake unaamka asubuhi bila ridhaa yake anataka watu waache kuamini juu ya uwepo wa MUNGU.Huu mjadala no wakipuuzi sana nonsense....
Kwa mantiki hiyo kila mtu ni muumini iwe katika sayansi, mizimu, miti au ng'ombe hata wapagani wanaibaada zaoImani katika MUNGU si imani katika dini....... football ni football haijalishi majina ya timu.
Nimekusoma tangu mwanzo unahoji iman yangu pengine ulidhani ni muslimSijaelewa lengo la kuweka hii video ? Kwamba hoja umeishiwa au ?
Maswali mengine nishajibu kilichobaki ni ufuatiliaji wako.Sijaelewa lengo la kuweka hii video ? Kwamba hoja umeishiwa au ?
Ni Sawa. Kuwa muumini wa chochote unachoamua kwa ridhaa yako.... unaweza pia kuamini wewe ndio mungu ukajiabudu hukatazwi. La muhimu heshimu walio wengi wanaoamini kuwa MUNGU yupo.Kwa mantiki hiyo kila mtu ni muumini iwe katika sayansi, mizimu, miti au ng'ombe hata wapagani wanaibaada zao
au hat akili yako
Hahaaa nacheka sana, hasa ninaporudia kusoma ulichoandika hapa.Huu uongo ulio semwa sana,bila kukanushwa niambie ulianza kusemwa lini ? Maana sisi tujuavyo tangu zama za mitume wapo watu walio kuwa wanakataa juu ya uwepo wa Mola,rejea habari za Firauni,sasa sijui mnaongelea muda gani ? Lakini Firauni mwisho wa siku alikuja kukiri ya kuwa Mola yupo.
Kuhusu kuthibitisha ya kuwa Mola ametupa pumzi ni rahisi sana,tunarejea katika vitabu alivyo wafunulia mitume wake na mananbii.
Lakini kama huu ni uongo inakuwaje mnashindwa mpaka leo hii kuubatilisha ? Mnaishia kulia lia ?
Huyu nimemsikiliza. Jenga hoja sasa.Nimekusoma tangu mwanzo unahoji iman yangu pengine ulidhani ni muslim
Msikilize imam atakusaidia
Hujajibu maswali niliyo kuuliza.Maswali mengine nishajibu kilichobaki ni ufuatiliaji wako.
Kama unania ya kuelewa utafuata ujifunze
Hoja yangu ni kwamba kafuatilie nilivyokumbia..Huyu nimemsikiliza. Jenga hoja sasa.
Mimi ni Muislamu tena Muislamu hasa.
Tuanze na nabii Nuhu. Hakuna jamii ambayo ilistaarabika pasi na mtume.Kwanza kabisa inakupasa utambue kuwa hao mitume unayoizungumzia hapa ni miongoni mwa jamii za miaka ya karibuni, jamii ambazo walishakuta ustaarabu umetamalaki kila pembe ya dunia.
Kabla ya Mtume kiwepo walishapita mitume mingi,na ukisoma maana ya yamko "Arabu" likazaa tamko "Ustaarabu" maana yake kupitia mitume kabla yake ustaarabu ukasimama.Wakati Muhammad anazaliwa na hao waliomtangulia katika imani yake walikuta tayari ustaarabu upo na watu wana dini na wana miungu yao.
Kijana sijui kwanini unakwepa swali langu. Thibitisha ni kina nani hao ambao walikuwa na hiyo dhana kabla ya nabii Nuhu,maana hata mtu wa kwanza ambaye ni Adamu aliishi kwa muongozo kutoka kwa Mola.Hivyo dhana ya mungu haijaanza kwa Muhammad au nuhu ilianza miaka mingi kabla ya hao kuwepo duniani
Weka ushahidi hapa na utuambie umejuaje na umeihesabu vipi hii miaka ? Ulitumia Carbon 14 nini ? (hiki kituko kingine).Binadamu wa kale zaidi alipata kuishi miaka takribani million 6 iliyopita.
Nitazingatia time frame hi mpaka pale utakapo nithibitishia ukweli wa hii namba,usilete stori za mtaani na ngonjera za wanasayansi.Kwahy unapojenga hoja zingatia hiyo time frame
Inapendeza.Hahaaa nacheka sana, hasa ninaporudia kusoma ulichoandika hapa.
