love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Mbna ana declare atachoma watu sku ya mwisho sio kwasababu hawatendi memambona huyu wa maandiko yetu hana wivu huyu wala hana hasira
sisi waislamu na wakristo wote tunamtumikia vizuri tuu
Ila kwa kutomfuata yani kutamka yesu au Mohammed ndio pona yako.. huo ni upendo?
Na inakuwaj kila dini inajitanabaisha kuwa ni bora kuliko nyingine?
Na inakutaka uifuate yenyew ili iwe salama yako.
au hawa wafia dini wanaoua kwa sababu ya dini huwaoni,
Hata huko ukristo roma limeua watu zaidi ya 50 milion kwa kutumia jina la Mungu.
Leo wote wadai dini zao na Mungu wao ni wa upendo
upendo upi?