Muulize china au japan mtume yupi aliwapa ustaarabumKwa maelezeko yako inaonyesha haujuwi maana ya ustaarabu au unajuwa ila umeamuwa kupotosha jamii.
Ili tuweze kwenda pamoja eleza maana ya neno ustaarabu, ili tujuwe kabla ya mtume hakukuwa na jamii zingine zilizo staarabika.Karibu
Hawezi kujibuKwanini wewe ni muislamu na sio mkristo ilihali wote mna amini katika Mungu?
Kuna utofauti kati ya Miungu yenu, au kipi cha kipekee kuhusu Uislamu, kilichofanya uwe muislam haswa?
Au umekua muislam kwa sababu ulizaliwa kwenye Familia ya kiislam, na ukawa indoctrinated tangu mdogo kuwa uislamu ndiyo dini ya kweli?
(kama ilivyo kwa 99% ya waislamu wote)
Pia unaweza nambia kwanini uislamu umeanza na Mtume Muhammad,katika eneo fulani, lenye utamaduni fulani, kisha ukasambaa kwa jihad mpaka huku?
Kwanini Allah asingetoa mitume yake kwenye kila jamii?, kila jamii duniani Allah angechagua Mohammed wao na kumpa ujumbe kuhusu Uislam?
Huoni uislam ungesambaa wa urahisi bila jihad na kusingekuwa na Confusion?
Ushawahi kujiuliza kwanini dini zote zimeanzia katika eneo fulani specific licha ya kwamba Mungu anauweza wa kujifunua kwa kila mtu duniani kwa wakati mmoja? Au akatoa nabii au mtume kwenye kila jamii?
Ushawahi jiuliza kwanini eneo ambalo dini imeanzia, hata Mitume wake pia ni wa Zaw Wa hilo eneo?
Kwanini kanzu ni vazi la kipekee licha ya kuwa vazi la kitamaduni kwenye jamii nyingi za waarabu
Haitoshi kupokea dini ngeni ukapokea mpaka utamaduni na lugha yao?
Kwanini adhana isiwe ya kiswahili? Kitu gani special kuhusu kiiarabu wakati Mungu anasikia kila lugha?
Ungezaliwa Japan, unahisi ungekua muumini wa dini gani? Kuwa mkweli?
Unaweza nambie mtume Muhammad aliwambia nini maswahaba wake walipomuuliza kuwa jua linapo zama linaenda wapi?
[emoji1787][emoji1787]Hapo mimi kuwa product ya mawazo ya baba na mama yangu nakataa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wazazi wangu hawakukaa chini kuchagua sperm yenye genes gani niwe nazo . Ilikua ni random tuuNikuambie kitu kwa ufupi
Nje ya mawazo ya binadamu hakuna kitu kilichofanyika au kinaweza kufanyika na mwanandamu. Yote unayoyaona ni picha ya mawazo ya mwanandamu namaanisha yanakuwa yameshafanyika akili ndio yanaonekana dhahiri katika mwili. Hata wewe hapo ni picha ya mawazo ya baba na mama yako baada ya kutamaniana na kuamua kufanya tendo la ndoa. Wasingewaza usingezaliwa.
Nje ya mawazo hakuna kitu, na ndivyo ilivyo kwa Mungu.
Tatizo unadhani huo mwili ndiyo wewe. Kwa akili hiyo bado sana hautakaa uielewe falsafa ya Uungu na nafsi ya mwanadamu na viumbe wote ikiwemo mimea.
Hapo nimesema kwa ufupi.
Shida unanirudisha nyuma,unatakiwa ujenge na kutetea hoja yako. Yaani ulitakiwa utoe maana yako ya ustaarabu kisha ukosoe nilicho kiandika.Kwa maelezeko yako inaonyesha haujuwi maana ya ustaarabu au unajuwa ila umeamuwa kupotosha jamii.
Ili tuweze kwenda pamoja eleza maana ya neno ustaarabu, ili tujuwe kabla ya mtume hakukuwa na jamii zingine zilizo staarabika.Karibu
🤣☝️[emoji1787][emoji1787]Hapo mimi kuwa product ya mawazo ya baba na mama yangu nakataa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wazazi wangu hawakukaa chini kuchagua sperm yenye genes gani niwe nazo . Ilikua ni random tuu
Swali rahisi sana. Ni sawa na kuuliza kwanini Mungu ni mmoja na dini ziko nyingi.Kwanini wewe ni muislamu na sio mkristo ilihali wote mna amini katika Mungu?
Ukweli wa Uislamu ndiyo umenifanya nikawa muislamu haswa. Sababu Uislamu haupingani na akili.Kuna utofauti kati ya Miungu yenu, au kipi cha kipekee kuhusu Uislamu, kilichofanya uwe muislam haswa?
