unalisafishaje hilo jeshi linalonuka damu za wasio na hatiaSalaam!
Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.
Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.
Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!
Karibuni 🙏
Sasa nisaidie nione!Utasafishaje jeshi la polisi wakati wewe mwenyewe ni kipofu huoni tatizo liko wapi na huu uzi wako wa kiji.nga
Kwamba wakikamatwa wasijulikana idadi Fulani na kuhukumiwa kunyongwa ,hili litarudisha Imani ya wananchi kwa jeshi lao?Wanyongweee wote alafu tuanzee upya...
Full stop...
Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!📌🔨✌🏿Salaam!
Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.
Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.
Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!
Karibuni 🙏
Thubutuu,Njia mzuri ya kulisafisha ni kudeal na familia zao
Kuna vitu vya kusafisha lakini sio policeSalaam!
Ikiwa tunataka Kurudisha Imani iliyokuwepo tangu kuanzishwa kwake, kwamba ni jeshi la kulinda raia.
Way back jeshi letu lilisifika, kwamba ni rahisi kupishana njiani na askari wa Tanzania kuliko askari wa nchi jirani tu hapo kwa Odii. Kule ukimwona polisi aja njia yako, pita mbali kabisa.
Sasa kwa yanayoendelea, tukisema tunataka Kurudisha Imani ya wananchi kwa jeshi letu la polisi, tutumie njia gani, maana kulifuta na kuanza upya ni ngumu kidogo!
Bunge likirudi na kuifuta Ile Sheria ya kuwapa nguvu wasijulikana kufanya kazi zao bila mipaka, je Hali ya Mambo itarudi kuwa sawa?
Karibuni 🙏
Kuna Ile Sheria ya usalama kupewa nguvu isohimilika na bunge letu,Katiba mpya itaweka bayana mipaka na wajibu wa jeshi la polisi [Kutotumika kupendelea chama chochote cha siasa,kufuata misingi ya haki na utawala bora].
Unavyosema thubutu ndo unanitisha au??Thubutuu,
Mimi mwenyewe Nina mdogo wangu ktk familia muadillifi kabisa Yuko polisi,
Hili nalipinga kabisa.
Mfumo ndio mbaya,Nilikuwa nawaamini Ndugu zangu Hawa,, Lakini kwasasa siwaamini Kabisa.Mungu nisamehe!!
Hapana,Unavyosema thubutu ndo unanitisha au??