Naona huna hoja unaleta malalamiko.Hoja yangu ni kwamba kafuatilie nilivyokumbia..
wewe ni mfia dini haupo kujifunza ila kudefend imani yako ndicho ulichofundishwa
yote niliyokuambia yako bayana ni utayari wako kujifunza
unasema unaamini utakuwepo baada ya miaka miwili hapo hapo hauwaelewi wanaoamini MunguNakutakia kila la kheri kwenye utafiti wako wa miaka miwili
Kupata Muumini wa dini anaye thamini na kujua maana ya utafiti ni nadra, hongera sana
Haya ni baadhi ya makosa niliyoyaona kwenye hoja yako
Taafsiri ya neno Mungu kwa mujibu wa Einstein sio taafsiri ya sayansi kuhusu neno Mungu
Hiyo ilikua ni Personal belief ya Einstein nje kabisa ya kazi yake (Sayansi)
Mpaka sasa, hukuna concept ya Mungu mwenye mainstream science
Unapoanza kuweka sifa kwenye hoja yako ambazo kimsingi ni non falsifiable (hatuwezi kuzi disprove) basi automatically ushaiondoa hoja yako nje ya upembenuzi wa kisayansi
Sayansi imejengwa juu ya Karl Popper Philosophy, msingi wake ni kwamba kila siku sayansi ina jaribu ku disprove hypothesis na sio kuprove kama wengi wanavyoamini
Hypothesis inakua theory pale inapo pass vikwazo hivyo
Mungu haiwezi kuwa hypothesis kwa sababu ni ambiguities zilizopo kwenye taafsiri yake na jinsi gani ilivyo ngumu kui disprove
Sayansi inaweza disprove vipi Mungu asiyeonekana?
Pili, kutumia vitabu vya dini kujenga maana ya neno Mungu sio kosa
Kosa ni kuthibitisha yupo kupitia hicho hicho kitabu cha dini kinachosema yupo
"Biblia ni neno la Mungu, kwa sababu Mungu amesema, ndani ya biblia kuwa biblia ni neno la Mungu'
Hio hoja hapo juu, inazunguka tu hapo hapo (Circular reasoning)
Mi baada ya miaka miwili naamini nitakua hapa, nasubiri matokeo ya utafiti wako
Kwa maelezeko yako inaonyesha haujuwi maana ya ustaarabu au unajuwa ila umeamuwa kupotosha jamii.Tuanze na nabii Nuhu. Hakuna jamii ambayo ilistaarabika pasi na mtume.
Kabla ya Mtume kiwepo walishapita mitume mingi,na ukisoma maana ya yamko "Arabu" likazaa tamko "Ustaarabu" maana yake kupitia mitume kabla yake ustaarabu ukasimama.
Swali langu la msingi uniambie huo usaarabu ulikuwepo kipindi gani ambacho mitume hawakuwepo na utuambie ni jamii gani hiyo au hizo zilikuwa na ustaarabu.
Kijana sijui kwanini unakwepa swali langu. Thibitisha ni kina nani hao ambao walikuwa na hiyo dhana kabla ya nabii Nuhu,maana hata mtu wa kwanza ambaye ni Adamu aliishi kwa muongozo kutoka kwa Mola.
Weka ushahidi hapa na utuambie umejuaje na umeihesabu vipi hii miaka ? Ulitumia Carbon 14 nini ? (hiki kituko kingine).
Nitazingatia time frame hi mpaka pale utakapo nithibitishia ukweli wa hii namba,usilete stori za mtaani na ngonjera za
Lete hoja za Mungu wakoNaona huna hoja unaleta malalamiko.
Hizi mada msiwe mnaziingilia pupa pupa kabla hamjajipanga.
Talibani na wenye dini hii Mungu wao anaruhusu kuuwa na zawadi ya kuua unapewa mabikira saba afterlifeMkuu umefafanua vizuri, idea ya god ilikuja ili kuikabili hofu ya duniani ndio maana wafia dini wanaamini kuwa kuna nchi inaitwa mbinguni, huko hakuna kuugua, kufa, njaa n.k yaani huko ni full kula bata tu, huhitaji ajira wala kufanya biashara ili uishi huko vyakula vipo vya kutosha yaani kuna chipsi za kumwaga, nyama choma, piza baga n.k
Ndio maana unawaona wanapambana usiku na mchana kusali ili siku moja waingie kwenye hiyo nchi. Hata telebani nao wanapambana waingie huko lakini najiuliza hao majamaa ukiingia nao mbinguni itakuaje πππ
Hakuna contradiction.unasema unaamini utakuwepo baada ya miaka miwili hapo hapo hauwaelewi wanaoamini Mungu
hii sio contradiction pia???