Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

habari great thinkers.

Uwepo wa mungu ni matokea ya maendeleo ya binadamu katika kuupata ustaarabu.Men create the god in their own imagination.Ndo mana wale miungu ya kale kabla ya hizi dini mpya za kisasa walikuwa na maumbo ya kibinadamu(human look_like) hata sifa walikuwa kama binadmu.
Walikuwa na sifa za kulia, kukasirika,wivu, njaa n.k.

Lakini hizi dini za kileo ni maboresho ya dini za kale so that hata miungu ya dini hizi wamepewa sifa nyingi kidogo kuliko wale wa kale,ikiwemo kutoonekana,ana uwezo wote, yupo kila sehemu n.k.
Nadhani wote tunajuwa kuwa binadamu alikuwa anaishi pamoja na wanyama wengine hapo kale kabla ya kuanza kujitenga na kuanzisha ustaarabu wake,katika kipindi hiki cha maisha binadamu alikuwa hana tofauti na wanyama wengine.Ilimchukau mamilioni ya miaka biandamu kujitofautisha na wanyama wengine na kuanza kustaarabika.Katika kipindi hiki huyu binadamu alianzisha mambo mbalimbali ikiwemo Dini,mungu,sheria,taifa n.k.

There are no gods,no god in the universe,no nation,no money,no justice,no law,no human rights out side the common imagination of human beings.Mara baada ya kuapata ustaarabu binadamu aliweza kuanzisha mambo mengi ikiwe religion institutions,mungu n.k.

View attachment 1941529
Mungu yupo na alikuwapo tangu kitambo. Kutokumjua au kutokuishi katika ustaarabu wa kuabudu Mungu. Hakukupi reason kwamba not exist. Baadhi ya jamii, Afrika na asia tumechelewa kujua juu ya ukuu wa Mungu mmoja ambae ni omnexsit, alpha na omega. Sie tuliamini ktk gods/miungu watu na mizimu.

Note. Hata wanyama wanafeel uwepo wa nguvu kuu na wanaitikia
 
Talibani na wenye dini hii Mungu wao anaruhusu kuuwa na zawadi ya kuua unapewa mabikira saba afterlife
Kuna siku nilimuuluza Sheikh mmoja wa kitaa hapa
Kuwa Mwanamme muislamu, atakaye fanikiwa kuingia peponi, atakabidhiwa wanawake mabikra 40

Je mwanamke muislamu, ambaye kwa bahati mbaya au nzuri alikufa kabla ya kuolewa wala kuchumbiwa, lakini kwa thawabu alizovuna akafika peponi pia

Huyu atazawadiwa kitu gani kitakacho kidhi matamanio yake ya kimwili
( Kitendo cha mwanamme muislam kukabidhiwa mabikra 40, kuna ashiria kuwa bado binadamu kwa mujibu wa pepo ya kiislam, atakua bado na matamanio ya kingono,vile vile mwanamke)

Sheikh akanijibu kwa kusua sua kuwa, huyo mwanamke atawekwa kwenye kundi la hao mabikra 40

Sasa ipi ilikua faida ya yeye kuvuna thawabu kama ataishia kuwa mtumwa wa kingono wa mwanamme fulani huko peponi

Fact kuwa Pepo hio imeahidi vingi kwa wanaume kuliko wanawake ni moja, Mfumo dume

Quran imeandikwa kipindi mfumo dume unatawala, na hio haijabadilika mpaka leo

Angalia wanachofanywa wanawake wa Afghanistan na Talibani

Na hii motisha ilitolewa kwa kusudi,waislamu wa mwanzoni waliupigani kwa vita (Jihad) ili usambae, walikua ni wanamme na sio wanawake wanaopigana vita

Sasa kijana wa kiume, yupo tayari kukatisha maisha yake kwa ajiri ya dini, utamwambia kitu gani cha kumpa hamasa?

Mwambie kuna mabikra 40, mwambie kuna chemchem za pombe

Halafu ukisikia dark age, ni kwamba watu wa wakati huo walikua wanaamini kitu chochote cha ajabu, (kutoka moyoni anaamini)

Walikua vulnerable sana
 
Huyu nimemsikiliza. Jenga hoja sasa.

