tena areje kusoma tena habari za firauni , maana firauni wanayemtolea mfano aliishi kipindi ambacho mungu wa muhamad hajaongea na abraham , na hamna ushahidi kuwa musa aliwahi kuishi misri ya kale.
Kitu ambacho waumini wa biblia na quran hawakijui ni kwamba
Watu kama Musa, Ibrahimu, na wahusika wengine wa namna hii walitumika kama narrative devices tu
Wahusika wa kwenye masimulizi
Sio historical figure kama kina Nyerere au Mandela
Visa maarufu vya kwenye biblia (Baadae quran ika copy kwenye biblia) ni derivative ya visa vikongwe zaidi kwenye imani za kale sana
Mfano long kabla ya biblia, misri ya kale ilikua na simulizi ya Mungu wao aliyezaliwa na Bikra kwa msaada wa Mungu jua, kisha akafa msalabini kabla hajafufuka
Hinduism imejaa visa vya namna hii,
Mfano krishna, siku alipozaliwa mjomba wake ambaye alikua mfalme wa wakati huo
Kwa kuwa ilikua imetabiriwa kuwa, krishna atakuja kuondoa utawala wake, akaamuru watoto wote wachanga wauliwe usiku huo
Kama ufatilii imani za kale, unaweza hisi hio ni movie ya yesu
Hio ni kabla ya biblia wala ukristo, imani za kale zaidi
Quran na bible kama zilivyo fasihi nyingine zote zimejengwa juu ya masimulizi yaliyopita
Ukisoma epic of Gilgamesh,kisa cha nuhu na gharika kilichukuliwa kama kilivyo
Vichache vili editiwa kukidhii matakwa ya wayahudi wa wakati huo
Epic of Gilgamesh ni kongwe kuliko biblia
Sasa kwa kuwa mtu kawa indoctrinated tangu mdogo, yupo hapa kupinga asichokijua
Tungeweza ku document imani zetu za kiafrica, wenda tusingekua na hizi dini