Njia gani sahihi za kuzuia mimba mara baada tu ya kujamiana?

Bro usibishe tu kwakuwa umesoma sayansi. Kwa taarifa yako wako watu wakitoka tu kwenye show fasta anaenda kunawa maji vzr anazitoa zote na hapati mimba
 
Morning after pill, hususani levonogestrol 5mg inafanya kazi akiwahi kutumia within 72 hrs
 
Lazima haya yakukute mkuu![emoji116][emoji1][emoji1][emoji1]
 

Attachments

  • IMG-20170531-WA0012.jpg
    27.5 KB · Views: 173
Kuna njia ya asili rahisi sana kama hauko tayari kupata mtoto kwa wakati huo, ila sisi vijana hatutaki kufuata njia hizi za asili kwa kupotoshwa na western cultures..ni hivi mkuu, kwa kawaida ni ngumu sana ujauzito kutungwa katika sehemu yenye ubaridi so mara baada ya kumaliza tendo mwanamke anatakiwa kunawa maji kwenye sehemu zake za siri huku akisindikiza glass moja ya maji baridi..that simple hah hah nakwambia hapo mimba haitakaa iingie hata iweje! Fanya hivyo kisha uje na mrejesho hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…