Njia gani nzuri ya kumfukuza mwanamke alieng'ang'ania ghetto??

Njia gani nzuri ya kumfukuza mwanamke alieng'ang'ania ghetto??

20250529_075443.jpg
 
Kama inavyosomeka hapo juu
Kuna demu kaja hapa ghetto wiki sasa inaisha haoneshi dalili ya kuondoka
Nawaza nitumie njia gani ambayo haitaleta lawama kwa upande wangu pindi nitakapomtimua huyu demu.

Kuna wale wakongwe wa kufukuza wanawake ving'ang'anizi kwenye nyumba nipeni mbinu 2 3 zisizo na madhara nimtimue huyu demu.

Sababu ya kumfukuza ni kwao sijulikani na sijiskii tu kuishi na mwanamke hapa kwangu kwa sasa
Kwa nini umfukuze wakati wewe ndo uliona anafaa kuja kwako badala ya kumpeleka gest?? Kama ulimpeleka geto mean uliona anafaa kuwa mkeo na amefika labda atoke kwa taraka
 
Back
Top Bottom