Njia ipi ni sahihi kufikia uwepo wa Mungu na vipi unaweza kujifunza utukufu wake duniani

Njia ipi ni sahihi kufikia uwepo wa Mungu na vipi unaweza kujifunza utukufu wake duniani

Bila shaka una uelewa mdogo kuhusu mungu na Mungu, hivi unajua kuna mungu zaidi ya mmoja?

Kwa hiyo kukuuliza 'mungu' nalitaka kufahamu uelewa wako kuhusu mungu ni nani hasa.
Kuna tofauti kubwa kati ya mungu na miungu nilie mzungumzia hapa ni mungu wa kweli muumba vyote duniani..
 
Hivi kwanini bado Africa tupogizani kiasi hiki?

1: MZUNGU KATULETEA DINI
2: MZUNGU KATULETEA MAVAZI
3: MZUNGU KATULETEA UTANDAWAZI
4: MZUNGU KATULETEA NJIA ZA MAWASILIANO
5: MZUNGU KATULETEA TAHARUKI MBALIMBALI NA MAFUNZO JUU YA MAHUSIANO
6: MZUNGU HUYO BADO ANATUMALIZA KWA MAGONJWA YA KUTENGENEZA ILI AENDELE KUFANYA BIASHARA YA KUUZA MADAWA YA TIBA
7: MZUNGU ANAJALI MASLAHI ANAYOPATA KWA KUUZA THAMANI ZA KWENYE NYUMBA ZA IBADA
8: WEWE MTU MWEUSI UPO GIZANI NA HUTAKI KUAMINI KUWA DINI ZILIKUJA KIBISHARA NA HUJUI NI NJIA IPI HASWA UTUMIE KUMFAHAMU MUNGU WA KWELI

Toka gizani sasa na uanze kujifunza kuhusu mungu wa kweli na kwa njia zipi unaweza kufikia uwepo wake..

THE HOLY SPIRIT OF ALMIGHTY GOD IS ALONG TO YOURSELF BELIEFS
Tufanyeje Sasa baada ya huu Uzi wako
 
Hivi kwanini bado Africa tupogizani kiasi hiki?

1: Mzungu katuletea dini

2: Mzungu katuletea mavazi

3: Mzungu katuletea utandawazi

4: Mzungu katuletea njia za mawasiliano

5: Mzungu katuletea taharuki mbalimbali na mafunzo juu ya mahusiano

6: Mzungu huyo bado anatumaliza kwa magonjwa ya kutengeneza ili aendele kufanya biashara ya kuuza madawa ya tiba

7: Mzungu anajali maslahi anayopata kwa kuuza thamani za kwenye nyumba za ibada

8: Wewe mtu mweusi upo gizani na hutaki kuamini kuwa dini zilikuja kibishara na hujui ni njia ipi haswa utumie kumfahamu mungu wa kweli

Toka gizani sasa na uanze kujifunza kuhusu mungu wa kweli na kwa njia zipi unaweza kufikia uwepo wake..

The holy spirit of almighty god is along to your beliefs
hao wazungu hizo dini walizitoa wapi
 
Tufundishe sasa hizo njia sahihi za kumfikia Mwenyezi Mungu bila kupitia hizo njia haramu za kibiashara!
 
Si kweli kwamba Mwafrika alikuwa gizani amjui MUNGU kabla ya ujio wa dini.
Amekuwa akimuabudu Mungu hata kabla ya ujio wa hizi dini.
"Do and don't do" yaani miiko na desturi. Ukishakua tu na utambuzi wa kujua mema na mabaya na kuyaishi tayari unamjua Mungu.
Hata kabla ya ujio wa dini
1.Kuua ni dhambi.
2.kuiba,
3.Kusema uongo
4.Kutokutii na kuheshimu wakubwa
5.uasherati
6.uchawi
7.uchoyo nk
Vyote ni don't do ni miiko usifanye. Na hivi vipo ndani ya amri kumi za MUNGU. So kwa kutenda hayo ni ushahidi tosha ya kwamba Mwafrika alimjua Mungu hata kabla ya ujio wa dini.
Yes. Hiki ndio watu wengi hawajui. Huyo mzungu kalata dini katika mfumo WA kumkontrol mtu.
Sisi tulikuwa spiritual from the beginning....na TULIMJUA MUNGU WA KWELI. ila wao ndo wamekuja kutuchanganyia Na mambo Yao ya Upagani WA Roma Greece na Egypt plus Babylon
 
Heading is potential.

Ila maelezo hueleweki.

But only its kuufikia Utukufu wa Mungu ni Kusoma neno lake,
 
Back
Top Bottom