Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Tutafika hii level science is still perfecting hii level ya immortality mfano now tunaweza edit gene ya any DNA kutumia CRISPR na hii technology tumejifunza kutoka kwa bacteria. Shida unaleta ubishi lakink hauna information yoyote wala hutafuti unakuja sema tuu kwanini binadamu hazalishi cell akiwa mzee. Hilo swali limeshajibiwa miaka mingi iliyopita now tupo stage ya jinsi gani ya kumfanya binadamu azalishe cell milele
Ww ndo unajanielewa mm nimesema kwann binadslamu asitengeneze cell zitakazo mfanya aishii milele nasio kuzalisha cell mwilini mwake zitakazo mfanya aishii milele nielewe vzr kwanza...
 
Kwa mantiki hiyo kila mtu ni muumini iwe katika sayansi, mizimu, miti au ng'ombe hata wapagani wanaibaada zao
au hat akili yako
Ni Sawa. Kuwa muumini wa chochote unachoamua kwa ridhaa yako.... unaweza pia kuamini wewe ndio mungu ukajiabudu hukatazwi. La muhimu heshimu walio wengi wanaoamini kuwa MUNGU yupo.

Kumbuka:
Screenshot_20210919-122536_Chrome.jpg
 
Huu uongo ulio semwa sana,bila kukanushwa niambie ulianza kusemwa lini ? Maana sisi tujuavyo tangu zama za mitume wapo watu walio kuwa wanakataa juu ya uwepo wa Mola,rejea habari za Firauni,sasa sijui mnaongelea muda gani ? Lakini Firauni mwisho wa siku alikuja kukiri ya kuwa Mola yupo.

Kuhusu kuthibitisha ya kuwa Mola ametupa pumzi ni rahisi sana,tunarejea katika vitabu alivyo wafunulia mitume wake na mananbii.

Lakini kama huu ni uongo inakuwaje mnashindwa mpaka leo hii kuubatilisha ? Mnaishia kulia lia ?
Hahaaa nacheka sana, hasa ninaporudia kusoma ulichoandika hapa.

Kwanza kabisa inakupasa utambue kuwa hao mitume unayoizungumzia hapa ni miongoni mwa jamii za miaka ya karibuni, jamii ambazo walishakuta ustaarabu umetamalaki kila pembe ya dunia.Wakati Muhammad anazaliwa na hao waliomtangulia katika imani yake walikuta tayari ustaarabu upo na watu wana dini na wana miungu yao.
Hivyo dhana ya mungu haijaanza kwa Muhammad au nuhu ilianza miaka mingi kabla ya hao kuwepo duniani.
Binadamu wa kale zaidi alipata kuishi miaka takribani million 6 iliyopita. Kwahy unapojenga hoja zingatia hiyo time frame
 
Huyu nimemsikiliza. Jenga hoja sasa.

Mimi ni Muislamu tena Muislamu hasa.
Hoja yangu ni kwamba kafuatilie nilivyokumbia..
wewe ni mfia dini haupo kujifunza ila kudefend imani yako ndicho ulichofundishwa
yote niliyokuambia yako bayana ni utayari wako kujifunza
 
Kwanza kabisa inakupasa utambue kuwa hao mitume unayoizungumzia hapa ni miongoni mwa jamii za miaka ya karibuni, jamii ambazo walishakuta ustaarabu umetamalaki kila pembe ya dunia.
Tuanze na nabii Nuhu. Hakuna jamii ambayo ilistaarabika pasi na mtume.
Wakati Muhammad anazaliwa na hao waliomtangulia katika imani yake walikuta tayari ustaarabu upo na watu wana dini na wana miungu yao.
Kabla ya Mtume kiwepo walishapita mitume mingi,na ukisoma maana ya yamko "Arabu" likazaa tamko "Ustaarabu" maana yake kupitia mitume kabla yake ustaarabu ukasimama.

Swali langu la msingi uniambie huo usaarabu ulikuwepo kipindi gani ambacho mitume hawakuwepo na utuambie ni jamii gani hiyo au hizo zilikuwa na ustaarabu.
Hivyo dhana ya mungu haijaanza kwa Muhammad au nuhu ilianza miaka mingi kabla ya hao kuwepo duniani
Kijana sijui kwanini unakwepa swali langu. Thibitisha ni kina nani hao ambao walikuwa na hiyo dhana kabla ya nabii Nuhu,maana hata mtu wa kwanza ambaye ni Adamu aliishi kwa muongozo kutoka kwa Mola.
Binadamu wa kale zaidi alipata kuishi miaka takribani million 6 iliyopita.
Weka ushahidi hapa na utuambie umejuaje na umeihesabu vipi hii miaka ? Ulitumia Carbon 14 nini ? (hiki kituko kingine).
Kwahy unapojenga hoja zingatia hiyo time frame
Nitazingatia time frame hi mpaka pale utakapo nithibitishia ukweli wa hii namba,usilete stori za mtaani na ngonjera za wanasayansi.
Hahaaa nacheka sana, hasa ninaporudia kusoma ulichoandika hapa.
Inapendeza.
 
