Njia gani zitumike kulisafisha Jeshi la polisi dhidi ya yanayoendelea?

Yani mnashindwa kuwalaumu viongozi wenu mnavaki kuwalaumu Polisi.

Hivi kwa akili ya kawaida mnadhani Polisi hizo order wanajitungia wao jibu ni hapana maana yake zinatoka kwa viongozi wenu wehu na wajinga mliowachagua, atokee tu leo Rais ambae atapiga marufuku huo ujinga wankutekana kama utaendelea.

Walioajiriwa Polisi ni watoto wa maskini wao nao wanaogopa kupoteza ajira zao kama wewe ambavyo umeajiriwa na serikali ila hapo ofisini hutaki kusema chochote au kwenda kinyume na mabosi wako kwa kuhofia kupoteza kazi.

Simon Sirro ndie aliyeanza kutangaza mambo ya amani katika jeshi la polisi na alikemea hadharani kuhusu kutekana umeona Mama yenu alichomfanya kapigwa ubalozi Zambia sijui sasa nani anayataka hayo mambo ndo maana Akina Wambura hutawasikia wakiongea.

Gwajima juzi tu hapa alisema ya kuwa Rais ni kapewa nguvu iliyopitiliza maana yake akiona tu mteule wake kwenye vyombo vya ulinzi na usalama yupo kinyume nae anamtumbua ila akashauri kabisa itungwe sheria kwamba ikitokea Rais amemtumbua mtu huyo basi ipelekwe bungeni wajue shida ni nini na kama hakuna mashiko basi hatumbuliwi mtu sasa kwa uongozi wenu huu na wabunge wenu mnadhani nani atafanya hivyo.

Halafu mnawalaumu Polisi wakati vyombo vyote vinashiriki huu ujinga na Hakuna combo kilicho salama hao TPDF yakitangazwa maandamano wanaleta na wao upuuzi wa kufanya usafi wanakuaga wapi siku zote hizo mpaka wanakuja siku za maandamano
Kwani kuna mahali polisi ameruhusiwa kutoa uhai wa mtu asiye na silaha, bila kumfikisha Mahakamani?
 
SI wote,

Ni wachache mno,

Na ndipo ilipo hoja ya kulisafisha!
Sio wote kivipi? Ulisikiliza mjadala wa bungeni na maoni waliyotoa wabunge? Ulisikia maneno ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kule Serengeti?
 
Salaam!

Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.

Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.

Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!

Bunge likirudi na kuifuta Ile Sheria ya kuwapa nguvu wasijulikana kufanya kazi zao bila mipaka, je Hali ya Mambo itarudi kuwa sawa?

Karibuni 🙏
CCM wameshateka na kuvuruga kila taasisi, TISS, Polisi, Uhamiaji na ofisi za umma.

Taaisi pekee ambayo kwasasa wanajichomeja taratibu taratibu ni JWTZ.
 
Namaanisha SI polisi wote ni WA tabia hizo!
 
K
Jeshi la Polisi ni moja
Kwamba kifutwe Kisha kuanza upya?

Mbona muundo uko vizuri tu.

Nadhani tuhamie kupiga kelele Ili bunge lifute Ile Sheria ya watu wa usalama kupewa nguvu isohimilika!
 
Salaam!

Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.

Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.

Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!

Bunge likirudi na kuifuta Ile Sheria ya kuwapa nguvu wasijulikana kufanya kazi zao bila mipaka, je Hali ya Mambo itarudi kuwa sawa?

Karibuni 🙏
Ingia You tube msikilize wakili Mwabukusi, ushauri wake aliouongea leo trh 04/06/25 ukizingatiwa utafaa sana katika kulishape jeshi la Polisi Tz.

Yaani liwe na sura ya Polisi wa Marekani, kila County inaajiri Polisi wake, tena kule wanaitwa Sharrif.

Halafu Polisi wa Jamhuri wanakuwa ni wale wa department ya upelelezi tu.
Maelezo mazuri sana katoa, fuatilia huko.
 
Salaam!

Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.

Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.

Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!

Je, Bunge likirudi na kuifuta Ile Sheria ya kuwapa nguvu wasijulikana kufanya kazi zao bila mipaka, je Hali ya Mambo itarudi kuwa sawa?

Karibuni 🙏
Gwajima alitoa USHAURI ,wakiufuata UTEKAJI unaisha siku moja tu.
 
Ingia You tube msikilize wakili Mwabukusi, ushauri wake aliouongea leo trh 04/06/25 ukizingatiwa utafaa sana katika kulishape jeshi la Polisi Tz.

Yaani liwe na sura ya Polisi wa Marekani, kila County inaajiri Polisi wake, tena kule wanaitwa Sharrif.

Halafu Polisi wa Jamhuri wanakuwa ni wale wa department ya upelelezi tu.
Maelezo mazuri sana katoa, fuatilia huko.
Ungesaidia kuweka link ya video hiyo hapa🙏
 
Muliro anakwambia kina Aghata na Boniface yale waliyoongea ni MAONI yeye hana jibu mpaka akutane nao na awaulize MASWALI direct otherwise walichoongea ni MAONI.
 
CCM wameshateka na kuvuruga kila taasisi, TISS, Polisi, Uhamiaji na ofisi za umma.

Taaisi pekee ambayo kwasasa wanajichomeja taratibu taratibu ni JWTZ.
Hata hao TPDF hamna kitu na wao viongozi wanawaingilia mbona
 
Salaam!

Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.

Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.

Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!

Je, Bunge likirudi na kuifuta Ile Sheria ya kuwapa nguvu wasijulikana kufanya kazi zao bila mipaka, je Hali ya Mambo itarudi kuwa sawa?

Karibuni 🙏
Ndugu yangu eeeee?

Tutashindwa kusaidia ila Mwandi wa Kenya na dada wa Uganda wanauthibitisho wa doctor.

Tuwaachie mahakama iwasafishe.
 
Back
Top Bottom