Mimi ni Muislamu tena Muislamu hasa.
Kwanini wewe ni muislamu na sio mkristo ilihali wote mna amini katika Mungu?

Kuna utofauti kati ya Miungu yenu, au kipi cha kipekee kuhusu Uislamu, kilichofanya uwe muislam haswa?

Au umekua muislam kwa sababu ulizaliwa kwenye Familia ya kiislam, na ukawa indoctrinated tangu mdogo kuwa uislamu ndiyo dini ya kweli?
(kama ilivyo kwa 99% ya waislamu wote)

Pia unaweza nambia kwanini uislamu umeanza na Mtume Muhammad,katika eneo fulani, lenye utamaduni fulani, kisha ukasambaa kwa jihad mpaka huku?

Kwanini Allah asingetoa mitume yake kwenye kila jamii?, kila jamii duniani Allah angechagua Mohammed wao na kumpa ujumbe kuhusu Uislam?

Huoni uislam ungesambaa wa urahisi bila jihad na kusingekuwa na Confusion?

Ushawahi kujiuliza kwanini dini zote zimeanzia katika eneo fulani specific licha ya kwamba Mungu anauweza wa kujifunua kwa kila mtu duniani kwa wakati mmoja? Au akatoa nabii au mtume kwenye kila jamii?

Ushawahi jiuliza kwanini eneo ambalo dini imeanzia, hata Mitume wake pia ni wa Zaw Wa hilo eneo?

Kwanini kanzu ni vazi la kipekee licha ya kuwa vazi la kitamaduni kwenye jamii nyingi za waarabu

Haitoshi kupokea dini ngeni ukapokea mpaka utamaduni na lugha yao?

Kwanini adhana isiwe ya kiswahili? Kitu gani special kuhusu kiiarabu wakati Mungu anasikia kila lugha?

Ungezaliwa Japan, unahisi ungekua muumini wa dini gani? Kuwa mkweli?

Unaweza nambie mtume Muhammad aliwambia nini maswahaba wake walipomuuliza kuwa jua linapo zama linaenda wapi?
 
Mungu yupo na alikuwapo tangu kitambo. Kutokumjua au kutokuishi katika ustaarabu wa kuabudu Mungu. Hakukupi reason kwamba not exist. Baadhi ya jamii, Afrika na asia tumechelewa kujua juu ya ukuu wa Mungu mmoja ambae ni omnexsit, alpha na omega. Sie tuliamini ktk gods/miungu watu na mizimu.

Note. Hata wanyama wanafeel uwepo wa nguvu kuu na wanaitikia
Unaweza kuthibitisha kuwa mungu ana exist na sio mawazo wa binadamu
 
Kwanini wewe ni muislamu na sio mkristo ilihali wote mna amini katika Mungu?

Kuna utofauti kati ya Miungu yenu, au kipi cha kipekee kuhusu Uislamu, kilichofanya uwe muislam haswa?

Au umekua muislam kwa sababu ulizaliwa kwenye Familia ya kiislam, na ukawa indoctrinated tangu mdogo kuwa uislamu ndiyo dini ya kweli?
(kama ilivyo kwa 99% ya waislamu wote)

Pia unaweza nambia kwanini uislamu umeanza na Mtume Muhammad,katika eneo fulani, lenye utamaduni fulani, kisha ukasambaa kwa jihad mpaka huku?

Kwanini Allah asingetoa mitume yake kwenye kila jamii?, kila jamii duniani Allah angechagua Mohammed wao na kumpa ujumbe kuhusu Uislam?

Huoni uislam ungesambaa wa urahisi bila jihad na kusingekuwa na Confusion?

Ushawahi kujiuliza kwanini dini zote zimeanzia katika eneo fulani specific licha ya kwamba Mungu anauweza wa kujifunua kwa kila mtu duniani kwa wakati mmoja? Au akatoa nabii au mtume kwenye kila jamii?

Ushawahi jiuliza kwanini eneo ambalo dini imeanzia, hata Mitume wake pia ni wa Zaw Wa hilo eneo?

Kwanini kanzu ni vazi la kipekee licha ya kuwa vazi la kitamaduni kwenye jamii nyingi za waarabu

Haitoshi kupokea dini ngeni ukapokea mpaka utamaduni na lugha yao?

