Njia gani nzuri ya kumfukuza mwanamke alieng'ang'ania ghetto??

Njia gani nzuri ya kumfukuza mwanamke alieng'ang'ania ghetto??

Maisha ni haya haya hakuna mengine. Daima kuwa muungwana maana kesho yako haijulikani. Unayemfukuza leo kama mbwa, kesho na keshokutwa ndiyo anaweza kuwa mkombozi wako maana shida mara nyingi huwa zina tabia ya kuturudisha kwa watu tuliowakosea.

Njia nzuri ni kumwambia tu ukweli kwamba kwa hali yako ya sasa (kiuchumi, kijamii na hata kisaikolojia) hauko tayari kuishi naye; au mwanamke mwingine ye yote. Kama una/huna mipango naye huko mbele ya safari pia mwambie ili asipoteze muda wake. Na kama itakuwa ni casual relationship just for casual sex pia mwambie. Anaweza akakasirika na hata kukuchukia lakini baadaye atakuheshimu na atakuona kuwa ulimtendea haki.

Jitahidi sana usimdanganye wala kumpa matumaini ndiyo-siyo wakati huna mpango wa kuwa naye. Mwache aende kwa amani. Kwa jinsi hiyo nafsi yako itakuwa safi na hautakuwa na deni ambalo pengine lingekuja kudaiwa kwa vizazi vyako vya kike.

Mungu na Awasaidie 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
...... miaka 21 tu baadaye, mkuu wa Ryazan ulio karibu “alikuja Moscow na kuchoma mji mzima.” Moscow lilijengwa upya, lakini katika Desemba ya mwaka wa 1237, Wamongol chini ya Batu Khan, mjukuu wa Genghis Khan aliye mashuhuri, aliuteka na kuuchoma Moscow kabisa...


Asah hata sijajua nataka kukushauri kitu gani hapa.
 
Amtoe out, huku nyuma washkaji wahamishe vitu.....akirudi anakuta ndani kuna bulb tu bro
tapatalk_-529624407.jpg
 
Mimi wakwangu nilimwambia tu kuishi nayeye kwa muda mrefu ilhali sifahamiki kwao(sogea tuishi) sitoweza

Kuna leo na kesho hvyo tatizo linaweza likatokea tusijue kwa kuanzia.

Tunapozidi kuandaa process za kutambulika si mbaya akawa anakuja na kusepa.

Alielewa maana huo ulikua uungwana wangu tu wa kumwelewesha pia ananijua upande wangu wa pili kama angekaidi.

Nb;BADO NIPO NIPO KWANZA.
Utaoa lini...?
 
Mwambie kuna mshkaji wako aliomba geto manz yake anakuja kama siku mbil tatu,wewe hamia kwa msela ata baada ya hapo akitaka kuja unamwambia bado yupo,akileta ujuaji tafuta dem na msela waje kuzuga baas
Ikishindikana hama geto
 
Kama inavyosomeka hapo juu
Kuna demu kaja hapa ghetto wiki sasa inaisha haoneshi dalili ya kuondoka
Nawaza nitumie njia gani ambayo haitaleta lawama kwa upande wangu pindi nitakapomtimua huyu demu.

Kuna wale wakongwe wa kufukuza wanawake ving'ang'anizi kwenye nyumba nipeni mbinu 2 3 zisizo na madhara nimtimue huyu demu.

Sababu ya kumfukuza ni kwao sijulikani na sijiskii tu kuishi na mwanamke hapa kwangu kwa sasa
Mpange rafiki yako akupigie simu, msave mwenye nyumba. Apandishe kodi iwe kubwa halafu atake ya mwaka mzima. Sasa kila siku jioni mada iwe ni huna ela ya kodi na hujui la kufanya. Ataondoka, asipoondoka anza kumuomba akusaidie hiyo kodi, au aende kwao kwanza huku ukifikiri utakapohamia halafu utamjulisha.
 
Mnafeli sana wadogo zangu, mtoto wa watu umemleta mwenyewe sasa hivi unataka kumfukuza?
Hebu mvumilie wakati unamtaka ulikubali kila kitu saiv ushamaliza nyege zako unataka kumtosa.
Angekua mdogo wako au mtoto wako anafanyiwa hivi ungejisikiaje.

Vikikurudia usikasirike.
 
Back
Top Bottom