Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,727
- 8,785
Ndo akili yako imeishia hapo? Makubwaa.Muombe mtaro halaf paka mkongo safisha mtaro kwa masaa 3 kesho ataondoka mwenyw bila kuaga
MKuu ingekua ww ungefanyaje? Bas nifundishe demu akigoma kuondoka geto kwako ua unafanyajeNdo akili yako imeishia hapo? Makubwaa.
Baada ya kumalizq asali kwenye chupa Sasa anataka kuitupa.Kama inavyosomeka hapo juu
Kuna demu kaja hapa ghetto wiki sasa inaisha haoneshi dalili ya kuondoka
Nawaza nitumie njia gani ambayo haitaleta lawama kwa upande wangu pindi nitakapomtimua huyu demu.
Kuna wale wakongwe wa kufukuza wanawake ving'ang'anizi kwenye nyumba nipeni mbinu 2 3 zisizo na madhara nimtimue huyu demu.
Sababu ya kumfukuza ni kwao sijulikani na sijiskii tu kuishi na mwanamke hapa kwangu kwa sasa
Dah,Kama inavyosomeka hapo juu