Kwanini adhana isiwe ya kiswahili? Kitu gani special kuhusu kiiarabu wakati Mungu anasikia kila lugha?

Ungezaliwa Japan, unahisi ungekua muumini wa dini gani? Kuwa mkweli?

Unaweza nambie mtume Muhammad aliwambia nini maswahaba wake walipomuuliza kuwa jua linapo zama linaenda wapi?
Umemtwisha mzigo mzito mgongoni sijuwi kama ataweza kuufikisha salama lazima autue tu.
 
habari great thinkers.

Uwepo wa mungu ni matokea ya maendeleo ya binadamu katika kuupata ustaarabu.Men create the god in their own imagination.Ndo mana wale miungu ya kale kabla ya hizi dini mpya za kisasa walikuwa na maumbo ya kibinadamu(human look_like) hata sifa walikuwa kama binadmu.
Walikuwa na sifa za kulia, kukasirika,wivu, njaa n.k.

Lakini hizi dini za kileo ni maboresho ya dini za kale so that hata miungu ya dini hizi wamepewa sifa nyingi kidogo kuliko wale wa kale,ikiwemo kutoonekana,ana uwezo wote, yupo kila sehemu n.k.
Nadhani wote tunajuwa kuwa binadamu alikuwa anaishi pamoja na wanyama wengine hapo kale kabla ya kuanza kujitenga na kuanzisha ustaarabu wake,katika kipindi hiki cha maisha binadamu alikuwa hana tofauti na wanyama wengine.Ilimchukau mamilioni ya miaka biandamu kujitofautisha na wanyama wengine na kuanza kustaarabika.Katika kipindi hiki huyu binadamu alianzisha mambo mbalimbali ikiwemo Dini,mungu,sheria,taifa n.k.

There are no gods,no god in the universe,no nation,no money,no justice,no law,no human rights out side the common imagination of human beings.Mara baada ya kuapata ustaarabu binadamu aliweza kuanzisha mambo mengi ikiwe religion institutions,mungu n.k.

View attachment 1941529
Nani aliandika hicho ulichonukuu?
Una uhakika gani ikiwa aliyoandika ni sahihi?

Mungu ni hakika na hakuna kitu kama Mungu na hafanani na miungu. Amini au usiamini siku moja utajua ili mradi ulizaliwa na mwanamke na unaishi.
 
habari great thinkers.

Uwepo wa mungu ni matokea ya maendeleo ya binadamu katika kuupata ustaarabu.Men create the god in their own imagination.Ndo mana wale miungu ya kale kabla ya hizi dini mpya za kisasa walikuwa na maumbo ya kibinadamu(human look_like) hata sifa walikuwa kama binadmu.
Walikuwa na sifa za kulia, kukasirika,wivu, njaa n.k.

Lakini hizi dini za kileo ni maboresho ya dini za kale so that hata miungu ya dini hizi wamepewa sifa nyingi kidogo kuliko wale wa kale,ikiwemo kutoonekana,ana uwezo wote, yupo kila sehemu n.k.
Nadhani wote tunajuwa kuwa binadamu alikuwa anaishi pamoja na wanyama wengine hapo kale kabla ya kuanza kujitenga na kuanzisha ustaarabu wake,katika kipindi hiki cha maisha binadamu alikuwa hana tofauti na wanyama wengine.Ilimchukau mamilioni ya miaka biandamu kujitofautisha na wanyama wengine na kuanza kustaarabika.Katika kipindi hiki huyu binadamu alianzisha mambo mbalimbali ikiwemo Dini,mungu,sheria,taifa n.k.

There are no gods,no god in the universe,no nation,no money,no justice,no law,no human rights out side the common imagination of human beings.Mara baada ya kuapata ustaarabu binadamu aliweza kuanzisha mambo mengi ikiwe religion institutions,mungu n.k.

