- Thread starter
- #81
Police wetu huwa wanatuomba lift tuwasogeze maofisini kwao,Lifumuliwe iwe ni POLICE SERVICE na sio POLICE FORCE.
Sasa kwa Hali hii, itawezekana kweli kumpa lift askari?
Tujisahihishe.

Unaweza kumpa polisi lift akakuwekea madawa ya kulevya ukaambiwa ulikuwa unasafirisha madawa ya kulevya.Police wetu huwa wanatuomba lift tuwasogeze maofisini kwao,
Sasa kwa Hali hii, itawezekana kweli kumpa lift askari?
Tujisahihishe.
Hili linatisha kuliko kitu kingine chochote.WEWE huogopi mahali pa haki aingie polisi amevaa maski?
Mbowe: Wanaokataa chanjo za COVID 19, wakamatwe na kuchanjwa kwa lazima.Simple ni kuiondoa ccm madarakani tu
Yule nondo na wenzie waliomteka na kumlawiti dada yule ni hao hao!CCM wameshateka na kuvuruga kila taasisi, TISS, Polisi, Uhamiaji na ofisi za umma.
Taaisi pekee ambayo kwasasa wanajichomeja taratibu taratibu ni JWTZ.
Usiwaamini.Polisi hata ukikaa nao wanakuambia kabisa haya mambo wanayoyafanya hata wao hawapendi
Na humu humu kuna wachangiaji mna vijiti 😂😂😂😂😂Wanataka majukwaa yazungushiwe utepe ili kuimarisha ulinzi🐼
Uwe mwaminifu hata kufa.Na humu humu kuna wachangiaji mna vijiti 😂😂😂😂😂
Mapinduzi tu ndio yatasafisha polisi na tena halitaitwa jeshi itakuwa idara ya polisiSalaam!
Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.
Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.
Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!
Je, Bunge likirudi na kuifuta Ile Sheria ya kuwapa nguvu wasijulikana kufanya kazi zao bila mipaka, je Hali ya Mambo itarudi kuwa sawa?
Imefikia time tumechonga kinyago wenyewe, kimeingiwa na Roho ya kutaka damu, kinatutisha wachongaji wa kinyago!
Karibuni 🙏
Lisafishike ili iweje? Liende wapi? Kwa ajili ya nani na kwa nini? Hakuna namna litasafishika, that is their destiny.Salaam!
Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.
Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.
Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!
Je, Bunge likirudi na kuifuta Ile Sheria ya kuwapa nguvu wasijulikana kufanya kazi zao bila mipaka, je Hali ya Mambo itarudi kuwa sawa?
Imefikia time tumechonga kinyago wenyewe, kimeingiwa na Roho ya kutaka damu, kinatutisha wachongaji wa kinyago!
Karibuni 🙏
Hapo umeongea point ya muhimu bila mapinduzi hakuna kitakachobadilikaMungu atupe uhai tulishuhudie hili, Ni mabadiliko makubwa mno yanahitajika kwenye hii inchi.
Tanganyika inahitaji mapinduzi ya kweli kwa mara ya pili.
Nawao waanze kutekwa na familia zao nadhani ndio watauona uchungu wakumchukua mtoto wa mwenzio kumuua na kumtoboa macho.Salaam!
Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.
Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.
Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!
Je, Bunge likirudi na kuifuta Ile Sheria ya kuwapa nguvu wasijulikana kufanya kazi zao bila mipaka, je Hali ya Mambo itarudi kuwa sawa?
Imefikia time tumechonga kinyago wenyewe, kimeingiwa na Roho ya kutaka damu, kinatutisha wachongaji wa kinyago!
Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿
Karibuni 🙏
Hata kama ni wa kupita hujui ya kwamba kwa aina ya uongozi kwa kama TZ Rais anaathiri sana shughuli zote nchini, na ndo maana nimekwambia akitokea hapa Rais ambae hafagilii huu ujinga kutakuwa hakuna tena kutekanaHuyo ni wa kupitia tu,
Jeshi ni taasisi.