Nimekuwa muislamu kwa kuzaliwa na nikausoma na nina endelea kuusoma mpaka pale Roho yangu itakapo rudi kwa Mola wake.Au umekua muislam kwa sababu ulizaliwa kwenye Familia ya kiislam, na ukawa indoctrinated tangu mdogo kuwa uislamu ndiyo dini ya kweli?
(kama ilivyo kwa 99% ya waislamu wote
Hii ni desturi na ada ya mitume wote,sababu mitume huchaguliwa kutokana na jamii fulani. Kama ilivyo kwa nabii Issa (Yesu), na mitune wengine,kisha ujumbe huenea maeneo mengine. Hili swali la kitoto sana umeuliza.Pia unaweza nambia kwanini uislamu umeanza na Mtume Muhammad,katika eneo fulani, lenye utamaduni fulani, kisha ukasambaa kwa jihad mpaka huku?
Mkuu watu walishakuruhusu utumie hilo neno mbona huweki post ya huo uthibisho unaomba ruhusa kila comment wakati wenzako wanashambulia tu. Weka hizo idea zakoMungu YUPO.
Kama unasema hayupo Mimi NAKURUHUSU utumie hizo principal zako ZOTE toka kwa wanadamu wote.. ILA, Niruhusu na Mimi nitumie Neno Lake Tu kutoka kwenye Biblia Takatifu.
Only a word..
Kitu ambacho waumini wa biblia na quran hawakijui ni kwambatena areje kusoma tena habari za firauni , maana firauni wanayemtolea mfano aliishi kipindi ambacho mungu wa muhamad hajaongea na abraham , na hamna ushahidi kuwa musa aliwahi kuishi misri ya kale.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756]Unawaza kwa sauti sana jombaa!
Ni kweli ulichosema there are no gods but God does exist.
Yes, umetoa maelezo mazuri kulingana na mtazamo wako.So,ni muda nami naomba nitumie sehemu kidogo kuprove kwamba God does exist.Mind you! I won't reference in any religious book, instead I will try to draw my conclusion based on simple argument.
Some philosophers do believe on existence of phyiscal world and spiritual world. I will not tell you what they say but try to visit how idealists conceptualize this world .
Sasa ni wakati wangu kuprove kwamba God does exist. The truth is, wote ni mashaidi kwamba evil and goodness do exist. Sasa kama haya yapo ni mwanadamu yupi kaonyeshwa kwamba ndo yupo nyuma ya uwepo wa hivi vitu viwili?
Kuhitimisha sikutaka nifanye reference kwenye religious books najua bado ingekuwa ngumu kwako kuelewa but guess what wanaobelieve on existence of God hawajawahi kuongozwa na reasoning instead wako guided na faith.
Idea zangu? Sio idea Mimi natumia Neno Takatifu La Mungu..Mkuu watu walishakuruhusu utumie hilo neno mbona huweki post ya huo uthibisho unaomba ruhusa kila comment wakati wenzako wanashambulia tu. Weka hizo idea zako
Comment no ngapi nikasome?Idea zangu? Sio idea Mimi natumia Neno Takatifu La Mungu..
Nishaweka, wamefyata mkia.
Nilikua naomba ruhusa lakini kila mmoja alikimbia maana walijua nondo za NENO TAKATIFU SIO ZA KUZIBISHIA..
Soma swali vizuri, hilo swali ulilosema la kitoto ni swali gumu sanaHii ni desturi na ada ya mitume wote,sababu mitume huchaguliwa kutokana na jamii fulani. Kama ilivyo kwa nabii Issa (Yesu), na mitune wengine,kisha ujumbe huenea maeneo mengine. Hili swali la kitoto sana umeuliza.
Si kweli kwamba Uislamu ulienea kwa Jihadi sababu Jihadi imekuja baadae kipindi ambacho Uislamu umeshaanza kutangaa.
Jihadi ni ibada kama ibada nyingine ina masharti yake na nguzo zake.
Zaburi 14:1Comment no ngapi nikasome?
Huo ukuu wa intelejensia ya kiroho kakupa nani😁?Zaburi 14:1
"Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu;
Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo,
Hakuna atendaye mema."
Tafutaa wewe nimeshusha mabomu mazito, shetani na jeshi lake wote wakarudi kwenye mahandaki yao.. mchana huu naona wamejitokeza Tena.
Waambie Mkuu wa kitengo cha intelejensia ya Kiroho Jioni nitaachia makombora mazito kwenye ulimwengu wa roho.
Sasa wewe sio Mwana intelejensia mwenzangu... Nikikuambia itakufaidia nini mpendwa..Huo ukuu wa intelejensia ya kiroho kakupa nani😁?
i am a seeker not believerthibitisha huyo mungu yupo
Hata believers hawawezi kuthibitisha, tuambie mnamtafutia pande zipi?i am a seeker not believer