View attachment 1941529
Nikuambie kitu kwa ufupi

Nje ya mawazo ya binadamu hakuna kitu kilichofanyika au kinaweza kufanyika na mwanandamu. Yote unayoyaona ni picha ya mawazo ya mwanandamu namaanisha yanakuwa yameshafanyika akili ndio yanaonekana dhahiri katika mwili. Hata wewe hapo ni picha ya mawazo ya baba na mama yako baada ya kutamaniana na kuamua kufanya tendo la ndoa. Wasingewaza usingezaliwa.

Nje ya mawazo hakuna kitu, na ndivyo ilivyo kwa Mungu.

Tatizo unadhani huo mwili ndiyo wewe. Kwa akili hiyo bado sana hautakaa uielewe falsafa ya Uungu na nafsi ya mwanadamu na viumbe wote ikiwemo mimea.

Hapo nimesema kwa ufupi.
 
Umemtwisha mzigo mzito mgongoni sijuwi kama ataweza kuufikisha salama lazima autue tu.
Huwa hawajibu
Halafu wengi humu ni delusional
Kwanza haamini kivipi mtu anaweza pinga imani yake wakati imejaa ukweli ulio wazi (delusion inapokua very severe)

Pia wengi hawajui kujenga hoja, na hawajui chochote nje ya kurasa kadhaa za quran au biblia

Mtu anakwambia hio miaka million umeipataje?

Hajui hata mathematics nyuma ya Carbon 14 Dating
Tufundishana Calculus tena?

Hajui imani inakua imani moyoni kwako, ukiianza ku push imani yako kwa watu kama fact bila kutupa evidence
Watu watakuona chizi

Mtu bila ushahidi wowote anakwambia binadamu wa kwanza ni Adamu

Hajui hata kisa cha Adam na Eva kiliundwa vipi

Hajui asili ya kisa cha adamu na hawa, ni mshahiri wa kigiriki Hesiod, ambaye kisa chake (original) cha Pandora's box ndiyo kime influence hizo derivative nyingine za quran na biblia

Yaani bado anaamini Adamu na Hawa walikuwepo kweli 😁😁

Mtu mzima huyo? daah
 
Unaweza kuthibitisha kuwa mungu ana exist na sio mawazo wa binadamu
The problem is unalinganisha Mungu na wewe jinsi ulivyo au miungu ya babu zako ambayo waliitengeneza kulingana na hisia zao. Au pengine unaweza ukaenda kumgusa kwa mkono wako kisha ukathibitisha ana exisit.

Ukithibitisha uhai wako ni nini?
Mawazo yanatoka wapi?
Kwa hayo tu unaweza ukajua Mungu ni nani.
 
Huwa hawajibu
Halafu wengi humu ni delusional
Kwanza haamini kivipi mtu anaweza pinga imani yake wakati imejaa ukweli ulio wazi (delusion inapokua very severe)

Pia wengi hawajui kujenga hoja, na hawajui chochote nje ya kurasa kadhaa za quran au biblia

Mtu anakwambia hio miaka million umeipataje?

Hajui hata mathematics nyuma ya Carbon 14 Dating
Tufundishana Calculus tena?

Hajui imani inakua imani moyoni kwako, ukiianza ku push imani yako kwa watu kama fact bila kutupa evidence
Watu watakuona chizi

Mtu bila ushahidi wowote anakwambia binadamu wa kwanza ni Adamu

Hajui hata kisa cha Adam na Eva kiliundwa vipi

Hajui asili ya kisa cha adamu na hawa, ni mshahiri wa kigiriki Hesiod, ambaye kisha chake (original) cha Pandora's box ndiyo kime influence hizo derivative nyingine za quran na biblia

Yaani bado anaamini Adamu na Hawa walikuwepo kweli 😁😁

Mtu mzima huyo? daah

Kitu gani kinakufanya wewe uaminikuwa ni mtoto halali wa baba na mama waliokulea?

Kama wewe unaona hawakuwepo Adam na Hawa, ni kitu gani kinakufanya usiamini kuwa hawakuwepo na kwanini uiamini hiyo source na usiiamini inayosema walikuwepo.

Imani ni kuwa na uhakika na jambo lisiloonekana. Ikiwa yeye anaamini Adam na Hawa yupo sahihi kabisa kulingana na source zake anazoziamini
 
The problem is unalinganisha Mungu na wewe jinsi ulivyo au miungu ya babu zako ambayo waliitengeneza kulingana na hisia zao. Au pengine unaweza ukaenda kumgusa kwa mkono wako kisha ukathibitisha ana exisit.