Hoja yangu ni kwamba kafuatilie nilivyokumbia..
wewe ni mfia dini haupo kujifunza ila kudefend imani yako ndicho ulichofundishwa
yote niliyokuambia yako bayana ni utayari wako kujifunza
Naona huna hoja unaleta malalamiko.

Hizi mada msiwe mnaziingilia pupa pupa kabla hamjajipanga.
 
Nakutakia kila la kheri kwenye utafiti wako wa miaka miwili
Kupata Muumini wa dini anaye thamini na kujua maana ya utafiti ni nadra, hongera sana

Haya ni baadhi ya makosa niliyoyaona kwenye hoja yako

Taafsiri ya neno Mungu kwa mujibu wa Einstein sio taafsiri ya sayansi kuhusu neno Mungu

Hiyo ilikua ni Personal belief ya Einstein nje kabisa ya kazi yake (Sayansi)
Mpaka sasa, hukuna concept ya Mungu mwenye mainstream science

Unapoanza kuweka sifa kwenye hoja yako ambazo kimsingi ni non falsifiable (hatuwezi kuzi disprove) basi automatically ushaiondoa hoja yako nje ya upembenuzi wa kisayansi

Sayansi imejengwa juu ya Karl Popper Philosophy, msingi wake ni kwamba kila siku sayansi ina jaribu ku disprove hypothesis na sio kuprove kama wengi wanavyoamini

Hypothesis inakua theory pale inapo pass vikwazo hivyo

Mungu haiwezi kuwa hypothesis kwa sababu ni ambiguities zilizopo kwenye taafsiri yake na jinsi gani ilivyo ngumu kui disprove

Sayansi inaweza disprove vipi Mungu asiyeonekana?

Pili, kutumia vitabu vya dini kujenga maana ya neno Mungu sio kosa

Kosa ni kuthibitisha yupo kupitia hicho hicho kitabu cha dini kinachosema yupo

"Biblia ni neno la Mungu, kwa sababu Mungu amesema, ndani ya biblia kuwa biblia ni neno la Mungu'
Hio hoja hapo juu, inazunguka tu hapo hapo (Circular reasoning)

Mi baada ya miaka miwili naamini nitakua hapa, nasubiri matokeo ya utafiti wako
unasema unaamini utakuwepo baada ya miaka miwili hapo hapo hauwaelewi wanaoamini Mungu
hii sio contradiction pia???
 
Tuanze na nabii Nuhu. Hakuna jamii ambayo ilistaarabika pasi na mtume.

Kabla ya Mtume kiwepo walishapita mitume mingi,na ukisoma maana ya yamko "Arabu" likazaa tamko "Ustaarabu" maana yake kupitia mitume kabla yake ustaarabu ukasimama.

Swali langu la msingi uniambie huo usaarabu ulikuwepo kipindi gani ambacho mitume hawakuwepo na utuambie ni jamii gani hiyo au hizo zilikuwa na ustaarabu.

Kijana sijui kwanini unakwepa swali langu. Thibitisha ni kina nani hao ambao walikuwa na hiyo dhana kabla ya nabii Nuhu,maana hata mtu wa kwanza ambaye ni Adamu aliishi kwa muongozo kutoka kwa Mola.

Weka ushahidi hapa na utuambie umejuaje na umeihesabu vipi hii miaka ? Ulitumia Carbon 14 nini ? (hiki kituko kingine).

Nitazingatia time frame hi mpaka pale utakapo nithibitishia ukweli wa hii namba,usilete stori za mtaani na ngonjera za
Kwa maelezeko yako inaonyesha haujuwi maana ya ustaarabu au unajuwa ila umeamuwa kupotosha jamii.
Ili tuweze kwenda pamoja eleza maana ya neno ustaarabu, ili tujuwe kabla ya mtume hakukuwa na jamii zingine zilizo staarabika.Karibu
 
Mkuu umefafanua vizuri, idea ya god ilikuja ili kuikabili hofu ya duniani ndio maana wafia dini wanaamini kuwa kuna nchi inaitwa mbinguni, huko hakuna kuugua, kufa, njaa n.k yaani huko ni full kula bata tu, huhitaji ajira wala kufanya biashara ili uishi huko vyakula vipo vya kutosha yaani kuna chipsi za kumwaga, nyama choma, piza baga n.k

Ndio maana unawaona wanapambana usiku na mchana kusali ili siku moja waingie kwenye hiyo nchi. Hata telebani nao wanapambana waingie huko lakini najiuliza hao majamaa ukiingia nao mbinguni itakuaje 😃😃😃
Talibani na wenye dini hii Mungu wao anaruhusu kuuwa na zawadi ya kuua unapewa mabikira saba afterlife
 
unasema unaamini utakuwepo baada ya miaka miwili hapo hapo hauwaelewi wanaoamini Mungu
hii sio contradiction pia???
Hakuna contradiction.
Labda kiswahili tu kimekuchanganya

Ulitaka nisemeje?
 
Back
Top Bottom