Salaam!
Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.
Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.
Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!
Je, Bunge likirudi na kuifuta Ile Sheria ya kuwapa nguvu wasijulikana kufanya kazi zao bila mipaka, je Hali ya Mambo itarudi kuwa sawa?
Imefikia time tumechonga kinyago wenyewe, kimeingiwa na Roho ya kutaka damu, kinatutisha wachongaji wa kinyago!
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Karibuni 🙏