Ukithibitisha uhai wako ni nini?
Mawazo yanatoka wapi?
Kwa hayo tu unaweza ukajua Mungu ni nani.
Hoja ya namna hii ni Null
Yaani huja prove chochote

Ukitaka ku prove Mungu wako yupo, hebu please define Mungu ni nini kwa mjibu wa imani yako then proceed kutupa proof

Neno Mungu ni essentially contested concept,inaweza kuwa na maana yoyote

Mungu wa Afande sele ni Jua na Bangi
Sasa wewe na Afande sele tuwaweke kundi moja kwa sababu wote mnaamini Mungu?

So define Mungu ni nini kabla hujaanza ku quote comment zetu
 
Umemtwisha mzigo mzito mgongoni sijuwi kama ataweza kuufikisha salama lazima autue tu.
Mungu ni lazima aishi katika mawazo kwanza. Sawa na kila jambo huishi katika mawazo ndipo lije kwenye ulimwengu wa nyama.

Mfano hapo chakula ulichokula leo mchana hotelini kilianzia kichwani, mawazo. Kwamba leo nakula nyama na wali. Ndipo kikaletwa.

Tunaishi ulimwengu wa kuwaza. Usipowaza umekwisha na unaacha kila kitu uendeshewe na wengine.

Ndio maana Afrika imebaki maskini kwa vile watawala wamekabidhi maamuzi kwa wazungu. Wameacha kuwaza.

Nikirudi kwa mada.
Mungu ni lazima aishi kwenye fikra.

Ni somo pana na jinsi akili yako ilivyo finyu kuelekea Mungu na wewe mwenyewe kutojitambua hauwezi kunielewa kupitia post za JF
 
Kitu gani kinakufanya wewe uaminikuwa ni mtoto halali wa baba na mama waliokulea?

Kama wewe unaona hawakuwepo Adam na Hawa, ni kitu gani kinakufanya usiamini kuwa hawakuwepo na kwanini uiamini hiyo source na usiiamini inayosema walikuwepo.

Imani ni kuwa na uhakika na jambo lisiloonekana. Ikiwa yeye anaamini Adam na Hawa yupo sahihi kabisa kulingana na source zake anazoziamini
Hakuna mwenye shida na kipi unaamini as long as utakiweka Private au kukizungumza kwa watu wenye imani moja na wewe

Ila unapoanza kukiweka public, na kuki declare kama Fact hapo ndipo tutakapo examine imani yako

Kuamini Adamu ndiye binadamu wa kwanza sio tatizo, kaa kimya sasa.

Ukiianza kuzunguka mashuleni na kutaka kuwafundisha watoto wetu Binadamu wa kwanza ni Adamu,tutakuzingua

Hujiulizi kwanini shule ya msingi mpaka Chuo mwanao atafundishwa evolution wakati binadamu wa kwanza ni Adamu?

Hujawahi jiuliza kwanini masomo ya dini ni subsidiaries na hayana impact yoyote kwenye elimu yake?

Evolution ni Fact, Adamu ni Myth, false story

Kuamini sio tatizo as long as utakaa kimya...
 
Hoja ya namna hii ni Null
Yaani huja prove chochote

Ukitaka ku prove Mungu wako yupo, hebu please define Mungu ni nini kwa mjibu wa imani yako then proceed kutupa proof

Neno Mungu ni essentially contested concept,inaweza kuwa na maana yoyote

Mungu wa Afande sele ni Jua na Bangi
Sasa wewe na Afande sele tuwaweke kundi moja kwa sababu wote mnaamini Mungu?

So define Mungu ni nini kabla hujaanza ku quote comment zetu
May be u are out of the topic.

The one we are talking here as per mleta uzi ni Mungu aliyehubiriwa na wazungu. Mungu wa mbinguni.

