King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Acha tu watu wameumizwa wanalalamika wameteswa na SIRIKALI ta TIZIII halafu j4 anakwambia ni MAONI tu.....watu kama hao wanakuja kuwa na MWISHO MBAYA sana.Hicho kinaitwa kiburi Cha uzima!

Wamevuka mipaka,Acha tu watu wameumizwa wanalalamika wameteswa na SIRIKALI ta TIZIII halafu j4 anakwambia ni MAONI tu.....watu kama hao wanakuja kuwa na MWISHO MBAYA sana.
Wamevuka mipaka,
Najiuliza, palikuwa na ulazima gani kumlawiti mtu yule na kutwambia aseme Asante Samia?
No Reforms No ElectionSalaam!
Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.
Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.
Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!
Je, Bunge likirudi na kuifuta Ile Sheria ya kuwapa nguvu wasijulikana kufanya kazi zao bila mipaka, je Hali ya Mambo itarudi kuwa sawa?
Imefikia time tumechonga kinyago wenyewe, kimeingiwa na Roho ya kutaka damu, kinatutisha wachongaji wa kinyago!
Karibuni 🙏
Polisi hata ukikaa nao wanakuambia kabisa haya mambo wanayoyafanya hata wao hawapendiNamaanisha SI polisi wote ni WA tabia hizo!
🤣🤣 Kulivunja tuSalaam!
Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.
Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.
Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!
Je, Bunge likirudi na kuifuta Ile Sheria ya kuwapa nguvu wasijulikana kufanya kazi zao bila mipaka, je Hali ya Mambo itarudi kuwa sawa?
Imefikia time tumechonga kinyago wenyewe, kimeingiwa na Roho ya kutaka damu, kinatutisha wachongaji wa kinyago!
Karibuni 🙏
Mungu ni zaidi ya uchawi,Mimi naona watu hawaamini UCHAWI lakini ungekuwepo ni DHAHIRI wanaowafanyia watu ukatili ,wanaowateka watu wangekuwa washaonyeshwa CHA MTEMA KUNI.
Police huwa wanatumwa tu na kupewa maagizo na kwao kauli ni moja tu sawa mkuu,wakulaumiwa ni hawa viongozi wanaowatuma sio police.Salaam!
Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.
Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.
Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!
Je, Bunge likirudi na kuifuta Ile Sheria ya kuwapa nguvu wasijulikana kufanya kazi zao bila mipaka, je Hali ya Mambo itarudi kuwa sawa?
Imefikia time tumechonga kinyago wenyewe, kimeingiwa na Roho ya kutaka damu, kinatutisha wachongaji wa kinyago!
Karibuni 🙏
Wanataka majukwaa yazungushiwe utepe ili kuimarisha ulinzi🐼Daaah bado mnaendelea tuu
Umewahesabu?SI wote,
Ni wachache mno,
Na ndipo ilipo hoja ya kulisafisha!
Polisi hawajawahi kwenda likizo.🤣🤣 Kulivunja tu
Wote ni msemo wa laymen!Umewahesabu?
Mbwa kumuuma mtu bila kuamrishwa na mwenye mbwa,Aisee polisi wetu hawajitambui, Kuna jamaa kapigwa marungu kisa kaenda kusikiliza kisa ya lissu.
Aisee polisi aje ajichanganye napita nae, anipige rungu aisee