Njia 10 za Uchumba Salama

Hata mpewe miaka kumi we na hao wajumbe wako hamuwezi kutoka na jibu la kupinga uzinifu..!
Mtapingaje Jambo msiloliweza..😜
Si ndo mana nikasema ninaliingiza hilo swala maabara chief😅😅
 
Kama unayatambua haya kwanini umetumia neno "usi"..?
Huko ni kumkataza mtu and then unatambua na maelekezo yake Bora ungeandika kwa utaadhari..
 
Kama unayatambua haya kwanini umetumia neno "usi"..?
Huko ni kumkataza mtu and then unatambua na maelekezo yake Bora ungeandika kwa utaadhari..
Kwani Wewe umeelewaje?
Nakushauri Soma Tena point yangu brother.

"Usioe na mtu ambaye ndoa yake ya mwanzo ilivunjika hadi umejua sababu za ndoa hiyo kuvunjika.
"Unless "huwa unaitumiaje wewe!?!?
 
Ulianza vizuri mno ukaja ukaharibu mwishoni kabisa.... hiyo namba kumi ungeiweka namba moja nina hakika mengi miongoni mwa uliyoyaandika nafsi ingekusuta pengine ungeishia kupata mambo matatu tu..... Yaani hayo mengine yanategemea kinyume cha namba kumi and vice versa is true
 
Nimeharibu kivipi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…