Na mijadala mingi ipo centered huko. Na kitu kikubwa hapa sio dedinition ya Mungu, the issue is Mungu anadhihirika kinadharia zaidi (mawazo) na sio uhalisia. Hiki ndicho tunataka kukijua zaidi. Sio definition na usitoe watu kwenye mada labda useme kama unataka nikupe tafsiri ya jina Mungu
 
Naamini katika Mungu ambaye sio lazima ni batizwe ili atambue uwepo wangu yeye yupo na mimi wakati wote nimebatizwa sijabatizwa
haimpunguzii kitu wala hajali kwasababu hana tabia za kibinadam kam wivu
thibitisha huyo mungu yupo
 
Ningekuambia Mungu ni roho probably ningeonekan smart kumbe hata yenyewe hujui ni nin tafta maana ya roho then urudi kwenye energy
mnapenda kutumia misamiati ambayo mmezoea lakini hamjuai inamaanisha nini usiishi kwa mazoea
Roho ni nini?
 
May be u are out of the topic.

The one we are talking here as per mleta uzi ni Mungu aliyehubiriwa na wazungu. Mungu wa mbinguni.

Na mijadala mingi ipo centered huko. Na kitu kikubwa hapa sio dedinition ya Mungu, the issue is Mungu anadhihirika kinadharia zaidi (mawazo) na sio uhalisia. Hiki ndicho tunataka kukijua zaidi. Sio definition na usitoe watu kwenye mada labda useme kama unataka nikupe tafsiri ya jina Mungu
"Kudhihirika kinadharia" ni sentensi yenye maana gani?

Define kwanza Mungu ni nini kabla hujaelezea kivipi ana 'anadhihirika kinadharia'

Tafsir ya Mungu ni muhimu kabla ya chochote, comment yako inapuuza Miungu ya kizungu/kidini halafu unataka tu focus kumjadili Mung (wa mtazamo wako) ni kutuingiza kwenye confusion zaidi

Kwanini Mungu wako sio Mungu anayehubiriwa na dini?

Vuta pumzi, assume tunaanza mjadala
Mungu ni nini kwako?
 
Ntaendelea kuamini kuwa mungu yupo haijalishi nikifika mbinguni nitamkuta au la!.

Ila Mungu yupo yaani kuna wakati kabisa unahisi uwepo wake karibu nawe, kuna wakati unakuwa kwenye matatizo makubwaaa sana ila ukimuita msaada unatokea pale pale.

Mimi amenifanyia mengi sana amemlinda mama yangu yupo hai, wadogo zangu etc

Kubwa zaidi hii pumzi nisiyoilipia hata sent moja napumua tu bureee Asante mungu.

Kuna wakati nakuwa namuomba Mungu nikilalamika moyo unaniambia acha kulalamika kuna nilichonacho ambacho mwingine hana naishia kusema asante Mungu.
First off umejiwekea nadhiri ya kuamini yupo bila kujali kua imani hiyo niya kweli au uwongo

Kakulindia mama yako yuko hai ndio sababu ya kuamini yupo?

Huyo mama atakua hai milele, au tutegemee kuona imani yako kwa mungu huyo inatoweka pindi uhai wa mama yako utapofika kikomo? Kama uwepo wa mama yako kua hai unathibitisha mungu yupo kwasababu anamlinda basi siku akifa itathibitisha mungu ambaye alipaswa kumlinda hayupo
 
Hahaaa nacheka sana, hasa ninaporudia kusoma ulichoandika hapa.

Kwanza kabisa inakupasa utambue kuwa hao mitume unayoizungumzia hapa ni miongoni mwa jamii za miaka ya karibuni, jamii ambazo walishakuta ustaarabu umetamalaki kila pembe ya dunia.Wakati Muhammad anazaliwa na hao waliomtangulia katika imani yake walikuta tayari ustaarabu upo na watu wana dini na wana miungu yao.
Hivyo dhana ya mungu haijaanza kwa Muhammad au nuhu ilianza miaka mingi kabla ya hao kuwepo duniani.
Binadamu wa kale zaidi alipata kuishi miaka takribani million 6 iliyopita. Kwahy unapojenga hoja zingatia hiyo time frame
tena areje kusoma tena habari za firauni , maana firauni wanayemtolea mfano aliishi kipindi ambacho mungu wa muhamad hajaongea na abraham , na hamna ushahidi kuwa musa aliwahi kuishi misri ya kale.
 
Back
Top Bottom