Njia gani nzuri ya kumfukuza mwanamke alieng'ang'ania ghetto??

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,727
Reaction score
8,785
Kama inavyosomeka hapo juu
Kuna demu kaja hapa ghetto wiki sasa inaisha haoneshi dalili ya kuondoka
Nawaza nitumie njia gani ambayo haitaleta lawama kwa upande wangu pindi nitakapomtimua huyu demu.

Kuna wale wakongwe wa kufukuza wanawake ving'ang'anizi kwenye nyumba nipeni mbinu 2 3 zisizo na madhara nimtimue huyu demu.

Sababu ya kumfukuza ni kwao sijulikani na sijiskii tu kuishi na mwanamke hapa kwangu kwa sasa

downloadfile-1.jpg
 
Baada ya kumalizq asali kwenye chupa Sasa anataka kuitupa.

Baada ya Jojo kuliwa inatemwa ila wengine wanaweza.

Onyonkwa wadada waogopeni WANAUME wanaowapenda kama Jojo na asali ni waoga wa kutunza
 
Kama inavyosomeka hapo juu
Kuna demu kaja hapa ghetto wiki sasa inaisha haoneshi dalili ya kuondoka
Nawaza nitumie njia gani ambayo haitaleta lawama kwa upande wangu pindi nitakapomtimua huyu demu.

Kuna wale wakongwe wa kufukuza wanawake ving'ang'anizi kwenye nyumba nipeni mbinu 2 3 zisizo na madhara nimtimue huyu demu.

Sababu ya kumfukuza ni kwao sijulikani na sijiskii tu kuishi na mwanamke hapa kwangu kwa sasa
Dah,

Mkuu umenikumbusha mbali sana.

Hapo ukipatwa na safari ya ghafla ya kikazi ukamuelezea inakuwaje?

Au ndiyo atakuambia safari njema umuache nyumbani kabisa?
 
Mimi wakwangu nilimwambia tu kuishi nayeye kwa muda mrefu ilhali sifahamiki kwao(sogea tuishi) sitoweza

Kuna leo na kesho hvyo tatizo linaweza likatokea tusijue kwa kuanzia.

Tunapozidi kuandaa process za kutambulika si mbaya akawa anakuja na kusepa.

Alielewa maana huo ulikua uungwana wangu tu wa kumwelewesha pia ananijua upande wangu wa pili kama angekaidi.

Nb;BADO NIPO NIPO KWANZA.
 
Back
Top Bottom