Njia gani zitumike kulisafisha Jeshi la polisi dhidi ya yanayoendelea?

Askari wa vyeo vya chini wanafata tuu amri wanazopewa.
Kilichopo ni kubadilisha mfumo wa kuwateua wale wanaotoa amri, wawe ni watu wanaofata haki za binadamu kwa vitendo sio kwa maneno matupu
Sahihi na hapa shida ni viongozi
 
Kwasasa ukitazama jeshi la polisi namna linafanya kazi halijatofautiana na wale majambazi wa kwenye series za 24,Narcos na Prison break.

Yaani askari wamekuwa ni nyoka kuliko hata watu wabaya. Ukikutana na jambazi anakimbizwa katoka kupora benki unajikuta unataka kumsaidia asikamatwe na askari maana ukiwasaidia askari kuwa jambazi amepita kichochoro hiki na wewe unawekwa chini ya ulinzi kwa kushirikiana na jambazi.
 
Usiwaamini.

Wanakulipa timing!
Nisiwaamini kivipi wakati ndo uhalisia wenyewe, order zinatoka juu askari wadogo wakazitimize na hao askari ndo wanakumbana na hayo Madhira maana hawapendi kufanya hivyoo

Hakuna wa kunilipa sababu mimi nimezungukwa na watu wa majeshi kwa hiyo nkisema hivyo nielewe
 
Sawa
 
Ili jeshi la police liwe na heshima kwa wananchi ni lazima iwepo katiba mpya
Itakayofuta mamlaka ya Rais kuteua wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama badala yake wakuu hao iwapo wakiteuliwa na Rais basi bunge ndo liwahidhinishe
Au wachuguliwe kijeshi pasina kuteuliwa na wanasiasa
Sasa hivi tunalalamika kupuuzwa kwa wananchi ni kwa sababu katiba yetu imewapa nguvu sana wanasiasa ya kufanya lolote wanalotaka na hakuna wa kuwauliza
Ehm fikiria mtu mmoja ndo anaamua Nan alale ofisin na Nan arudi kaliua kulima tumbaku kwa misingi kama hyo lazima watu wataabudu na kutukuza tu
 
Sasa pia hayupo kiongozi atakufukuza kazi kwa kukataa kutoa uhai wa mtu asiye na hatia bila kumfikisha court
Hayupo ila ni uoga wa askari kwamba wakimpeleka mtu mahakamani kesi itakua ngumu na mtuhumiwa atashinda
 
Sasa kwani mtuhumiwa akishinda kesi Mahakamani,polisi huwa wanakatwa mshahara Hadi waogope kumpeleka court?
 
Salaam!

Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.

Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.

Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!

Je, Bunge likirudi na kuifuta Ile Sheria ya kuwapa nguvu wasijulikana kufanya kazi zao bila mipaka, je Hali ya Mambo itarudi kuwa sawa?

Imefikia time tumechonga kinyago wenyewe, kimeingiwa na Roho ya kutaka damu, kinatutisha wachongaji wa kinyago!

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni 🙏
Hao watu wanaowauwa watu baada ya kuwateka lazima watakuwa na itikadi fulani. Katika hali ya kawaida binadamu hawezi kuwa anaua watu baada ya kuwatesa halafu akaendelea na maisha yake kama kawaida, Hata jambazi sugu hawezi hiyo kazi. Kwa hesabu za gwajima zaidi watu 80 wamepotea. Hiyo itikadi ndio inawafanya wauaji wamuone anaye uawa kama kumchinja ng'ombe tu hivyo kuwa comfortable na kuchukua maiti kuwarushia mamba mtoni.
 
CCM ndiyo Chanzo Cha Matatizo yote haya,CCM haikubaliki inabidi itumie mabavu ya vyombo vya dola ili kuendelea kutawala kinyume na matakwa ya wapiga kura. Katiba mpya itakayomuondolea Rais madaraka ya umungumtu,Tume huru ya uchaguzi ambayo itatupatia viongozi wanaotokana na matakwa ya wapiga kura. Kutenganisha kabisa vyombo vya ulinzi na usalama na siasa. Tukipata jeshi ambalo linabaki kwenye majukumu yake ya kikatiba ya ulinzi wa raia na mali zao mauaji haya yanayoendelea ambayo ni ya kisiasa hayatakuwepo.
 
Salaam!

Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.

Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.

Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!

Je, Bunge likirudi na kuifuta Ile Sheria ya kuwapa nguvu wasijulikana kufanya kazi zao bila mipaka, je Hali ya Mambo itarudi kuwa sawa?

Imefikia time tumechonga kinyago wenyewe, kimeingiwa na Roho ya kutaka damu, kinatutisha wachongaji wa kinyago!

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni 🙏
Mapendekezo ya tume ya Haki jinai yafanyiwe kazi walikua very clear tatizo tunaunda tume nakutokubali kushauliwa as Gwaji boy say kwakua kuna maslahi wanasiasa wanayapata kwa wakati huo wanaona fresh tu
 
Salaam!

Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.

Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.

Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!

Je, Bunge likirudi na kuifuta Ile Sheria ya kuwapa nguvu wasijulikana kufanya kazi zao bila mipaka, je Hali ya Mambo itarudi kuwa sawa?

Imefikia time tumechonga kinyago wenyewe, kimeingiwa na Roho ya kutaka damu, kinatutisha wachongaji wa kinyago!

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

Karibuni 🙏
Chanzo ni CCM
The root cause is CCM
Anzia hapo nadhani nimekupa mwanga, (I have given you a clue)
 
Dawa ya moto ni moto tu kama ukiwa kwa upanga uuliwe kwa upanga nawo wanatakiwa watekwe kidogo wafanyiwe kama wanavyowafanyia wengine itapunguza pain
 
K

Kwamba kifutwe Kisha kuanza upya?

Mbona muundo uko vizuri tu.

Nadhani tuhamie kupiga kelele Ili bunge lifute Ile Sheria ya watu wa usalama kupewa nguvu isohimilika!
MAPENDEKEZO YA HAKI JINAI YANGEKUWA SULUHISHO.
 
Back
Top Bottom