Njia ipi ni sahihi kufikia uwepo wa Mungu na vipi unaweza kujifunza utukufu wake duniani

Bila shaka una uelewa mdogo kuhusu mungu na Mungu, hivi unajua kuna mungu zaidi ya mmoja?

Kwa hiyo kukuuliza 'mungu' nalitaka kufahamu uelewa wako kuhusu mungu ni nani hasa.
Kuna tofauti kubwa kati ya mungu na miungu nilie mzungumzia hapa ni mungu wa kweli muumba vyote duniani..
 
Tufanyeje Sasa baada ya huu Uzi wako
 
hao wazungu hizo dini walizitoa wapi
 
Tufundishe sasa hizo njia sahihi za kumfikia Mwenyezi Mungu bila kupitia hizo njia haramu za kibiashara!
 
Yes. Hiki ndio watu wengi hawajui. Huyo mzungu kalata dini katika mfumo WA kumkontrol mtu.
Sisi tulikuwa spiritual from the beginning....na TULIMJUA MUNGU WA KWELI. ila wao ndo wamekuja kutuchanganyia Na mambo Yao ya Upagani WA Roma Greece na Egypt plus Babylon
 
Heading is potential.

Ila maelezo hueleweki.

But only its kuufikia Utukufu wa Mungu ni Kusoma neno lake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…