Njia gani zitumike kulisafisha Jeshi la polisi dhidi ya yanayoendelea?

Askari wa vyeo vya chini wanafata tuu amri wanazopewa.
Kilichopo ni kubadilisha mfumo wa kuwateua wale wanaotoa amri, wawe ni watu wanaofata haki za binadamu kwa vitendo sio kwa maneno matupu
 
Kumbe hata wakiamrishwa wajinyonge bila sababu ya Msingi kisheria,

Watenda kujitundika?
 
Salaam!

Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.

Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.

Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!

Je, Bunge likirudi na kuifuta Ile Sheria ya kuwapa nguvu wasijulikana kufanya kazi zao bila mipaka, je Hali ya Mambo itarudi kuwa sawa?

Imefikia time tumechonga kinyago wenyewe, kimeingiwa na Roho ya kutaka damu, kinatutisha wachongaji wa kinyago!

Karibuni 🙏
Ni njia rahisi.
Ni kuondoa Genge la Samia lililojipenyeza kila mahali, polisi ikiwa ni eneo moja tu.
Polisi kama akina CP Awadh, ACPMujema na wengine wa aina hiyo, ni lazima waondolewe kwenye jeshi.

Hawa wapo huko kwa ajenda maalum.
 
Mbegu haiwezi kuzaa mpaka ife izikwe ndipo iote upya. Kuhuisha imani kwa polisi ni kumchagua lisu aje kurudisha utawala wa kishria. Avunje jeshi la polis na kulijenga upya kwa sheria na kanuni zinazomlinda raia mwema.
 
SI kweli,

Njia rahisi ya kumuondoa kichaa,

Ni kuhamisha makopo yake, SI kummuhamisha kichaa ukaacha makopo atayarudia!
 
Hawawezi wakajinyonga kwasababu hakuna kiongozi anaeweza kukufukuza kazi kisa amekwambia ujinyonge na ukakataa
Sasa pia hayupo kiongozi atakufukuza kazi kwa kukataa kutoa uhai wa mtu asiye na hatia bila kumfikisha court
 
Wakitangaza likizo nchi nzima kwa nusu saa tu,

Hapatokalika!
Kulivunja nilikuwa naamanisha ni kaweka sura mpya sehemu kubwa ya utendaji na maamuzi huku ukibadilisha sera na kuhamisha wote mikoa vitengo na kuwachanganya kwenye majeshi tofauti, magereza, fire, FFU migration na etc hii itasaidia kidogo japo tatizo itakuwa ni mamlaka ya teuzi kuwa na nguvu ya kufukuza ambapo itabidi iondolewe kuwe na bodi inayojitegemea Kwa ajili ya maamuzi ambapo kusiwe na influence kutoka gavo pia kuwe na chambo ambacho kitakuwa kina audit police, fire, magereza and etc
 
Andika kero zako kwenye Bango kesho nenda mbele ya kituo cha polisi ulishikilie watapokea maoni yako watajirekebisha
Mbona polisi wa Zanzibar akitaka kukukamata anakuandaa kabisa hata siku moja kabla?

N. Shida, yaani mlinda amani hapasi kuogopwa, atapataje taarifa?
 
Kulivunja nilikuwa naamanisha ni kaweka sura mpya sehemu kubwa ya utendaji na maamuzi huku ukibadilisha sera na kuhamisha wote mikoa vitengo na kuwachanganya kwenye majeshi tofauti, magereza, fire, FFU migration na etc hii itasaidia kidogo japo tatizo itakuwa ni mamlaka ya teuzi kuwa na nguvu ya kufukuza ambapo itabidi iondolewe kuwe na bodi inayojitegemea Kwa ajili ya maamuzi ambapo kusiwe na influence kutoka gavo pia kuwe na chambo ambacho kitakuwa kina audit police, fire, magereza and etc
WEWE huogopi mahali pa haki aingie polisi amevaa maski?
 
Halafu mnawalaumu Polisi wakati vyombo vyote vinashiriki huu ujinga na Hakuna combo
Nashukuru umemaliza andiko lako na huu mstari; ambao kwa bahati nzuri au mbaya unaufuta huu hapa mwingine uliouweka huko juu.
Rais amemtumbua mtu huyo basi ipelekwe bungeni wajue shida ni nini na kama hakuna mashiko basi hatumbuliwi mtu
Andiko lako kiujumla lilikuwa ni zuri, lakini tulipofikia sasa hivi, haya yote ni maoni tu yasiyoweza kufanya chochote kuleta mabadiliko chanya.
Bunge lipi litunge sheria, ambazo zitakuwa ni tofauti na hizi ambazo tayari zipo, lakini hazitakiwi zifanye kazi?
 
Salaam!

Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.

Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.

Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!

Je, Bunge likirudi na kuifuta Ile Sheria ya kuwapa nguvu wasijulikana kufanya kazi zao bila mipaka, je Hali ya Mambo itarudi kuwa sawa?

Imefikia time tumechonga kinyago wenyewe, kimeingiwa na Roho ya kutaka damu, kinatutisha wachongaji wa kinyago!

Karibuni 🙏
Katiba mpya ili kiwe chombo huru kwa kutekeleza majukumu yao sio kwa maagizo ya wanasiasa, tofauti na hapo hakuna kitu.

Askari aina ya yule wa kisutu aliekua anapiga watanganyika wenzake kama paka na bila sababu wanasafishikaje kwa mfano
 
SI kweli,

Njia rahisi ya kumuondoa kichaa,

Ni kuhamisha makopo yake, SI kummuhamisha kichaa ukaacha makopo atayaduia!
Wewe umezungumzia jeshi la polisi huko ndani ya mada yako; sasa unaipanua hadi kwa "kichaa" mwenyewe; kazi ambayo tayari ipo mbioni kwa kutimiza lengo la "NO REFORM, NO ELECTION".

Lengo hili likitimia, nyumba nzima inasafishwa.
 
Mbegu haiwezi kuzaa mpaka ife izikwe ndipo iote upya. Kuhuisha imani kwa polisi ni kumchagua lisu aje kurudisha utawala wa kishria. Avunje jeshi la polis na kulijenga upya kwa sheria na kanuni zinazomlinda raia mwema.

Mungu atupe uhai tulishuhudie hili, Ni mabadiliko makubwa mno yanahitajika kwenye hii inchi.

Tanganyika inahitaji mapinduzi ya kweli kwa mara ya pili.
 
20250604_124401.jpg

Hapa huwezi kuwakuta ila sema cdm wapo hapo.
 
Mungu atupe uhai tulishuhudie hili, Ni mabadiliko makubwa mno yanahitajika kwenye hii inchi.

Tanzania inahitaji mapinduzi ya kweli kwa mara ya pili.
Tanzania tulipata uhuru bila mapinduzi.

Sasa chama Cha mapinduzi kilimpindua nani?

Chama hiki kifutwe.
 
Back
Top Bottom