Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Kwa maelezeko yako inaonyesha haujuwi maana ya ustaarabu au unajuwa ila umeamuwa kupotosha jamii.
Ili tuweze kwenda pamoja eleza maana ya neno ustaarabu, ili tujuwe kabla ya mtume hakukuwa na jamii zingine zilizo staarabika.Karibu
Muulize china au japan mtume yupi aliwapa ustaarabum
 
Kwanini wewe ni muislamu na sio mkristo ilihali wote mna amini katika Mungu?

Kuna utofauti kati ya Miungu yenu, au kipi cha kipekee kuhusu Uislamu, kilichofanya uwe muislam haswa?

Au umekua muislam kwa sababu ulizaliwa kwenye Familia ya kiislam, na ukawa indoctrinated tangu mdogo kuwa uislamu ndiyo dini ya kweli?
(kama ilivyo kwa 99% ya waislamu wote)

Pia unaweza nambia kwanini uislamu umeanza na Mtume Muhammad,katika eneo fulani, lenye utamaduni fulani, kisha ukasambaa kwa jihad mpaka huku?

Kwanini Allah asingetoa mitume yake kwenye kila jamii?, kila jamii duniani Allah angechagua Mohammed wao na kumpa ujumbe kuhusu Uislam?

Huoni uislam ungesambaa wa urahisi bila jihad na kusingekuwa na Confusion?

Ushawahi kujiuliza kwanini dini zote zimeanzia katika eneo fulani specific licha ya kwamba Mungu anauweza wa kujifunua kwa kila mtu duniani kwa wakati mmoja? Au akatoa nabii au mtume kwenye kila jamii?

Ushawahi jiuliza kwanini eneo ambalo dini imeanzia, hata Mitume wake pia ni wa Zaw Wa hilo eneo?

Kwanini kanzu ni vazi la kipekee licha ya kuwa vazi la kitamaduni kwenye jamii nyingi za waarabu

Haitoshi kupokea dini ngeni ukapokea mpaka utamaduni na lugha yao?

Kwanini adhana isiwe ya kiswahili? Kitu gani special kuhusu kiiarabu wakati Mungu anasikia kila lugha?

Ungezaliwa Japan, unahisi ungekua muumini wa dini gani? Kuwa mkweli?

Unaweza nambie mtume Muhammad aliwambia nini maswahaba wake walipomuuliza kuwa jua linapo zama linaenda wapi?
Hawezi kujibu
 
Nikuambie kitu kwa ufupi

Nje ya mawazo ya binadamu hakuna kitu kilichofanyika au kinaweza kufanyika na mwanandamu. Yote unayoyaona ni picha ya mawazo ya mwanandamu namaanisha yanakuwa yameshafanyika akili ndio yanaonekana dhahiri katika mwili. Hata wewe hapo ni picha ya mawazo ya baba na mama yako baada ya kutamaniana na kuamua kufanya tendo la ndoa. Wasingewaza usingezaliwa.

Nje ya mawazo hakuna kitu, na ndivyo ilivyo kwa Mungu.

Tatizo unadhani huo mwili ndiyo wewe. Kwa akili hiyo bado sana hautakaa uielewe falsafa ya Uungu na nafsi ya mwanadamu na viumbe wote ikiwemo mimea.

Hapo nimesema kwa ufupi.
[emoji1787][emoji1787]Hapo mimi kuwa product ya mawazo ya baba na mama yangu nakataa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wazazi wangu hawakukaa chini kuchagua sperm yenye genes gani niwe nazo . Ilikua ni random tuu
 
Kwa maelezeko yako inaonyesha haujuwi maana ya ustaarabu au unajuwa ila umeamuwa kupotosha jamii.
Ili tuweze kwenda pamoja eleza maana ya neno ustaarabu, ili tujuwe kabla ya mtume hakukuwa na jamii zingine zilizo staarabika.Karibu
Shida unanirudisha nyuma,unatakiwa ujenge na kutetea hoja yako. Yaani ulitakiwa utoe maana yako ya ustaarabu kisha ukosoe nilicho kiandika.

Ukisoma historia ya bara la Arabu,waarabu waligawanyika sehemu mbili,wapo walioitwa "Mustaarabu" kwa maana watu wenye kuyafanya mambo kwa uzuri,na hii ilitokana na wao kuwafanyia wema wanawake kwa kutowapiga,wakaitwa wastaarabu hawa ni waarabu na tamko hili kwetu sisi Waswahili tumelitohoa.

Hakuna ustaarabu nje ya dini. Ndiyo maana mpaka muda huu unashindwa kuziweka hizo jamii ambazo zilistaarabika na hili huliwezi hata nikikupa maana mia za tamko Ustaarabu.

Huwezi ukatembea uchi au ukawa mlevi ukasemwa umestaarabika au mfano wa hayo.

