KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Demu mwenye ndo huyo na shangazi kaja?Kama inavyosomeka hapo juu
Kuna demu kaja hapa ghetto wiki sasa inaisha haoneshi dalili ya kuondoka
Nawaza nitumie njia gani ambayo haitaleta lawama kwa upande wangu pindi nitakapomtimua huyu demu.
Kuna wale wakongwe wa kufukuza wanawake ving'ang'anizi kwenye nyumba nipeni mbinu 2 3 zisizo na madhara nimtimue huyu demu.
Sababu ya kumfukuza ni kwao sijulikani na sijiskii tu kuishi na mwanamke hapa kwangu kwa sasa
Broo si ungeenda kwa wahadzabe ujichukulie ka duduqe kako kamoja?