Si kweli kwamba Mwafrika alikuwa gizani amjui MUNGU kabla ya ujio wa dini.
Amekuwa akimuabudu Mungu hata kabla ya ujio wa hizi dini.
"Do and don't do" yaani miiko na desturi. Ukishakua tu na utambuzi wa kujua mema na mabaya na kuyaishi tayari unamjua Mungu.
Hata kabla ya ujio wa dini
1.Kuua ni dhambi.
2.kuiba,
3.Kusema uongo
4.Kutokutii na kuheshimu wakubwa
5.uasherati
6.uchawi
7.uchoyo nk
Vyote ni don't do ni miiko usifanye. Na hivi vipo ndani ya amri kumi za MUNGU. So kwa kutenda hayo ni ushahidi tosha ya kwamba Mwafrika alimjua Mungu hata kabla ya ujio wa dini.