Sasa kosoa nilicho kiandika.
 
[emoji1787][emoji1787]Hapo mimi kuwa product ya mawazo ya baba na mama yangu nakataa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wazazi wangu hawakukaa chini kuchagua sperm yenye genes gani niwe nazo . Ilikua ni random tuu
🤣☝️

Ipo hivi. Hapo kwenye namna ya ww ulivyoumbwa ni nje ya uwezo wao. Laini kile kitendo cha wao kuamua kupigana miti ndipp wewe ukaja. Ikiwa wasingewaza kufanya tendo la ndoa wakafanya siku nyingine pengine kingetokea kiumbe kingine sio wewe
 
Kwanini wewe ni muislamu na sio mkristo ilihali wote mna amini katika Mungu?
Swali rahisi sana. Ni sawa na kuuliza kwanini Mungu ni mmoja na dini ziko nyingi.

Jibu mimi ni muislamu sababu Uislamu ni dini ya mitume wote walio wahi kuishi hapa duniani.

Ukristo si dini ya Mola muumba.
Kuna utofauti kati ya Miungu yenu, au kipi cha kipekee kuhusu Uislamu, kilichofanya uwe muislam haswa?
Ukweli wa Uislamu ndiyo umenifanya nikawa muislamu haswa. Sababu Uislamu haupingani na akili.
 
Au umekua muislam kwa sababu ulizaliwa kwenye Familia ya kiislam, na ukawa indoctrinated tangu mdogo kuwa uislamu ndiyo dini ya kweli?
(kama ilivyo kwa 99% ya waislamu wote
Nimekuwa muislamu kwa kuzaliwa na nikausoma na nina endelea kuusoma mpaka pale Roho yangu itakapo rudi kwa Mola wake.
 
Pia unaweza nambia kwanini uislamu umeanza na Mtume Muhammad,katika eneo fulani, lenye utamaduni fulani, kisha ukasambaa kwa jihad mpaka huku?
Hii ni desturi na ada ya mitume wote,sababu mitume huchaguliwa kutokana na jamii fulani. Kama ilivyo kwa nabii Issa (Yesu), na mitune wengine,kisha ujumbe huenea maeneo mengine. Hili swali la kitoto sana umeuliza.

Si kweli kwamba Uislamu ulienea kwa Jihadi sababu Jihadi imekuja baadae kipindi ambacho Uislamu umeshaanza kutangaa.

Jihadi ni ibada kama ibada nyingine ina masharti yake na nguzo zake.
 
Mungu YUPO.

Kama unasema hayupo Mimi NAKURUHUSU utumie hizo principal zako ZOTE toka kwa wanadamu wote.. ILA, Niruhusu na Mimi nitumie Neno Lake Tu kutoka kwenye Biblia Takatifu.

Only a word..
Mkuu watu walishakuruhusu utumie hilo neno mbona huweki post ya huo uthibisho unaomba ruhusa kila comment wakati wenzako wanashambulia tu. Weka hizo idea zako
 
tena areje kusoma tena habari za firauni , maana firauni wanayemtolea mfano aliishi kipindi ambacho mungu wa muhamad hajaongea na abraham , na hamna ushahidi kuwa musa aliwahi kuishi misri ya kale.
Kitu ambacho waumini wa biblia na quran hawakijui ni kwamba

Watu kama Musa, Ibrahimu, na wahusika wengine wa namna hii walitumika kama narrative devices tu
Wahusika wa kwenye masimulizi
Sio historical figure kama kina Nyerere au Mandela

Visa maarufu vya kwenye biblia (Baadae quran ika copy kwenye biblia) ni derivative ya visa vikongwe zaidi kwenye imani za kale sana

Mfano long kabla ya biblia, misri ya kale ilikua na simulizi ya Mungu wao aliyezaliwa na Bikra kwa msaada wa Mungu jua, kisha akafa msalabini kabla hajafufuka

Hinduism imejaa visa vya namna hii,
Mfano krishna, siku alipozaliwa mjomba wake ambaye alikua mfalme wa wakati huo

Kwa kuwa ilikua imetabiriwa kuwa, krishna atakuja kuondoa utawala wake, akaamuru watoto wote wachanga wauliwe usiku huo

Kama ufatilii imani za kale, unaweza hisi hio ni movie ya yesu

Hio ni kabla ya biblia wala ukristo, imani za kale zaidi

Quran na bible kama zilivyo fasihi nyingine zote zimejengwa juu ya masimulizi yaliyopita

Ukisoma epic of Gilgamesh,kisa cha nuhu na gharika kilichukuliwa kama kilivyo

Vichache vili editiwa kukidhii matakwa ya wayahudi wa wakati huo

Epic of Gilgamesh ni kongwe kuliko biblia

Sasa kwa kuwa mtu kawa indoctrinated tangu mdogo, yupo hapa kupinga asichokijua

Tungeweza ku document imani zetu za kiafrica, wenda tusingekua na hizi dini
 
Unawaza kwa sauti sana jombaa!

Ni kweli ulichosema there are no gods but God does exist.

Yes, umetoa maelezo mazuri kulingana na mtazamo wako.So,ni muda nami naomba nitumie sehemu kidogo kuprove kwamba God does exist.Mind you! I won't reference in any religious book, instead I will try to draw my conclusion based on simple argument.

Some philosophers do believe on existence of phyiscal world and spiritual world. I will not tell you what they say but try to visit how idealists conceptualize this world .

Sasa ni wakati wangu kuprove kwamba God does exist. The truth is, wote ni mashaidi kwamba evil and goodness do exist. Sasa kama haya yapo ni mwanadamu yupi kaonyeshwa kwamba ndo yupo nyuma ya uwepo wa hivi vitu viwili?

Kuhitimisha sikutaka nifanye reference kwenye religious books najua bado ingekuwa ngumu kwako kuelewa but guess what wanaobelieve on existence of God hawajawahi kuongozwa na reasoning instead wako guided na faith.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
Mkuu watu walishakuruhusu utumie hilo neno mbona huweki post ya huo uthibisho unaomba ruhusa kila comment wakati wenzako wanashambulia tu. Weka hizo idea zako
Idea zangu? Sio idea Mimi natumia Neno Takatifu La Mungu..

Nishaweka, wamefyata mkia.

Nilikua naomba ruhusa lakini kila mmoja alikimbia maana walijua nondo za NENO TAKATIFU SIO ZA KUZIBISHIA..
 
Idea zangu? Sio idea Mimi natumia Neno Takatifu La Mungu..

Nishaweka, wamefyata mkia.

Nilikua naomba ruhusa lakini kila mmoja alikimbia maana walijua nondo za NENO TAKATIFU SIO ZA KUZIBISHIA..
Comment no ngapi nikasome?
 
Hii ni desturi na ada ya mitume wote,sababu mitume huchaguliwa kutokana na jamii fulani. Kama ilivyo kwa nabii Issa (Yesu), na mitune wengine,kisha ujumbe huenea maeneo mengine. Hili swali la kitoto sana umeuliza.

Si kweli kwamba Uislamu ulienea kwa Jihadi sababu Jihadi imekuja baadae kipindi ambacho Uislamu umeshaanza kutangaa.

Jihadi ni ibada kama ibada nyingine ina masharti yake na nguzo zake.
Soma swali vizuri, hilo swali ulilosema la kitoto ni swali gumu sana

Kimsingi ni hoja nzima, argument from locality
Usijibu tu ilimradi ujibu

Kuna options mbili ambazo Mungu angetumia kuleta uislamu duniani (au dini yoyote ile)

1.Atoe manabii kwenye kila jamii ya watu (Asia, Ulaya, Afrika etc), wote wakihubiri ujumbe usio pingana kuhusu uislamu kwa wakati mmoja

Au
2.Aanzishe eneo moja na kwa jamii moja, kisha isambae kadri miaka inavyozidi kwenda

Kwa mtu mwenye busara ni rahisi kuona njia ya kwanza ndiyo option sahihi

Kwa Mungu mwenye ujuzi wote ange prefer zaidi option ya kwanza kuliko ya pili

Sababu, kwa option ya kwanza kungekua na dini moja tu kuu

Kusingekua na confusion kuwa kati ya mshia au msuni yupi sahihi

Na ingewafikia watu kwa wakati. Mmoja

Njia ya pili ina disadvantages nyingi
Mfano watu walio zaliwa kabla ya uislamu, bila hata kuusikia watahukumiwa kwa vifungu vipi?
Waafrika walioishi kabla ya ujio wa waarabu, wanahukumiwa vipi siku ya mwisho

Na kama wanaweza hukumiwa bila kufata sheria za kiislam, kulikua na point ipi ya kuleta uislam?

Jibu swali acha utoto,
 
Comment no ngapi nikasome?
Zaburi 14:1
"Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu;
Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo,
Hakuna atendaye mema."

Tafutaa wewe nimeshusha mabomu mazito, shetani na jeshi lake wote wakarudi kwenye mahandaki yao.. mchana huu naona wamejitokeza Tena.

Waambie Mkuu wa kitengo cha intelejensia ya Kiroho Jioni nitaachia makombora mazito kwenye ulimwengu wa roho.
 
Huo ukuu wa intelejensia ya kiroho kakupa nani😁?
 
Nashukuru dini mana imewafadha watu makatili kuwa na tabia njema,Mungu yupo
 
Back
Top Bottom